Kikohozi ni njia ya mwili wako ya kuondolea kelo zinazokuwa kwenye koo, njia ya hewa Pamoja na kwenye mapafu na kinaweza kugawanywa katika aina kuu nne:
- Kikohozi laini
- Kikohozi kikavu
- Kikohozi kisichokoma
- Kikohozi kinachosababisha kuvimba kwa koo la hewa.
Kikohozi kinaweza kukukinga na makohozi, moshi, vumbi na chavua. Lakini kikohozi kinaweza pia kuwa ishara au dalili ya maradhi au magonjwa mabaya. Naomba uendelee kusoma ili ujifunze jinsi unavyoweza kutambua aina ya kikohozi ulichonacho, jinsi ya kukitibu n ani wakati gani utahitaji msaada ya matibabu kutoka kwa Tatibu.
1. Kikohozi Cha Laini
Aina hii ya kikohozi huonekana kuwa laini kwasababu kinatoa makohozi. Mara nyingi kwa kawaida kinajulikana kama kikohozi “kinachozarisha” kinaweza kuwa “kikali,” na kinaweza kukaa kwa muda wa Zaidi ya wiki tatu au kikawa “sugu,” kikakaa kwa muda Zaidi ya miezi kadhaa.
Kikohozi laini ni dalili ya kawaida ya mambo haya:
- Baridi au mafua
- Pumu(Asthma)
- Kuvimba kwa koo
- Ugonjwa sugu kwenye mapafu
- Numonia(pneumonia)
Je, Ni Muda Gani Unapaswa Kutibu Aina Hii Ya Kikohozi?
Vikohozi vingi vilaini huwa vinatoweka vyenyewe. Tiba unazoweza kuandaa nyumbani zinaweza kusaidia kutuliza dalili za kikohozi hiki. Lakini unapaswa umuone tatibu ikiwa kama kikohozi kitadumu kwa muda mrefu Zaidi ya wiki tatu au endapo kama:
- Unakohoa na kutoa makohozi yenye rangi ya njano au ya ukijani
- Unakosa pumuzi au kupumua kwa shida
- Una homa kali
- Unahisi kifua kuuma
2. Kikohozi Kikavu
Kikohozi kikavu unaweza kukihis kama kinawasha nyuma ya koo lako. Kinaweza kukusababishia mapigo ya muda mrefu, kikohozi cha mara kwa mara. Kwa kawaida chenyewe huwa hakitoi makohozi. Kikohozi kikavu kinaweza kusababishwa na uvimbe kwenye mfumo wako wa hewa. Aina hii ya kikohozi huweza kukaa kwa muda wa wiki kadhaa baada ya kuisha kwa homa au mafua.
Kikohozi kikavu kinaweza kuwa ni dalili ya:
- Homa au mafua
- Aleji
- Pumu
- Kikohozi kisichokoma
- Kiungulia kikali
- Kero kama vile mchafuko wa hewa, vumbi au moshi
- Kuvimba kwa koo la hewa
- Kuota nyama za puani
- Vidonda kooni
- Tonsesi
3. Kikohozi Kinachosababisha Kuvimba Kwa Koo La Hewa
Kikohozi kinachosababisha kuvimba kwa koo la hewa huwa ni kibaya na kisichodhibitika ambacho kinachosha sana na kinasababisha maumivu. Unaweza kusumbuka kupumua na unaweza hata kutapika. Kikohozi chenye kutoa sauti kubwa kali, mara nyingi huwa ni chanzo cha kuvimba kwa koo. Visababishi vingine ni Pamoja na:
- Pumu
- Neomonia
- Kifua Kikuu(TB)
- Kupaliwa, nk
4. Kikohozi Kisichokuwa Na Ukomo
Kikohozi kisichokuwa na kikomo ni maambukizi ambayo husababisha kero na kuvimba maeneo ya juu ya njia ya hewa, na kukufanya muhusika kusumbuka kupumua. Aina hii ya kikohozi ina sauti tofauti kama ya kubweka vile na kusababisha sauti mbaya na kupumua kwa sauti. Kikohozi hiki mara nyingi huwaathiri Watoto kuanzia miaka 5 na wachanga pia. Kikohozi hiki kinaambukiza baada ya dalili kuanza au homa inapopanda. Aina hii mara nyingi huwa hawashambulii watu wakubwa ambao njia yao ya hew ani kubwa kuliko ya Watoto.
Je, Nini Sulihiaho La Ugonjwa Huu?
James Herbal Clinic tunayo dawa nzuri kabisa ya ugonjwa huu, unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba hizi: 0752389252 au 0712181626.
Pia unaweza ukatuma namba yako ya WHATsAP ili uweze kuunganishwa kwenye GROUP letu la afya ili uweze kujifunza zaidi.
Arusha-Mbauda
Karibu sana!