JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA?

Mwanamke anaweza kukosa raha kabisa na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni ukeni au kwa ndani zaidi.

5 Reasons Women Don't Enjoy Sex — and How to Overcome Them – Health  Essentials from Cleveland Clinic

NUKUU: Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo ama baada ya tendo. 

Je, Nini Humfanya Mwanamke Kuumia Wakati Wa Tendo La Ndoa?

Maumivu haya husababishwa na mambo yafuatayo:

 

  • Uke kuwa mkavu kutokana na maandalizi duni kabla ya tendo,
  • Kubana kwa misuli ya uke
  • Kuwa na woga wakati wa tendo.
  • Kuwa na makovu ukeni kutokana na athari za kukeketwa,
  • Uvimbe ukeni au uwepo wa jipu na vipele,
  • Kuhisi maumivu baada ya tendo
  • Matatizo katika mfumo wa homoni
  • Kupoteza msisimko na hamu ya tendo.
  • Michubuko ukeni kutokana na vidonda vya magonjwa ya zinaa

Maumivu haya hutokea muda mfupi baada ya tendo la ndoa. Mwanamke huhisi maumivu kwa ndani zaidi ukeni au chini ya tumbo. Maumivu huwa makali na huchukua muda mrefu. Maumivu ya chini na ndani zaidi ukeni huleta hisia kama muwasho mkali wa pilipili au kama unakatwakatwa na viwembe na ukinawa unazidi kupata maumivu.

Part-time guilt, full-time stress

NUKUU: Maumivu ya ndani zaidi ukeni wakati mwingine huambatana na hali ya kuhisi kama kuna kitu kinasukumwa wakati wa tendo na unapomaliza tendo ukinawa unahisi kitu kimevimba ndani ukeni kama kigololi. Maumivu huwa chini ya tumbo na wakati mwingine husambaa kulia na kushoto ya mirija. Wengine huumwa na kiuno hata kutembea inakuwa shida mara tu baada ya kumaliza tendo la ndoa.

Hali ikiwa mbaya mwanamke hutokwa na damu baada ya tendo, hali ambayo siyo dalili nzuri kwani hata saratani ya shingo ya uzazi ama uvimbe katika mlango wa kizazi(Adnomyosis) nayo huonyesha dalili hii ya kutokwa na damu.

Hali ya maumivu pia huambatana na kutokwa na majimaji ukeni wakati mwingine yakiambatana na muwasho mkali na harufu. Hata wanaume wanaweza kutokwa na damu baada ya tendo badala ya manii.

Je, Nini Cha Kufanya?

Tatizo hili ni kubwa na lina vyanzo vingi kama tulivyoona, hivyo James & Ferdinand Herbal Clinic tunapenda kushauri kuwa ni vema kufanya uchunguzi kujua chanzo halisi ndiyo tiba baadaye ifuate. Unaweza kufika maabara katika Hospitali za Wilaya au Mkoa kwa madaktari wa magonjwa ya uzazi kwa wanawake ili kupata vipimo na kupata vyanzo vyake. Epuka kutumia dawa bila kujua chanzo halisi.

TIBA ZAKE

 

James Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya mfumo wa uzazi kwa kinamama, nazo ni VITAMAKA,  FRESH HERB na CARD HERB.

 

Je, Unahitaji Huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626,

Arusha-Mbauda.

 

Pia tunatoa masomo mazuri ya afya kupitia mtandao wa WHATSSAP na TELEGRAM. Unahitaji kujiunga na madarasa yetu, basi tuma namba yako ya WHATSSAP.

 

Karibuni sana

2 thoughts on “JE, NINI HUMFANYA MWANAMKE KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *