Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu na ya kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote.
Kwa kawaida dawa ya REDEEMER hutibu magonjwa mengi sana, lakini leo nitakuonyesha baadhi tu kama haya yafuatayo:
- Huondoa Na Kudhibiti Uvimbe Aina Ya Fibroids Mayoma
Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumbo la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha hedhi. NUKUU: Vivimbe mbalimbali tofauti huanza kujitokeza katika maeneo tofauti ndani na nje ya kifuko cha uzazi(uterus). Kuna aina tatu za uvimbe wa Fibroid, nazo ziko kama ifuatavyo:
- Intramural Fibroid: Uvimbe huu ni wa kawaida kabisa. Aina hizi za uvimbe huonekana katikati ya misuli ya ukuta wa kizazi(uterus). Uvimbe huu unaweka kuku na ukawa mkubwa zaidi na unaweza kumfanya muhusika kuwa na tumbo kama mjamzito.
- Subserosal Fibroids: Aina hizi za uvimbe hujitokeza nje ya tumbo lako la uzazi (uterus), ambazo hujulikana kwa jina la serosa. Vivimbe hivi vinaweza kuendelea kukua na kuwa vikubwa sana kuliko kawaida na pia kulifanya tumbo lako kuwa kubwa
- Submucosal Fibroids: Aina hizi za uvimbe hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi. Aina hii ya uvimbe sio ya kawaida sana kama vivimbe vingine, bali wakati vinapojitokeza, humsababishia muhusika kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi na hivyo kushindwa kubeba ujauzito. Redeemer unapoitumia pamoja Card Herb na Vitamaka, huondoa kabisa matatizo ya uvimbe aina hii katika tumbo la uzazi na kuvizuia visije vikarudia tena.
- Kuondoa Damu Ya Hedhi Yenye Mabonge
Mwanamke huingia kweye hedhi kwa wastani wa muda wa siku 3-5. Kwa kipindi hiki hutoa damu kwa wastani wa milimita 30-80 kwa siku, damu ikiwa nyekundu bila mabonge yoyote. Kiasi hiki cha damu ni sawa na kutumia pedi 2 mpaka 3 kwa siku bila kulowa damu chepechepe. Kuna wakati mwanamke anaweza kupata damu yenye mabonge, yaani iliyoganda na nyeusi.
NUKUU: Hali hii huashiria kiasi cha damu anachopoteza kuwa ni kingi zaidi ya kawaida. REDEEMER inapotumiwa pamoja na CARD HERB na FRESH HERB huondoa kabisa na kukomesha tatizo hili.
- Kuondoa Uvimbe katika Mlango Wa Kizazi(Cervix)
Kuvimba kwa mlango wa kizazi ni hali inayohusiana na muingiliano wa tishu za kuta za ndani ya uzazi pamoja na misuli ya ndani ya ukuta wa mfuko wa kizazi. Hali hii huufanya ukuta wa kizazi kuwa mwembamba, na humfanya mwanamke muda wake wa hedhi kuwa mrefu kuliko kawaida ukiambatana na Maumivu makali hasa wakati wa tendo la ndoa. NUKUU: Mgonjwa atumiapo REDEEMER, PERFECT POWDER na CARD HERB hali hii hutoweka kwani huondoa visababishi vyake.
- Kuimarisha KorodaniPale Zinaposhindwa Kufanya Kazi
Kazi ya korodani ni kuzalisha mbegu za kiume na homoni za kiume (Testosterone). Kwa hiyo korodani kushindwa kufanya kazi maana yake ni kushindwa kuzalisha mbegu na homoni za kiume. Redeemer unapoitumia pamoja na Card Herb inasaidia sana kuondoa tatizo la korodani kushindwa kufanya kazi hasa mgonjwa anapokuwa na tatizo la tezi dume.
- Kuondoa Maumivu Makali Wakati Wahedhi
REDEEMER inapokuwa na MULTICURE POWDER na CARD HERB husaidia kuondoa Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi. Wale wanaosumbuliwa na Maumivu makali wanapokuwa kwenye hedhi naomba utumie Redeemer utaona faida yake. NUKUU: Pia huondoa hali ya maumivu wakati wa tendo la ndoa.
- Uvimbe Katika Njia Ya Mkojo Kwa Mwanaume Na Mwanamke
Uvimbe sehemu ya njia ya mkojo hutokana na maambukizi ya bakteria kama vile UTI, nk. Hali hii mara nyingi huwapata wanawake. Visababishi vyake kwa kawaida hutokana na maambukizi ya bakteria amabayo tayari yameshapita katika utupu wa mwanamke; lakini hali hii ni mara chache sana hutokana na maambukizi kwenye mkojo unaotoka kwenye figo. NUKUU: Wanawake wengi wanaopatwa na maambukizi haya katika kibofu cha mkojo mara nyingi vibofu vyao hupanuka kutokana na kubana mkojo hasa wanapohisi kwenda kukojoa wakati kibofu kikiwa kimejaa. REDEEMER humsaidia sana mgonjwa anapoitumia pamoja na FRESH HERB na PERFECT POWEDR kwani huondoa kabisa chanzo cha uvimbe.
- Kutokwa Na Damu Nyingi Wakati Wa Hedhi(menorrhagia)
Hili ni tatizo ambalo huwakumba wanawake wengi katika nyakati tofautitofauti. Mwanamke hutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi pia inaweza kudumu kwa wiki moja na zaidi. Hali hii isipopatiwa ufumbuzi huweza kuleta madhara makubwa sana kwa mwanamke ambayo hupelekea kifo.
Lakini REDEEMER inapotumiwa na CARD HERB pamoja na MULTICURE POWDER, husaidia kabisa kuondoa tatizo hili na kutengeneza uwiano sawa wa homoni kwa mwanamke.
- Kukosa Hedhi (Amenorrhea)
Kukosa hedhi kitaalamu tunaita, “amenorrhea” yaani kutokuwepo kwa mzunguko wa hedhi kwa kipindi kimoja au zaidi. Wanawake walio kosa vipindi vya hedhi mara tatu wakiwa bado wadogo, na kuwa kama wasichana ambao hawajavunja ungo, hao wanakuwa na tatizo la kukosa hedhi.
Dalili za kukosa hedhi unaweza kuanza kuziona mara unapoona chuchu kutokwa na uchafu wenye maziwa maziwa, kukosa nywele hasa kwapani na sehemu mbalimbali, matatizo ya macho, maumivu ya nyonga, chunusi usoni, nywele usoni nyingi, nk.
NUKUU: Lakini REDEEMER inapotumiwa pamoja na MULTICURE POWDER na CARD HERB huondoa tatizo hili kwa uhakika kabisa.
- Kuondoa Uvimbe Wa Tezi Dume
Tezi dume ni tezi ndogo ambayo husaidia kutengeneza manii, nayo ipo chini kibofu cha mkojo. Mara nyingi tezi hii huwa kubwa kadiri unavyozidi kuwa mzee.
Tezi dume iliyovimba inaweza kusababisha dalili ambazo zinaweza kukusumbua, kama vile kuziba kwa njia ya mkojo kwenye kibofu cha mkojo. Inaweza pia kusababisha matatizo ya kibofu cha mkojo, njia ya mkojo au figo.
REDEEMER inapotumia pamoja na FRESH HERB na VITAMAKA, huondoa kabisa matatizo ya kuvimbe kwa tezi dume.
Napenda niishie hapa leo ndugu msomaji nikupatie kipindi cha maswali.
Kama unahitaji huduma pia wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Arusha-Mbauda,
Karibu sana!