Fahamu Dalili Za Kusagika Kwa Pingili Za Mgongo.

Kwa sababu tu maumivu yanatoka kwenye nyonga haimaanishi kuwa una tatizo linalohusiana na nyonga. Badala yake, maumivu yanaweza kuwa yanatoka nyuma yako, haswa, kutoka kwenye pingili za uti wa mgongo zilizosagika.

 

Endelea kusoma makala hii ili kujifunza ikiwa maelezo haya ya kawaida yanafaa kwa hali yako.

Je, Nini Maana Ya Kusagika Kwa Pingili Za Uti Wa Mgongo?

Kusagika kwa pingili ni hali ya mgongo ambapo nafasi zilizo wazi kwenye pingili nyembamba, zinapokandamiza mishipa ya fahamu. Hali hii mara nyingi hutokea shingoni na kiunoni.

Je, Nini Husababisha Kusagika Kwa Pingili Za Mgongo?

Uti wa mgongo una mifupa iliyopangwa yenye pingili kuanzia shingoni mpaka chini. Kusagika kwa pingili za uti wa mgongo husababishwa na mifupa kuwa laini

Sababu zingine za kusagika kwa pingili za uti wa mgongo zinaweza kutokana na mambo yafuatayo:

  1. Kusagika Kwa Pingili: Hali hii inaweza kutokea wakati diski kati ya pingili kwenye mgongo wako inapoteleza, kupasuka au kusagika, kukandamizwa kwenye uti wa mgongo au mishipa ya neva.
  2. Tishu Kuota Kwenye Mifupa: Uharibifu kutoka kwenye jointi za mifupa unaweza kusababisha mifupa ya ziada kujengeka kwenye pingili za uti wa mgongo. Hali hii inaweza kusababisha maumivu kwa kukandamiza mishipa yako ya neva.
  3. Pingili Kwenda Upande: Wakati pingili ya uti wa mgongo inaponda upande juu ya pingili nyingine, basi hali hii inaweza kuongeza mgandamizo kwenye mgongo wako.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Kusagika kwa pingili za mgongo mapema, hakuwezi kuonyesha dalili yoyote, lakini inaweza kuonekana hatua kwa hatua baadaye. Baadhi ya dalili ni pamoja na:

  • Maumivu ya mgongo
  • Mguu kufa ganzi
  • Miguu kuuma hasa wakati wa usiku
  • Mguu kufa ganzi unapotembea
  • Maumivu ya kupekecha maeneo ya makalio kushuka kwenye mguu

Walakini, dalili za kusagika kwa pingili za uti wa mgongo sio kila wakati zinazohusiana na mgongo wako, au miguu. Badala yake, unaweza kuhisi maumivu kwenye kiuno chako.

Kwanini Maumivu Ya Kiuno Ynaweza Kuwa Kusagika Kwa Pingili Za Uti Wa Mgongo?

Uti wa mgongo ni kifungu cha neva ambacho hupita kwenye pingili za mgongo na kuenea hadi kwenye misuli. Wakati nafasi inapungua, kama vile kusagika kwa uti wa mgongo, basi mishipa inayobanwa inaweza kuwa na uhusiano na kiunga (jointi) chako cha nyonga. Katika hali hiyo, mishipa inaweza kuwa haifanyi kazi na kuunda maumivu ya kupenya kwenye kiuno na nyonga.

Maumivu ya kiuno kutokana na kusagika kwa pingili za mgongo hutokea hasa ikiwa kuna matatizo katika eneo la kiuno. Unaweza kujua kama maumivu ya nyonga yako yanahusiana na uti wa mgongo ikiwa maumivu yanapungua wakati upokaa chini na kutokea tena unapoendelea kutembea.

Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri kabisa zenye uwezo mkubwa wa kuondoa vyanzo vya kusagika kwa pingili za mgongo. Unahitaji kupata huduma, basi tupigie: 0768 559 670/0712 181 626.

Arusha-Mbauda.

Pia unaweza ukatuma namba yako ya WHATSAP tukakuunganisha na darasa letu.

Karibuni Sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *