JE, UNAZIJUA FAIDA ZA PHYTOGUARD?

 

Phytoguard ni dawa ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea ya asili zaidi ya 12. Mimea hii inavirutubisho vya vitamini na madini aina mbalimbali. James Herbal Clinic imeandaa aina hii ya tiba kwa ajili ya magonjwa ambayo si ya maambukizi hasa mapungufu ya lishe mwilini.
 Phytoguard inatibu magonjwa yafuatayo:
·       Kisukari: Kisukari ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari aina ya glucose katika mwili kutokana na  mwili wake kukosa uwezo wa kutengeneza insulin ya kutosha au seli za mwili wake haziwezi kutumia insulin iliyopo au pengine mwili kuwa na matatizo yote mawili kwa pamoja. Phytoguard inapotumiwa na mgonjwa wa kisukari huzuia kuendelea kwa hali ya kisukari mwilini.
·       Kuvurugika Kwa Homoni: Mfumo wa homoni kwa lugha ya kitaalamu unaitwa “endokrini”, yaani “mfumo unaomwaga ndani ya mzunguko wa damu. Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi. Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko katika homoni ya Istrojeni. Mabadiliko haya mara nyingi hutokea wakati wa kuvunja ungo, wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito na wakati wa ukomo wa hedhi (menopause).Vitu vingine vinavyopelekea mabadiliko ya homoni ni pamoja na kuongezeka umri, lishe duni, mfadhaiko au stress, kukosa usingizi, nk. Phytoguard husaidia sana katika kuondoa tatizo la homoni.
·       Mfumo Kinga Wa Mwili: Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembechembe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa. Lakini mfumo wa kinga unaposhuka na kupoteza nguvu zake, Phytoguard hurejesha na kuujenga upya.
·       Kukosa Hisia Za Tendo La Ndoa: Wanaume wengi hawapendi kulizungumzia tatizo hili waziwazi na hata wanawake pia. Pamoja na kwamba tatizo hili halijitokezi sana kwa wanaume ukilinganisha na wanawake, inakadiriwa kuwa asilimia 15 hadi 16 ya wanaume wana tatizo hili, kwa lugha nyepesi kuna mwanamme mmoja mwenye tatizo hili baina ya kila wanaume sita au saba. Idadi ya wanawake wenye tatizo hili ni mara mbili ya wanaume. Tatizo hili huwakera zaidi wanaume kuliko wanawake kwa sababu wanaume huchukulia urijali kama sehemu ya ukamilifu wa mwanaume na hunyongea wanapoona wana mapungufu kuhusu mambo ya mapenzi, tofauti kabisa na wanawake. Idadi ya wanaume wanaoridhika kuishi na tatizo hili ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya wanawake. Hata hivyo tatizo la mwanaume kukosa hamu ya kufanya mapenzi limebainika kuwa ndilo linaloongoza katika kuleta migogoro ya unyumba kuliko matatizo mengine yote. Phytoguard hurekebisha tatizo hili na kumfanya mwanaume kuwa na hamu ya tendo la ndoa.
·        Matatizo Ya Moyo: Ikiwa chanzo kikubwa cha vifo vingi duniani, ni magonjwa ya moyo yakiwa ni pamoja na ugonjwa wa mshtuko wa moyo, ugonjwa wa mishipa ya mfumo wa fahamu (kiharusi), shinikizo la damu, ugonjwa wa mishipa ya ateri, ugonjwa wa moyo kupooza, ugonjwa wa moyo wa kurithi na moyo kushindwa kufanya kazi yanaigharimu nchi kiuchumi na kijamii kwa kiasi kikubwa. Watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa yanayohusiana na moyo kila mwaka, hali ambayo inahitaji hatua madhubuti na msaada wa kimkakati wa wadau wa maendeleo ili kubadili hili tatizo. Mambo hatarishi ya kitabia na ya kisaikolojia yanadaiwa kuchangia 75% ya magonjwa ya moyo. Kwa kweli, magonjwa mengi yanayohusiana na moyo yanaweza kuzuiwa kwa kushughulikia mambo hatarishi. James Herbal Clinic tuna dawa nzuri aina ya Phytoguard ambayo husaidia sana kurekebisha misuli ya moyo, mishipa ya moyo, na mwendo wa damu kwa ujumla.
·        Mfumo Wa Uzazi(Mwanaume na mwanamke): Mfumo wa uzazi kwa mwanaume ni muunganiko wa viungo ambavyo viko sehemu ya chini kwenye kitovu ambavyo ni vya nje na vya ndani, yaani viungo vinavyoonekana na visivyoonekana. Katika mfumo wa uzazi wa mwanamke hujumuisha sehemu ya nje na ndani pia. Mfumo wa uzazi unaweza ukawa na mapungufu ama madhaifu mbalimbali kutokana na kupungukiwa virutubishi vyake hasa madini ya zinki, magneziam, nk. Phytoguard inasaidia sana katika kujenga na kurekebisha  matatizo yoyote yanayokuwa katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke pia.
·        Mzunguko Wa Damu: Mzunguko wa damu unafikisha mwilini mwote virutubishioksijenihomoni na seli za damu ili kulisha, kukinga dhidi ya maradhi, pamoja na kudhibiti halijoto na uwiano kwa jumla. Damu ni chombo cha kusafirisha mahitaji ya seli kama vile virutubishi na oksijeni pale panapohitajika, halafu inapokea dutu zisizohitajika tena kutoka seli na kuzipeleka kwa viungo zinapoondolewa mwilini. Phytoguard ni dawa nzuri kwani huongeza virutubishi vya seli za damu na kuboresha mzunguko wa damu mwilini.
·        Kukosa Kumbukumbu: Kuna mambo ya kuvutia katika jinsi ubongo unavyofanya kazi, ni mengi lakini la utunzaji wa kumbukumbu ni jambo la kushangaza iwapo utafikiria kiundani. Uwezo wa ubongo wa binadamu katika kutunza kumbukumbu ni wa hali ya juu. Ubongo una neurons karibu bilioni moja na kila neuron inaunda njia takribani elfu moja zinazounga neurons nyingine na hivyo kuleta miunganiko zaidi ya trillioni moja. Neurons hizo zinapopungua, mwanadamu hupatwa na madhaifu mbalimbali ikiwa pamoja na kukosa kumbukumbu. Phytoguard inapotumiwa husaidia sana kurejesha kumbukumbu mwilini kwani huongeza uzarisha neurons kwenye ubongo.

 

Unahitaji huduma unaweza kutupigia kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626