Watu wengi wamekuwa na dhana kwamba mshindo wa kwanza baada ya kufika kileleni ndio hulifikia yai haraka, tena huwa ni bora zaidi kwa ajili ya kutengeneza mtoto. Hata hivyo hatujui kwamba kiwango kizuri cha mbegu na mwendo wake, haimaanishi ubora mzuri wa mbegu za mwanaume.
Mchakato wa kukomaa kwa manii(Spermatogenesis) hutokea kwa mizunguko, ikichukua takriban miezi 3, huku ikiwa na mbegu milioni kadhaa zikikaribia kukomaa kila siku. Hii ni jambo la muhimu kulielewa kwa sababu kile unachokula, kunywa au matibabu ya uzazi kinaweza kufanya tofauti ya ubora wa mbegu zako zinazozalishwa kwa siku.
Je, Nini Kinachoathiri Mbegu Za Mwanaume?
Sababu za kawaida zinazotambuliwa kuwa na athari hasi kwenye ubora wa manii ni:
- Chakula au mlo
- Mtindo wa maisha unaochagua, kwa mfano; ulaji wa vyakula vilivyokobolewa, chips, vinywaji vya viwandani, wanga sana, pombe, au madawa ya kulevya,
- Magonjwa kama vile, kisukari, unene kupitiliza, nk
- Mambo ya mazingira, kwa mfano; kukaa maeneo yenye kemikali, sumu au joto kali,
- Ugonjwa kujirudiarudia kama homa, nk
- Umri
- Uzito wa mwili kuwa mkubwa sana
Mambo haya huweka mzigo mkubwa mno mwilini, yawe yanasababisha mabadiliko ya uwiano sawa wa homoni kwenye korodani, au kuchuja kupitia mkondo wa damu, kula chakula kilichochafuliwa, ndio chanzo cha mwendelezo wa seli za manii.
Mbegu za mwanaume zinapokosa afya bora na kuwa mbaya, husababisha mambo haya yafuatayo:
- Hupunguza kiwango cha urutubishaji yai
- Hushindwa kukuza kiinitete
- Mimba huharibika au kutoka
- Mtoto kuzaliwa na kasoro
- Kuwa na magonjwa mengine kama saratani, nk.
Hitimisho
Kwa kifupi ni kwamba, afya ya manii au mbegu za mwanaume ni muhimu vile vile kama ilivyo afya ya mwanamke, hata hivyo, wenza (wanandoa) wengi wanashindwa kuona umuhimu wa mchango wao. Lishe yenye afya bora na mtindo wa maisha hubadirisha muongezeko wa virutubisho. Walakini, haya yote lazima yaanzishwe angalau miezi 3 kabla ya kumpa mimba mwanamke au kutibu kabisa kizazi.
Makala yetu inaishia hapa, nakaribisha kipindi cha maswali na maoni yako. Pia unaweza kutuma namba yako ya WhatsAp tukakuunganisha na darasa letu la masomo ya afya juu ya matatizo ya uzazi.
Je, Suluhisho Ni Nini?
James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri kabisa zenye uwezo mkubwa wa kuondoa chanzo cha tatizo hili. Unaweza pia kutuma namba yako ya WHATSAP tukakuunganisha na darasa letu uzidi kujifunza masomo ya afya.
Unahitaji huduma, basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712181626,
Arusha-Mbauda,
Karibuni sana!
Vyakula gani vinafaa kwa kuboresha mbegu za mwananume?
Vyakula vizuri katika nafaka ni mtama, ngano, na uwele. Vifanye hivi kama unga ili utumie kwa ugali au uji. Pia katika matunda tumia parachichi, na katika vyakula vya mbegu tumia karanga, katika vyakula vya miziz tumia mihogo.