James Herbal Clinic tuna dawa za mimea ya asili zenye mchanganyiko wa vyakula vya asili. Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu nay a kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote.
Kwa kawaida dawa ya REDEEMER hutibu magonjwa mengi kama ifuatavyo:
- Uvimbe Aina Ya Fibroids Mayoma
Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumbo la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha hedhi. Vivimbe mbalimbali tofauti huanza kujitokeza katika maeneo tofauti ndani na nje ya kifuko cha uzazi(uterus). Kuna aina tatu za uvimbe wa Fibroid, nazo ziko kama ifuatavyo:
- Fibroid aina ya Intramural:
Uvimbe huu ni wa kawaida kabisa. Aina hizi za uvimbe huonekana katikati ya misuli ya ukuta wa kizazi(uterus). Uvimbe huu unaweka kuku na ukawa mkubwa zaidi na unaweza kumfanya muhusika kuwa na tumbo kama mjamzito.
- Subserosal Fibroids
Aina hizi za uvimbe hujitokeza nje ya tumbo lako la uzazi(uterus), ambazo hujulikana kwa jina la serosa. Vivimbe hivi vinaweza kuendelea kukua na kuwa vikibwa sana kuliko kawaida na pia kulifanya tumbo lako kuwa kubwa.
- Submucosal Fibroids
Aina hizi za uvimbe hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi. Aina hii ya uvimbe sio ya kawaida sana kama vivimbe vingine, bali wakati vinapojitokeza, humsababishia muhusika kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi na hivyo kushindwa kubeba ujauzito. Redeemer unapoitumia pamoja Fresh Herb na Vitamaka, huondoa kabisa matatizo ya uvimbe aina hii katika tumbo la uzazi na kuvizuia visije vikarudia tena.
- Damu Ya Hedhi Yenye Mabonge
Mwanamke huingia kweye hedhi kwa wastani wa muda wa siku 3-5. Kwa kipindi hiki hutoa damu kwa wastani wa milimita 30-80 kwa siku, damu ikiwa nyekundu bila mabonge yoyote. Kiasi hiki cha damu ni sawa na kutumia pedi 2 mpaka 3 kwa siku bila kulowa damu chepechepe. Kuna wakati mwanamke anaweza kupata damu yenye mabonge, yaani iliyoganda na nyeusi.
NUKUU: Hali hii huashiria kiasi cha damu anachopoteza ni kingi zaidi ya kawaida. REDEEMER inapotumiwa pamoja na CARD HERB huondoa kabisa na kukomesha tatizo hili.
- Uvimbe katika Mlango Wa Kizazi(Cervix)
Kuvimba kwa mlango wa kizazi ni hali inayohusiana na muingiliano wa tishu za kuta za ndani ya uzazi pamoja na misuli ya ndani ya ukuta wa mfuko wa kizazi. Hali hii huufanya ukuta wa kizazi kuwa mwembamba, na humfanya mwanamke muda wake wa hedhi kuwa mrefu kuliko kawaida ukiambatana na Maumivu makali hasa wakati wa tendo la ndoa. Mgonjwa atumiapo REDEEMER, VITAMAKA na FRESH HERB hali hii hutoweka kwani huondoa visababishi vyake.
- Maambukizi Ya UTI
Matatizo ya UTI hutokana na bakteria wanaokuwa kwenye matumbo kama vile E.Coli. Lakini kuna baadhi ya bakteria wengine kama vile, pangusa(Chlamydia), pamoja na Mycoplasma ambao huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, na kusababisha maambukizi katika njia ya mkojo ama katika viungo vya mfumo wa uzazi kama vile, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, mlango ama shingo ya kizazi, nk. Hivyo ndio maana wanawake wengi wanapopimwa na kukutwa na UTI, madaktari huwashauri wapate tiba pamoja na waume zao ili kuondoa tatizo pande zote mbili. REDEEMER ina uwezo mkubwa sana wa kuondoa tatizo la UTI inapotumiwa pamoja na FRESH HERB na NEOTONIC kwani ni antibacterial na inazuia kuwapo kwa maambukizi haya.
- Malengelenge(Trichomoniasis)
Hawa ni vimelea aina ya protozoa ambao hupendelea sana maeneo ya uke yenye alkaline ama chumvichumvi. Huja kwa njia ya kujamiiana(na ndio maana mgonjwa kama ni mwanamke anapaswa atumie dawa wote wawili pamoja na mume wake). Kwa upande wa mwanaume maambukizi haya huwa hayaonyeshi dalili; lakini kwa mwanamke huwa kuna dalili za kutokwa uchafu wenye rangi ya ukijani mweupe wenye harufu ya kawaida.
NUKUU: Uchafu huo unaotoka husababisha mwasho sehemu za siri kwa mwanamke, ngozi ya uke ndani hubadirika kuwa nyekundu, nk. Maambuki ya vimelea hawa yanafika hadi kwenye mirija ya mkojo, humfanya mwanamke ahisi Maumivu makali wakati wa kukojoa. Lakini mgonjwa atumiapo REDEEMER pamoja na MULTI-CURE POWDER tatizo hili hutoweka kabisa.
- Korodani Kushindwa Kufanya Kazi
Kazi ya korodani ni kuzalisha mbegu za kiume na homoni za kiume (Testosterone). Kwa hiyo korodani kushindwa kufanya kazi maana yake ni kushindwa kuzalisha mbegu na homoni za kiume. Redeemer unapoitumia pamoja na Card Herb inasaidia sana kuondoa tatizo la korodani kushindwa kufanya kazi hasa mgonjwa anapokuwa na tatizo la tezi dume.
- Maumivu Makali Wakati Wahedhi
Redeemer inapokuwa na Fresh Herb husaidia kuondoa Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi. Wale wanaosumbuliwa na Maumivu makali wanapokuwa kwenye hedhi naomba utumie Redeemer utaona faida yake. Pia huondoa hali ya maumivu wakati wa tendo la ndoa, tumbo kujaa gesi ama kuhara damu, na inasaidia kuondoa uchovu wa mwili.
- Uvimbe Katika Njia Ya Mkojo Kwa Mwanaume Na Mwanamke
Uvimbe sehemu ya njia ya mkojo hutokana na maambukizi ya bakteria kama vile UTI, nk. Hali hii mara nyingi huwapata wanawake. Visababishi vyake kwa kawaida hutokana na maambukizi ya bakteria amabayo tayari yameshapita katika utupu wa mwanamke; lakini hali hii ni mara chache sana hutokana na maambukizi kwenye mkojo unaotoka kwenye figo. Wanawake wengi wanaopatwa na maambukizi haya katika kibofu cha mkojo mara nyingi vibofu vyao hupanuka kutokana na kubana mkojo hasa wanapohisi kwenda kukojoa wakati kibofu kikiwa kimejaa. REDEEMER humsaidia sana mgonjwa anapoitumia pamoja na NEOTONIC kwani huondoa kabisa chanzo cha uvimbe.
Je, unahitaji huduma? Unaweza kutupata James & Ferdinand Herbal Clinic kupitia namba hizi: 0752389252 au 0712181626
Arusha Mbauda
Karibu sana