ZIJUE FAIDA ZA REDEEMER KATIKA MAGONJWA YA UZAZI

James Herbal Clinic tuna dawa za mimea ya asili zenye mchanganyiko wa vyakula vya asili. Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu na ya kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote.

Kwa kawaida dawa ya REDEEMER hutibu magonjwa mengi kama ifuatavyo:

 

  1. Uvimbe Aina Ya Fibroids Mayoma

 

Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumbo la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha hedhi.

Myoma Uteri | Calamba Medical Center

Vivimbe mbalimbali tofauti huanza kujitokeza katika maeneo tofauti ndani na nje ya kifuko cha uzazi(uterus).  Kuna aina tatu za uvimbe wa Fibroid, nazo ziko kama ifuatavyo:

 

  1. Fibroid aina ya Intramural:

 

Uvimbe huu ni wa kawaida kabisa. Aina hizi za uvimbe huonekana katikati ya misuli ya ukuta wa kizazi(uterus). Uvimbe huu unaweka kuku na ukawa mkubwa zaidi na unaweza kumfanya muhusika kuwa na tumbo kama mjamzito.

 

  1. Subserosal Fibroids

 

Aina hizi za uvimbe hujitokeza nje ya tumbo lako la uzazi(uterus), ambazo hujulikana kwa jina la serosa. Vivimbe hivi vinaweza kuendelea kukua na kuwa vikibwa sana kuliko kawaida na pia kulifanya tumbo lako kuwa kubwa.

 

  1. Submucosal Fibroids

 

Aina hizi za uvimbe hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi. Aina hii ya uvimbe sio ya kawaida sana kama vivimbe vingine, bali wakati vinapojitokeza, humsababishia muhusika kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi na hivyo kushindwa kubeba ujauzito. Redeemer unapoitumia pamoja Fresh Herb na Vitamaka, huondoa kabisa matatizo ya uvimbe aina hii katika tumbo la uzazi na kuvizuia visije vikarudia tena.

  1. Damu Ya Hedhi Yenye Mabonge

 

Mwanamke huingia kweye hedhi kwa wastani wa muda wa siku 3-5. Kwa kipindi hiki hutoa damu kwa wastani wa milimita 30-80 kwa siku, damu ikiwa nyekundu bila mabonge yoyote. Kiasi hiki cha damu ni sawa na kutumia pedi 2 mpaka 3 kwa siku bila kulowa damu chepechepe. Kuna wakati mwanamke anaweza kupata damu yenye mabonge, yaani iliyoganda na nyeusi.

extremely large menstrual blood clots - slubne-suknie.info

NUKUU: Hali hii huashiria kiasi cha damu anachopoteza ni kingi zaidi ya kawaida. REDEEMER inapotumiwa pamoja na CARD HERB huondoa kabisa na kukomesha tatizo hili.

  1. Uvimbe katika Mlango Wa Kizazi(Cervix)

 

 

Kuvimba kwa mlango wa kizazi ni hali inayohusiana na muingiliano wa tishu za kuta za ndani ya uzazi pamoja na misuli ya ndani ya ukuta wa mfuko wa kizazi. Hali hii huufanya ukuta wa kizazi kuwa mwembamba, na humfanya mwanamke muda wake wa hedhi kuwa mrefu kuliko kawaida ukiambatana na Maumivu makali hasa wakati wa tendo la ndoa. Mgonjwa atumiapo REDEEMER, VITAMAKA na FRESH HERB hali hii hutoweka kwani huondoa visababishi vyake.

 

  1. Maambukizi Ya UTI

 

Matatizo ya UTI hutokana na bakteria wanaokuwa kwenye matumbo kama vile E.Coli. Lakini kuna baadhi ya bakteria wengine kama vile, pangusa(Chlamydia), pamoja na Mycoplasma ambao huambukizwa kwa njia ya kujamiiana, na kusababisha maambukizi katika njia ya mkojo ama katika viungo vya mfumo wa uzazi kama vile, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, mlango ama shingo ya kizazi, nk.

UTI Lower Back Pain: Can a Urinary Tract Infection Cause Back Pain?

Hivyo ndio maana wanawake wengi wanapopimwa na kukutwa na UTI, madaktari huwashauri wapate tiba pamoja na waume zao ili kuondoa tatizo pande zote mbili. REDEEMER au BEST GREEN MULTICURE ina uwezo mkubwa sana wa kuondoa tatizo la UTI inapotumiwa pamoja na FRESH HERB kwani ni antibacterial na inazuia kuwapo kwa maambukizi haya.

 

  1. Malengelenge(Trichomoniasis)

 

Hawa ni vimelea aina ya protozoa ambao hupendelea sana maeneo ya uke yenye alkaline ama chumvichumvi. Huja kwa njia ya kujamiiana(na ndio maana mgonjwa kama ni mwanamke anapaswa atumie dawa wote wawili pamoja na mume wake).  Kwa upande wa mwanaume maambukizi haya huwa hayaonyeshi dalili; lakini kwa mwanamke huwa kuna dalili za kutokwa uchafu wenye rangi ya ukijani mweupe wenye harufu ya kawaida.

dirty panties! [oc] [f] : DirtyPanties

NUKUU: Uchafu huo unaotoka husababisha mwasho sehemu za siri kwa mwanamke, ngozi ya uke ndani hubadirika kuwa nyekundu, nk. Maambuki ya vimelea hawa yanafika hadi kwenye mirija ya mkojo, humfanya mwanamke ahisi Maumivu makali wakati wa kukojoa. Lakini mgonjwa atumiapo REDEEMER pamoja na BEST GREEN MULTICURE tatizo hili hutoweka kabisa.

  1. Korodani Kushindwa Kufanya Kazi

 

Kazi ya korodani ni kuzalisha mbegu za kiume na homoni za kiume (Testosterone). Kwa hiyo korodani kushindwa kufanya kazi maana yake ni kushindwa kuzalisha mbegu na homoni za kiume. Redeemer unapoitumia pamoja na Card Herb inasaidia sana kuondoa tatizo la korodani kushindwa kufanya kazi hasa mgonjwa anapokuwa na tatizo la tezi dume.

  1. Maumivu Makali Wakati Wahedhi

 

 

Redeemer inapokuwa na Fresh Herb husaidia kuondoa Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi. Wale wanaosumbuliwa na Maumivu makali wanapokuwa kwenye hedhi naomba utumie Redeemer utaona faida yake. Pia huondoa hali ya maumivu wakati wa tendo la ndoa, tumbo kujaa gesi ama kuhara damu, na inasaidia kuondoa uchovu wa mwili.

 

  1. Uvimbe Katika Njia Ya Mkojo Kwa Mwanaume Na Mwanamke

 

Uvimbe sehemu ya njia ya mkojo hutokana na maambukizi ya bakteria kama vile UTI, nk. Hali hii mara nyingi huwapata wanawake. Visababishi vyake kwa kawaida hutokana na maambukizi ya bakteria amabayo tayari yameshapita katika utupu wa mwanamke; lakini hali hii ni mara chache sana hutokana na maambukizi kwenye mkojo unaotoka kwenye figo.

Urinary Tract Infections (UTIs) in Men | Everyday Health

NUKUU: Wanawake wengi wanaopatwa na maambukizi haya katika kibofu cha mkojo mara nyingi vibofu vyao hupanuka kutokana na kubana mkojo hasa wanapohisi kwenda kukojoa wakati kibofu kikiwa kimejaa. REDEEMER humsaidia sana mgonjwa anapoitumia pamoja na PHYTO-RESPIRATORY kwani huondoa kabisa chanzo cha uvimbe.

 

  1. Kutokwa Na Damu Nyingi Wakati Wa Hedhi(menorrhagia)

 

Hili ni tatizo ambalo huwakumba wanawake wengi katika nyakati tofautitofauti. Mwanamke hutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi pia inaweza kudumu kwa wiki moja na zaidi. Hali hii isipopatiwa ufumbuzi huweza kuleta madhara makubwa sana kwa mwanamke ambayo hupelekea kifo.

Doctors for Menorrhagia & Abnormal Uterine Bleeding in the Dayton Area

NUKUU: Lakini Redeemer inapotumiwa pamoja na Fresh Herb, husaidia kabisa kuondoa tatizo hili na kutengeneza uwiano sawa wa homoni kwa mwanamke.

 

  1. Kukosa Hedhi(Amenorrhea)

 

Kukosa hedhi kitaalamu tunaita, “amenorrhea” yaani kutokuwepo kwa mzunguko wa hedhi kwa kipindi kimoja au  zaidi. Wanawake walio kosa vipindi vya hedhi mara tatu wakiwa bado wadogo, na kuwa kama wasichana ambao hawajavunja ungo, hao wanakuwa na tatizo la kukosa hedhi.

Dalili za kukosa hedhi unaweza kuanza kuziona mara unapoona chuchu kutokwa na uchafu wenye maziwa maziwa, kukosa nywele hasa kwapani na sehemu mbalimbali, matatizo ya macho, maumivu ya nyonga, chunusi usoni, nywele usoni nyingi, nk.

Amenorrhea: What Is It, What Causes It and When Is It Time to See ...

NUKUU: Lakini REDEEMER inapotumiwa pamoja na CARD HERB na VITAMAKA huondoa tatizo hili kwa uhakika kabisa.

 

Je, Nini Faida Muhimu Za Kutumia Bidhaa Za James Herbal Clinic Kwa Ajili Ya Kuondoa Na Kutibu Uvimbe Wa Fibroid?

 

Kwanza kabisa bidhaa hizi hufanya mambo yafuatayo:

 

  • Huweka uwiano sawa wa homoni na kuzifanya ziwe na nguvu
  • Hupunguza hali ya tumbo la uzazi kuwaka moto
  • Huongeza uwezo wa mfumo wa uzazi kufanya kazi
  • Huondoa matatizo ya mzunguko wa hedhi kubadirika badirika
  • Hupunguza madhara ya muongezeko wa sukari kwenye mkondo wa damu
  • Huondoa uvimbe kwenye matiti na huzuia tatizo la salatani kwenye matiti
  • Huongeza uwezo wa mwanamke kupata ujauzito kwa kiwango kikubwa
  • Huzuia uvimbe kabisa
  • Hurekebisha hali ya upevushaji mayai
  • Hupunguza mbubujiko wa damu nyingi wakati wa hedhi.
  • Husaidia ini lako kupunguza kiwango cha homoni ya estrogen kilichozidi ambacho ndio kisababishi kukubwa cha uvimbe wa fibroid

Napenda niishie hapa, Mungu awabariki sana wasomaji wote, na karibuni sana katika huduma za  James Herbal Clinic.

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Arusha-Mbauda

 

Pia kumbuka kuwa tuna darasa letu zuri katika mtandano wa TELEGRAM ambapo tunatoa masomo mbalimbali ya afya na ushauri pia. Ili kujiunga na darasa letu, unaweza kutuma namba yako ya WHATSSAP ili upate link ya darasa letu.

 

Karibu Sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *