Ugonjwa wa mshipa wa nyonga huwa ni maumivu ambayo hupenya na kuingia kwenye mshipa wa nyonga, ambao hugawanyika kutoka kiunoni na kushuka kwenye mapaja na matako kuelekea chini kwenye mguu. Kwa kawaida ugonjwa wa nyonga huathiri sehemu moja tu ya mwili wako.
Ugonjwa wa nyonga mara nyingi hutokea pale pingili ya mgongo inapogandamiza sehemu ya mshipa wa fahamu. Hali hii husababisha uvimbe, maumvu na mara nyingi huwa kunakuwa na hali ya kufa ganzi katika mguu ulioathirika.
NUKUU: Ingawa maumivu yanayoambatana na ugonjwa wa nyonga yanaweza kuwa makali, lakini bado ugonjwa huu unaweza kutibiwa pasipo oparesheni ndani ya wiki chache tu. Watu wenye maumivu makali ya nyonga yanayoambatana na madhaifu ya mguu au kukosa choo au mabadiriko kwenye kibofu kunaweza kupelekea kufanyiwa upasuaji.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Maumivu yanayopenya kwenye kiuno na kushuka na kuelekea kwenye tako na kushuka chini mpaka nyuma ya mguu, huwa ni dalili ya ugonjwa wa mshipa wa nyonga. Unaweza usijisikie vizuri popote kule unapopitia mshipa wa fahamu, lakini inafaa kufuata mshipa unakopita kutoka kiunoni, matakoni na nyuma ya mguu wako na kisigino.
Maumivu yanaweza kutofautiana sana, yanaweza kuwa ya kawaida au makali, au kuhisi kama kitu kinachoma kama moto. Wakati mwingine inaweza kuonekana kama mshituko wa umeme. Inaweza kuwa hali mbaya unapokohoa au kupiga chafya, au kukaa kwa muda mrefu nako kunaweza kuongeza dalili kuwa mbaya zaidi. Kwa kawaida sehemu moja ya mwili wako huathiriwa.
Baadhi ya watu pia wana hali ya misuli kufa ganzi au kukaza katika maeneo yao ya mguu ulioathirika. Unaweza ukapatwa na maumivu katika sehemu moja ya mguu na kufa ganzi katika eneo jingine la mguu wako.
Je, Ni Kipindi Gani Unapaswa Ufike Hospitali Ili Uonane Na Daktari?
Maumivu ya kati ya ugonjwa wa mshipa wa nyonga mara nyingi hutoweka kwa muda tu. Fika hospitali haraka ikiwa kama maumivu yamezidi kuwa makali zaidi ya wiki moja, au kama hali inaendelea kuwa mbaya zaidi. Pata matibabu haraka ikiwa kama;
- Unakosa choo kwa muda mrefu
- Una maumivu makali ya ghafla kiunoni au mguu kufa ganzi au msuli kudhoofika
Je, Nini Husababisha Tatizo Hili?
Ugonjwa wa nyonga hutokea pale mshipa wa nyonga unapobanwa sana na pingiri ya uti wa mgongo. Ni mara chache sana mshipa wa fahamu unaweza kubanwa na uvimbe au kuharibiwa na ugonjwa kama vile kisukari.
Mambo hatarishi ya ugonjwa wa nyonga ni kama ifuatavyo;
- Umri kuwa mkubwa
- Uzito wa mwili kuwa mkubwa
- Kubeba mizigo mizito au kufanya kazi nzito ya kujigeuza mara kwa mara
- Kukaa muda mrefu
- Ugonjwa wa kisukari
Tiba Yake
James Herbal Clinic tuna dawa nzuri za asili zenye uwezo wa kuondoa tatizo la ugonjwa wa mshipa wa nyonga, nazo ni NEOTONIC, na FRESH HERB.
Je, Unahitaji huduma au tiba? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626,
Arusha Mbauda.
Pia tunatoa masomo ya afya juu ya magonjwa ya uzazi kama vile uvimbe kwenye kizazi, mirija ya uzazi kuziba, kukosa hedhi, kukosa ujauzito, nk, kupitia mtandao wa TELEGRAM au WHATSSAP.
Hivyo unaweza kutuma namba yako ya WHATSSAP ukaunganishwa na GROUP letu la afya.
Karibu sana!
Nawezaje kupata dawa hizo za kutibu maumivu ya nyonga,niko Wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya.
Hmm it looks like your site ate my first comment (it was super long) so I guess I’ll just sum it up what I submitted and say, I’m thoroughly enjoying your blog. I as well am an aspiring blog blogger but I’m still new to everything. Do you have any tips and hints for newbie blog writers? I’d definitely appreciate it.