Ugonjwa wa PID ni ugonjwa mbaya ambao huambukiza viungo vya uzazi katika tumbo lako la chini. Aina hii ya maambukizi husababisha idadi ya dalili ikiwa Pamoja na masuala ya mzunguko wa hedhi. Lakini utambuzi wa mapema na matibabu ya tatizo hili hukuepusha na madhara yajayo baadaye.
Je, Nini Maana Ya Maambukizi Katika Via Vya Uzazi (PID)?
Maambukizi katika via vya uzazi yaani PID huwa ni tatizo ambalo hutokea kwenye viungo vya uzazi. Kwa kawaida hutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa ambayo huenea kutoka ukeni mwako na kisha huingia ndani ya shingo ya kizazi mpaka kwenye tumbo la uzazi. Hali hii huathiri tumbo la uzazi, vifuko vya mayai, Pamoja na mirija ya uzazi. Napenda nikujuze leo ufahamu kwamba, mirija inapoziba, chanzo chake huwa ni bakteria wa PID.
NUKUU: Chanzo kikubwa cha PID ni kushiriki tendo la ndoa bila kinga na mtu mwenye maambukizi ya magonjwa ya zinaa. Maambukiz haya huingia kwako, na yasipotibiwa husababisha PID. Zipo baadhi ya sababu ambapo bakteria hubakia kwenye uke wako baada ya kumaliza kushiriki tendo la ndoa, ambazo pia zinaweza kupelekea ugonjwa wa PID.
Lakini zipo dalili nyingi zinazoambatana na PID. Unaweza kupatwa na baadhi ya dalili hizo au unaweza kupata zote kama hizi zifuatazo:
- Uchafu ukeni usio wa kawaida
- Maumivu kwenye nyonga au tumbo la chini
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Mzunguko wa hedhi kubadirika
- Kukojoa mara kwa mara huku ukihisi maumivu
- Kutokwa na damu ukeni baada ya kumaliza kushiriki tendo la ndoa
NUKUU: Ingawa dalili hizi zinaweza pia kuonyesha masuala mengine, moja ya visababishi vyake ni PID. Tatizo hili huathiri afya ya viungo vyako vyote vya uzazi na vipindi vyako vya hedhi.
Je, PID Na Vipindi Vyako Vya Hedhi Vinaungana?
Vipindi vyako vya hedhi huathiriwa kabisa na ugonjwa wa PID. Maambukizi kwa kawaida huanza ukeni mwako, na yasipotibiwa, husafiri na kuingia kwenye mfuko wa uzazi. Kuanzia hapo, yanaweza pia kuenea kwenye vifuko vyako vya mayai na kwenye mirija ya uzazi.
Wakati maambukizi yanapofika kwenye mfuko wa uzazi, basi huathiri seli na utando wa ndani kwenye mfuko wa uzazi. Ukuta huu ndio hubanduka wakati wa hedhi. Unapokuwa na ugonjwa wa PID, ndipo hubadirika jinsi mfuko wa uzazi unavyoondoa utando unaokuwa kwenye ukuta wat umbo la uzazi.
Kwa mfano, mtiririko wa damu wakati wa hedhi unaweza kuwa mkubwa kuliko kawaida unapokuwa na maambukizi katika via vya uzazi(PID). Hedhi yako inaweza pia kuwa ya muda mrefu kuliko kawaida kwasababu ya kutokwa na damu nyingi sana.
NUKUU: Unapokuwa na ugonjwa wa PID, wakati mwingine pia kipindi cha hedhi huchelea kuanza. Ingawa hedhi ya kuchelewa ni dalili ya ujauzito, inapotokana na PID, unaweza pia kupatwa na dalili zingine zenye masumbufu kama vile kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya na maumivu makali kiunoni.
Tumbo kuuma ni kipengele kingine cha hedhi ambacho huwa kibaya Zaidi unapokuwa na ugonjwa wa PID. Sehemu yah ii inaweza kutokana na maumivu ya nyonga au tumbo la chini ambayo huambatana na ugonjwa. Lakini mwili wako unajaribu kushambulia maambukizi, ambayo yanaweza kupelekea uvimbe kwenye mfuko wako wa uzazi(uterus) na vichomi.
Je, Ni Muda Gani Unapaswa Kuanza Matibabu Ya PID?
Muda wowote unapohisi maumivu ya tumbo la chini au mabadiriko kwenye mzunguko wako wa hedhi, basi unapaswa kuanza kutafuta matibabu haraka bila kuchelewa. PID ni moja ya visababishi vya maumivu na dalili zingine ambazo huathiri viungo vyako vya uzazi.
Kama ukifikiri kuwa una PID na dalili zozote zifuatazo, basi JAMES HERBAL CLINIC tunapendekeza upate tiba haraka ikiwa kama:
- Unatokwa uchafu ukeni wenye harufu mbaya
- Unahisi homa kali
- Unahisi maumivu makali kwenye nyonga
- Unahisi kutapika.
Hata unapokuwa na dalili za kawaida za PID, unapaswa kufanya haraka upate vipimo. Mabadiriko kwenye vipindi vyako vya hedhi, kutokwa na damu baada ya kushiriki tendo la ndoa, na kuhisi maumivu wakati unapokojoa vyote ni dalili ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
Unapopta matibabu mapema ili kuzia maambukizi yasiweze kuenea, ambayo husababisha PID. Maambukizi ya magonjwa ya zinaa husababisha ugumba na maumivu sugu ya nyonga. Kupitia tiba za asili, itakusaidia kabisa kupona na kuzuia madhara ya ugonjwa huu.
Unapokuwa na ugonjwa wa PID, unahitaji kupata vipimo kwa wataalamu kabisa hospitalini. Usisite kufanya vipimo.
Je, Suluhisho Lake Ni Nini?
James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa vyanzo vya PID.
Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATsAP ili tuweze kukuunganisha na darasa letu ambapo utapata masomo ya afya kila siku.
Je, Unahitaji Huduma? Basi, wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670 au 0712181626,
Arusha-Mbauda!
Karibuni sana!