JE, UNAJUA NINI HUSABABISHA KUTOKWA NA UTE MWEUPE MZITO?

Ikiwa kama unatokwa na ute  mzito mweupe wenye kunata au kuganda, yaweza kuwa chanzo chake ni fangasi sehemu za siri. Kumbuka kwamba uke wako hufanya kazi nyingi za ajabu katika kutengeneza uwiano wa joto katika tumbo lote la uzazi pamoja na bakteria  wa asili wanaoishi humo. Mara nyingi uwiano huu huwa unatoweka, na bakteria fulani wabaya au fangasi hupata ruhusa ya kuingia ndani ya uke.

Been feeling "wet" down there for a few hours and found this in my ...

NUKUU: Hayo ni maambukizi ya fangasi. Fangasi ijulikanayo kama, “Candida albicans” inaweza kutokeza haraka na kuendelea kuwa maambukizi. Watu wenye maabukizi ya fangasi wanaweza kupatwa na dalili kama hizi zifuatazo:

  • Ute mweupe mzito wenye kuganda kama maziwa mtindi
  • Ute mweupe ambao hubadirika kuwa njano na baadaye kuwa kijani
  • Kutokwa na harufu mbaya ukeni
  • Kuhisi muwasho kwenye mashavu ya uke
  • Uke kuvimba na kuwa wenye rangi nyekundu
  • Kuhisi hali ya kuwaka moto au maumivu wakati wa kukojoa
  • Kuhisi maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa

Kama unaamini kuwa una fangasi sehemu za siri, basi kumbuka pia kwamba tiba zinapatikana kwa urahisi tu. Maelezo ya kitabibu hutumika sana kwa magonjwa sugu.

Revealed -- why men love sex! | TheHealthSite.com

NUKUU: Unapaswa uache kwanza kushiriki tendo la ndoa pale unapoanza kutumia tiba kwa ajili ya maambukizi. Matibabu kwa mwenzi wako hayahitajiki kwakuwa sio maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Lakini hata hivyo kwa baadhi ya wanawake wenye maambukizi ya muda mrefu, waume au wapenzi wao watapaswa kutibiwa.

Kama ukiona maambukizi ya fangasi yamejirudia mara 2 kwa mwaka mmoja, basi unapaswa kufika hospitali haraka bila kuchelewa. Kunaweza kukawa na sababu za msingi zinazopelekea kuwepo kwa maambukiz ya fangasi yenye kujirudia mara kwa mara.

Je, Nini Kinasababisha Ute Mzito Mweupe Wenye Kunata?

 

Kipindi yai linapokuwa halijapevuka, mwili wako hutoa ute ute ukeni ambao ni mzito wenye kunata. Ute unaotoka ukeni muda huo hufanya kazi kama kizuizi cha kuzuia manii zisipite kwenye mlango wa uzazi mpaka kwenye mfuko wa uzazi.

Huu ni uhakika kwamba, ulinzi wa asili wa mwili unaweza pia kusaidia kuzuia vimelea na bakteria wasiweze kuingia kwenye mlando wa uzazi. Hali hii inaweza kukusaidia wewe kujikinga na maambukizi wakati kipindi cha hedhi hakijawadia, wakati uke wako unapokuwa ukitoa ute kidogo kidogo kuliko jinsi unavyofanya katika kipindi cha mzunguko wa hedhi. Ute unaoongezeka husaidia kuondoa bakteria na vimelea wote ambao wanaweza kusababisha vihatarishi ukeni.

 

Je, Ni Nini Husababisha Ute  Mweupe Kabla Ya Kipindi Cha Hedhi?

Je, Hii Ni Kawaida?

Wanawake wengi hutokwa na ute  wa aina tofautitofauti katika mizunguko yao ya hedhi. Unaweza ukatokwa na ute  mzito au mwepesi, ute utelezi usio na harufu kila siku, na rangi inaweza ikabadirika ikawa ya kahawia badala ya kuwa  nyeupe.

Brown discharge or spotting while on progesterone - BabyCenter

Muda huo rangi tofauti na muonekano wake hutokana na kazi za homoni zinazofanyika ndani ya mwili wako.

Je, Ni Nini?

 

Ute  mweupe unaoweza kuuona kabla ya kipindi cha hedhi kuingi hufahamika kama, “utoko”. Wenyewe huwa na majimaji na seli ambazo hutolewa ukeni mwako, na unaweza ukaonekana wa njano kwa mbali.  Sehemu hii ya mzunguko wa hedhi huitwa siku za hatari. Ni pale homoni ya progesterone inapoonekana mwilini mwako. Wakati  homoni ya estrogen inapokuwa nyingi, uteute unaotoka ukeni huonekana kuwa mweupe mzuri, wenye kuvutika kama ute wa yai la kuku.  Homoni ya progesterone kwa upande mwingine, hubadirisha ute kuwa mweupe kama maziwa. Baadhi ya wanawake hutumia uteute huu kama njia mojawapo ya kufuatilia uwezo wa kupata ujauzito. Njia hii inafahamika kama, “ mpango wa uzazi wa asili”.

A Guide To Cervical Mucus Test

Uteute mwepesi wenye kuvutika huonyesha siku za hatari, ambazo ndizo hutokea wakati yai linapoachiliwa. Ute mweupe mzito hutoka kwenye mlango wa kizazi ukionyesha kwamba, sasa sio muda wa kupata ujauzito. Hii inakupa ufahamu, kama mara nyingi utaona aina hii ya ute unapokuwa haujawa katika kipindi cha kubeba ujauzito.

Bila kujari rangi au muonekano , ute huzifanya tishu kuwa zenye afya tena laini ndani ya uke wako. Ute huu unapotoka bila kuonyesha dalili za muwasho,  maumivu au wekundu, hutambulika kuwa ni wa kawaida kabia.

 

Je, Ni Husababisha Kutokwa Na Ute Ukeni?

Visababishi vikuu vya kutokwa na ute uke  kabla ya kuingia hedhini huwa ni:

  1. Utendaji wa kawaida wa mfumo wa uzazi

 

Ute mweupe kabla ya kuingia hedhini huwa ni sehemu ya kawaida ya mzunguko wa hedhi. Ute wa kawaida katika hatua hii ya mzunguko wa hedhi wakati mwingine inaitwa, “ute mweupe wa yai” kwasababu ya wepesi wake, unavutika na wenye kuteleza.

Egg white cervical mucous  - Trying To Conceive | Forums ...

Ute huu pia hauna harufu.

  1. Uzazi Wa Mpango

 

Uzazi wa mpango hubadirisha viwango vyako vya homoni, ambao unaweza kusababisha kuongezeka kutoka kwa uteute. Hii ni athari za matumizi ya uzazi wa mpango.

 

  1. Ujauzito

 

Ute kabla hujatarajia kuingia kwenye kipindi cha hedhi inaweza kuwa ni ishara ya awali ya ujauzito.

Vaginal Discharge – normal?! TMI w PICTURE!!!

NUKUU: Ute kutokana na ujauzito inaweza kuwa ngumu kuelezea mbali na ute unaotoka kwenye mzunguko wako wa hedhi, lakini kwa kawaida huwa ni mzito na wenye muonekano kama maziwa mgando kuliko ute wa kawaida.

  1. Maambukizi Ya Magonjwa Ya Zinaa

 

Kisonono, pangusa pamoja na malengelenge  ni magonjwa ya zinaa yanayosababisha kutokwa na ute ukeni. Kama una kisonono au pangusa, ute unaotoka utakuwa wa njano kama usaha. Hata hivyo, maambukizi haya huwa yanafanana.

17 weeks discharge - BabyCenter

Malengelenge pia huwa yana dalili zake ambazo ute wa kijani au njano, muwasho, na harufu mbaya kama muozo wa samaki.

 

  1. Maambukizi Ya Fangasi

 

Maambukizi ya fangasi ni ya kawaida na yanaweza kutokea bila sababu. Hata hivyo, utumiaji wa  madawa ya antibiotic huongeza hatari yaw ewe kupata maambukizi ya fangasi, na yanatokea kabla hujaingia hedhini.

What are the symptoms of thrush, what causes oral and vaginal ...

Ute utokanao na fangasi ni mweupe mzito na mara nyingi huwa kama maziwa mgando. Maambukizi ya fangasi pia husababisha muwasho na hali ya kuwaka kama moto ndani ya uke na kwenye mashavu ya uke.

  1. Bakteria Ukeni

 

 

Bakteria ukeni ni maambukizi ambayo hutokea  wakati uwiano sawa wa asili wa bakteria ndani ya mabadiriko ya uke wako. Chanzo hakifahamiki, lakini inasemekana utumiaji wa sabuni zenye marashi kuoshea ukeni, au kuwa na wanaume au wapenzi wengi zaidi ya mmoja. Ute unaotoka ukeni kutokana na bakteria hao wa asili kuharibika huwa una ute wenye harufu mbaya kama ya muozo wa samaki, pia wenye rangi nyeupe kuelekea ukijivu fulani hivi.

Tiba Yake

 
James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye mchanganyiko wa vyakula na mimea ya sili, zenye uwezo mkubwa kabisa katika kuondoa visababishi vya tatizo hili nazo ni BEST GREEN na MULTICURE POWDER.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Arusha-Mbauda

 

Pia tunatoa masomo safi kabisa katika mtandao wa TELEGRAM, unaweza kutuma namba yako ya WHATSSAP ukapata link ili ujiunge na GROUP letu.

Karibuni sana!

 

223 thoughts on “JE, UNAJUA NINI HUSABABISHA KUTOKWA NA UTE MWEUPE MZITO?

  1. Hey naweza pata msaada huwa nawashwa sana nimetumia dawa nyingi za hosp wakati mwingine huwa naambiwa sina tatizo

      1. Mimi nilikuwa naomba kuuliza je ulaji wa nazi kwa wingi unaweza kukufanya ukawa na ute mwingi sehemu za uke? Hasa zile za kutafuna

  2. Mimi nilikuwa naomba kuuliza je ulaji wa nazi kwa wingi unaweza kukufanya ukawa na ute mwingi sehemu za uke? Hasa zile za kutafuna

  3. Mimi nasumbuliawa naute wautelezi ila unakua sio mzito sana na ata nikiwa najisafisha ukeni uke auwi mkavu sana unabaki na utelezi kidogo nilikua natumia morning after pill plz I really need ur help naomba ni add 0756180116

  4. Samahan mm nauliza je kutokwa na ute kama maziwa yanayotaka kuganda lakin hayana halufu hili ni tatizo gan na nn tiba take?

  5. Mm naomb kuuliz nilikuw period siku ya pil nikaikatish na kusex siku ya tatu nilisex na akakojoa ndan dam zilikat nikaw natokwa na uchaf na saiv natokwa na ute mzit na tumbo Ku um chin ya kitov Je ninatatiz gan

  6. Amina Ali
    Mimi naomba kuuliza nikifanya tendo la ndoa Basra ya siku moja selenium zangu za siri hues zinawasha sana nakunipelekea michubuko selenium za siri
    Hospital nimeenda nishatumia Dawa lakini bado napata uwasho sana muda mwengine natoa uchafu mweupe mzito lakini haunuki naomba ushauri

  7. Mm apa ute umetokea baada ya kishiriki tendo na mpenz wangu na unatoka mwingi Kama maji Sasa je shida inaweza kuwa Nini hasa

  8. Mimi my wife anatokwa na vitu vyeupe kama katasi vyenye kugandana kama punje punje, sijuwi ni tatizo gani na kwakweli , ansema ivi anasikia na ukeni kunawasha kidogo. Kipindi niko mbali nae mwaka huu wa mwisho vilikuwa vikitoka kidogo tu kwakuwa nimekaa mbali nae kwa miaka 3 siku bahada ya siku mda nimekuja tumekaa week 2 ikafika siku kipindi tunajamiana ndo vikatoka vingi sana. Mda niko mbali nilipuhuzia na nikafikiri vinamtoka kwakuwa labda ni kumaliza myaka bila kujamiana.

  9. Samahani mimi tangua nimepata ujauzito wa miezi mitatu nilianza kutokwa na uchafu mweupe wenye chembechembe kama maziwa mgando japo hauna harufu nimepewa dawa hospitary ila bado uhakika kutoka shida ni nini

  10. Mimi natokwa na uchafu mweupe kama maziwa mgando japo ahutoi harufu na tangia miezi mitatu ya ujauzito wangu hadi sasa bado unatoka ,nini tatizo na je ahuwezi kuathiri kiumbe tumboni? Naomba msahada

  11. Na mm natokwa na Ute mweupe kama maziwa ya mgando pia ni mwepesi Ila hauna harufu na Kuna mda nikikojoa napatwa na maumivu Kuna mda nashindwa kuuzuia mkojo pia unakuwa na harufu mbaya

  12. Mm naskia maumivu kiunoni na chini ya kitovu upande wa kushoto pia natokwa na Ute mweupe unaovutika iliyochanganyika na majimaji wenywe harufu mbay nmepimwa hospital cna tatizo n nn

  13. Et kutokwa na maji ya maziwa kwa mtoto wakiume anapokua akimalizia mkojo hii inasababishwa na nn?

    Naomba niunge kwa grp la watsap 0742786350

  14. Mm nimepima kwa hcg imeonesha nina ujauzito halaf uti pia ninay na ucku ulipofika nikaon ute mzit na chin kunawaka moto nikimaliz sex

    1. Samahan Mimi natokwa na uchafu mweupe Kama rangi ya maziwa ya mgando yenye kujigawa vibonge vidogo vidogo na wenye kunata naomba kusaidiwa tatizo ni nini?

  15. Sorry naomba kuuliza kwamba Kama unatoa Ute mweupe mzito mwingi ukeni, unatobika kbs na haujirudii au unakuwa unatuliza tu na bdae unaendelea

      1. Mimi nimefanya Mapenzi na Mchumba angu wakati wa kujamiana anatokwa na ute mweupe kama Mtindi ambao unakuwa umeganda kwenye uume wangu baada ya tendo kitu
        ambacho sijazoea naomba kuuliza tatizo ni nini?

        0763073880

  16. Mimi napata changamoto zifuatazo
    1. Uke kuwa mkavu na wakati wa tendo napata maumivu
    2. Ute wa rangi ya maziwa unaovutika
    3. Wakati wa kukojoa nahisi maumivu makali au kama kuwaka moto
    4. Kuwashwa mashavu ya uke

    Swali langu ni je hapo tatizo linakuwa hormonal imbalance au fangasi maana dalili ni kama zinaendana
    Nahitaji ushauri wako ikiwezekana na matibabu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *