Huduma zetu

KUTIBU NA KUONDOA MATATIZO YA UZAZI

Katika Klinik yetu tunatoa tiba ya matatizo ya uzazi ikiwemo,kutokupata ujauzito (ugumba), uvimbe kwenye tumbo la kizazi (Fibroid), mirija ya uzazi kuziba,uvimbe maji(ovarian cyst).