UTASA AU UGUMBA KWA MWANAUME

Utasa wa mwanaume unaweza kusababishwa na uzarishaji wa mbegu kuwa mdogo, au utendaji kazi wa mbegu kuwa sio wa kawaida au kuziba kwa mirija inayosafirisha mbegu. Lakini yapo maradhi, au ajali, au matatizo sugu ya kiafya, uchaguzi wa mitindo mibaya ya maisha hasa katika ulaji na unywaji pamoja na mambo mengine yanaweza kuchangia kusababisha hali ya ugumba kwa mwanaume.

Kutokuwa na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito inaweza kuwa hali ya kufadhaisha na kukatisha tama, lakini matibabu yanapatikana kwa wote wenye tatizo hili.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Ishara kuu ya ugumba kwa mwanaume ni kutokumpatia mimba mwanamke. Kunaweza kusiwepo na dalili zingine za wazi.

Kwa namna nyingine, hata hivyo, tatizo la msingi kama vile magonjwa ya kurithi, kutokuwa na uwiano sawa wa homoni, kupanuka kwa mishipa ya vena kwenye korodani au au ugonjwa ambao huziba njia ya mbegu husababisha ishara na dalili. Dalili au ishara unazoweza kuziona ni pamoja na hizi zifuatazo:

  • Matatizo katika tendo la ndoa, kwa mfano; kushindwa kutoa kutoa mbegu au kutoa majimaji machache, au kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa, au kushindwa kudindisha uume wako.
  • Maumivu, au kuwa na uvimbe kwenye korodani
  • Maambukizi ya magonjwa kwenye mfumo wa hewa
  • Kushindwa kunusa kitu fulani
  • Matiti kuwa makubwa
  • Kupungua kwa uso au vinweleo mwilini
  • Kiwango cha chini cha mbegu kuliko kawaida(mbegu chache chini ya mbegu milioni 15 kwa milimita ya shahawa au jumla ya hesabu ya mbegu ikiwa chini ya milimita 39 kila anapotoa shahawa)

Je, Unapaswa Ufike Hospitali Kipindi Gani?

Fika hospitalini uonane na daktari ikiwa kama huwezi kumpa mimba mwanamke unapopita mwaka mzima bila kupata ujauzito au onana na daktari haraka sana kama utaona dalili hizi zifuatazo:

  • Tatizo la kutokudindisha uume wako
  • Kukosa hamu ye tendo la ndoa
  • Kuhisi maumivu kwenye korodani
  • Korodani kuvimba

Je, Vyanzo Vyake Huwa Ni Nini Hasa?

Ugumba kwa mwanaume huwa ni tatizo tatanishi. Kumpatia mwenza wako ujauzito, mambo yafuatayo lazima yatokee:

  • Lazima utoe mbegu zenye afya bora
  • Mbegu zinapaswa zibebwe kupitia manii
  • Kuna uhitaji wa kuwa na mbegu za kutosha kwenye manii
  • Mbegu lazima ziwe na uwezo wa kufanya kazi na ziweze kusafiri

Je, Vipi Kuhusu Visababishi Vya Magonjwa?

Matatizo ya ugumba kwa mwanaume yanaweza kusababishwa na idadi ya matatizo ya kiafya kama haya yafuatayo:

  • Kuvimba kwa mishipa ya korodani
  • Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile kisonono, nk
  • Mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo
  • Ugonjwa wa saratani
  • Korodani moja kupanda juu
  • Kuwa na ulemavu kwenye mirija inayosafirisha mbegu
  • Homoni imbalansi

Je, Kuhusu Mitindo Ya Maisha, Yaweza Kuwa Vyanzo Pia?

Baadhi ya vyanzo vingine vya ugumba kwa mwanaume hutokana na utengenezaji wa mazingira au mitindo mibaya ya maisha, ikiwa pamoja na:

  • Matumizi ya madawa ya kulevya
  • Upigaji punyeto
  • Utumiaji wa pombe sana
  • Uvutaji sigara
  • Mwili kuwa mnene au kuwa na kitambi, nk

Je, Tiba Yake Inakuwaje?

James Herbal Clinic tuna dawa nzuri za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa hali ya ugumba kwa mwanaume. Unahitaji kuwasiliana nasi, tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626.

Pia tunatoa elimu ya afya kwenye darasa letu la WHATSAP, hivyo unaweza ukatuma namba yako ili uweze kuunganishwa.

Karibuni sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *