Mpendwa msomaji, naomba utege sikio nikueleze kwa kifupi tu uweze kujua habari ya homa ya matumbo.
Homa ya matumbo(Typhoid) kwa kawaida husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi.
Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kwa kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mtu aliyambukizwa.
Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.
Je, Dalili Zake Ni Zipi?
- Homa kali
- Kutoka kwa majasho mengi
- Kuharisha (bila ya kutoa damu)
- Mara nyingine, vitone vyekundu huonekana kwenye mwili.
Kwa kawaida, homa ya matumbo isipotibiwa hugawanyika katika hatua nne, kila hatua ikichukua takriban wiki moja.
Katika wiki ya kwanza:
- Joto la mwili huongezeka
- Kichwa huuma
- Kukohoa
- Damu kutoka kwa pua, ingawa tukio hili huwa ni nadra kutokea.
- Maumivu ya tumbo pia huweza kutokea
Katika wiki ya pili:
- Homa huongezeka
- Mgonjwa huanza kupagawa, kama mwenda wazimu
- Vitone vyekundu huanza kutokea kwenye kifua
- Mgonjwa huharisha, takriban mara sita au nane kwa siku.
- Kutapika kwa mgonjwa
- Ini la mgonjwa huvimba
- Homa ya mgonjwa huongezeka katika wakati wa alasiri kwenye wiki ya kwanza na ya pili.
Wiki ya tatu:
- Matumbo hutoa damu.
- Matumbo hutoboka
Wiki ya tatu ikimalizika, homa huanza`kutulia. Hii huendelea hadi wiki ya nne.
Kumbuka: Homa ya matumbo haiuwi binadamu. Ila pindi uonapo kati ya dalili zilizoainishwa hapo juu ni vema ukawahi Tiba na vipimo sahihi vya kitaalamu katika kituo cha afya kilicho karibu na wewe.
TIBA ZAKE
James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye uwezo wa kuondoa tatizo hili bila kufanya upasuaji kwani zina uwezo wa kuua vimelea wote wanaosababisha tatizo hilo ni NEOTONIC.
James Herbal Clinic tunapatikana Arusha na pia tuko na mawakala zetu nje ya mkoa wa Arusha. Unahitaji huduma tunaomba utupigie kwa namba zifuatazo: 0752389252 au 0712181626
Kupata blog ya kitaalamu unayoweza kuitumia kujifunza elimu juu ya vyanzo vya magonjwa na dalili zake, tembelea: www.jamesherbalclinic.or.tz