Je, Mawe Ya Figo Ni Nini?
Kwa asili haya huwa sio mawe, bali huwa vibongevibonge vidogovidogo vigumu vinavyojengeka ndani ya kibofu nyongo ambacho ni kiungo kidogo tu kinachokuwa chini ya ini.
Unaweza usitambue kuwa una mawe ya figo mpaka pale yatakapoziba kineli cha nyongo(bile duct), na kusababisha maumivu ambayo utahitaji yatibiwe kwa haraka sana.
Aina Za Mawe Ya Nyongo.
Zipo aina mbili za mawe ya nyongo, nazo ni:
1. Vibonge vigumu vinavyotokana na mafuta(Cholesterol stones): Hivi kawaida huwa vyenye rangi ya njano ukijani.
2. Vibonge vigumu vyenye rangi nyeusi(pigment stones): Hivi hutokana na mkusanyiko wa uteute ujulikanao kama bilirubin ambao hutokana na nyongo, ute ambao hutengenezwa na ini lako na kisha kuhifadhiwa na kibofu cha nyongo.
Je, Nini Husababisha Mawe Ya Nyongo?
Hali hii huwapata hasa wanawake kuliko wanaume. Nayo hujitokeza sana kwa wanawake wanene hasa wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea.
Zipo sababu mbalimbali zinazopelekea kuwapo kwa hali hii nazo ziko kama ifuatavyo:
· Kisukari
· Kipandauso
· Magonjwa ya ini,
· Unene,nk.
Visababishi vyote hivi nilivyotaja hapo juu hutokana na ulaji mbaya. Nyongo inaweza kuwa sehemu ya tatizo linaloweza kuwa kero katika maisha yako. Mwili wako unahitaji nyongo, lakini ikiwa kama nyongo ina mafuta mengi ndani yake, basi ndipo vijibonge vya mawe ya nyongo hujengeka.
Dalili Zake
Dalili zake huwa kama ifutavyo:
· Tumbo kujaa gesi
· Kujisikia tumbo kuunguruma hasa baada ya kula chakula chenye mafuta mengi
· Maumivu makali ya mara kwa mara chini ya kifua ambayo hupenya mpaka kwenye bega la kulia au la kushoto na hata kwenye mgongo. Maumivu yanaweza kukaa kwa muda wa dakika 30 na zaidi.
· Kuhisi kichefuchefu
· Kutapika
· Homa
Dalili hizi mara nyingi hujitokeza mara mgonjwa anapomaliza kula vyakula vilivyoungwa au kukaangwa kwa mafuta.
Je, Fresh Herb, Neo-Powder na Neotonic Husaidia Nini Katika Mawe Ya Figo?
Dawa hizi huzuia na huondoa uvimbe na huzuia mawe ya figo kujengeka kwenye figo, hivyo hutibu tatizo la mawe ya figo. Na ieleweke kuwa, FRESH HERB, NEOPOWDER na NEOTONIC, ni dawa zenye mchanganyiko wa mbogamboga, matunda na mimea ya asili. Katika michanganyiko hiyo, kuna mmea mojawapo wenye kirutubishi aina ya Curcumin, nacho kina nguvu zaidi kwani husaidia sana katika magonjwa sugu nay a kawaida pia.
Je, Curcumin Inayokuwa Kwenye Tiba Hizi Inaweza Kuzuia Mawe Ya Figo Na Kufanya Marekebisho Kutokana Na Uharibifu Uliofanywa Na Mawe Ya Figo Mwilini Mwako?
Mimea iliyotumika kutengeza Fresh Herb, Neopowder na Neotonic inajulikana kama mimea ambayo huzuia mjengeko wa mawe ya figo, na pia hupunguza mafuta pamoja na kiwango cha nyongo.
Mafuta au lehemu huwa ni hali ambapo nyongo kutoka kwenye ini hushindwa kufikia kwenye utumbo. Zipo sababu mbalimbali zinaoweza kupelekea hali hii, ikiwamo kuziba kwa kineli cha nyongo kutokana na mawe ya figo.
Lakini kwa kutumia tiba ya FRESH HERB, NEOPOWDER na NEOTONIC huzuia ini lisiweze kuharibiwa na mawe ya figo na pia huzia kuwapo kwa mrundikano wa mafuta kwenye nyongo.
Kitendo cha nyongo kushindwa kupita kwenye mrija wake(Bilary dyskinesia), husababisha hali mbaya sana kwa muhusika. Lakini mchanganyiko wa mimea iliyomo katika tiba ya FRESH HERB, NEOPOWDER na NEOTONIC husaidia sana kuondoa mauimivu ya tumbo kama vile vichomi pamoja na dalili zingine kwa wagonjwa wanaopatwa na tatizo la kuziba kwa mrija wa nyongo(bilary dyskinesia).
Utafiti unaonyesha kwamba, virutubishi aina ya curcumini vinavyokuwa kwenye tiba hizi husaidia kuzuia kujengeka kwa mawe ya figo kwa kurekebisha mtiririko wa nyongo pamoja na kiwango cha mafuta. Circumin kwa sifa yake ya kuzuia uvimbe na kuondoa sumu mwilini inaonyesha kuwa ni tiba nzuri kwa magonjwa ya uvimbe na mrundikano wa vitu kujengeka sehemu zozote mwilini mwako.
Uonapo dalili hizi tafadhali wahi mapema hospitali ili ukafanye vipimo vya damu, Ultrasound, CT-Scan au X-ray.
Jinsi Unavyoweza Kutumia FRESH HERB na NEOPOWDER Ili Kusaidia Kuzuia Na Kuondoa Matatizo Ya Mawe Ya Figo.
Chukua maziwa ya moto sana kikombe 1 cha chai, ongeza kijiko 1 cha chai cha dawa, koroga vizuri halafu funika na sahani juu uiache dawa ikae kwenye maziwa kwa muda wa dakika 20, kisha funua, ongeza asali mbichi vijiko 2 vya mezani, koroga, kisha kunywa. Fanya zoezi hili mara 3 kila siku.
Tahadhari
James Herbal Clinic tunapenda kukupa tahadhari kuwa tiba hizi usizitumie ukiwa kama umetoka katika hali ya upasuaji muda mfupi tu(prior to surgery).
Unahitaji kupata huduma zetu, tafadhari tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626