JE, WAIJUA FAIDA YA FRESH HERB?

James Herbal Clinic tuna dawa za mimea ya asili zenye mchanganyiko wa vyakula vya asili. Fresh Herb ni dawa ya asili yenye Viua sumu na kemikali(ni antioxidant); huuondoa na kuzuia uvimbe( ni anti-inflammatory);  na huua bakteria tumboni( ni antibacterial).

Fresh Herb hutibu magonjwa mengi kama ifuatavyo:

 

 

  1. Matatizo katika mfumo wa hewa(Cystic fibrosis)

 

 

 

 

Katika mfumo wa hewa kuna maradhi mengine ya kurithi kama vile pumu, nk, ambayo huharibu mapafu, mfumo wa umengenyaji chakula(digestive system), pamoja na viungo vingine katika mwili. Maradhi ya kurithi kama vile pumu pia huathiri seli zinazotengeneza ute utelezi(mucus), jasho pamoja na ute unahusika na umengenyaji chakula tumboni(digestive juice).

Related image

Hali hii inapoendelea kuwa sugu, huathiri mirija ya kongosho, ini pamoja na figo. Fresh Herb ina kiondoaa sumu(antioxidant) chenye nguvu ambacho kitaalamu huitwa, “Curcumin.” Fresh Herb inapotumiwa husaidia kusafisha mfumo wa hewa, mirija ya hewa, pamoja na tezi zinazokuwa katika mfumo huo. FRESH HERB inapotumiwa pamoja na NEOTONIC husaidia kuondoa ugonjwa wa pumu, kikohozi kigumu, na magonjwa mengine yanayokuwa katika mfumo huo.

 

 

 

 

  1. Matatizo Ya Tumbo La Chakula

 

Fresh Herb inasaidia kuondoa matatizo ya tumbo kama vile kukosa choo, vichomi, na choo kigumu. Kirutubishi kinachokuwa kwenye Fresh Herb ambacho ni Curmin, husaidia kurekebisha na kuondoa matatizo ya kukosa choo. Fresh Herb huondoa kwa uhakika matatizo ya vidonda vya tumbo(ulcers), kutokwa na damu na muwasho wakati wa haja kubwa.  FRESH HERB, CARD HERB na WONDERFUL OIL zinapotumiwa kama dozi pia husaidia kuondoa hali ya uvimbe sehemu ya njia ya haja kubwa.

 

 

  1. Matatizo Katika Mfumo Wa Uzazi Kwa Mwanamke na Mwanaume

 

 

 

 

 

 

Fresh Herb husaidia katika mfumo wa uzazi wa mwanamke hasa anapokuwa katika kipindi cha hedhi. Dawa hii huondoa hali ya maumivu makali ya chango la mwanamke anapokuwa hedhini, maumivu ya kiuno au mgongo. Pia husafisha damu wakati wa hedhi na kuondoa hali ya mabonge, ama makamasikamasi kwenye damu ya hedhi. Fresh Herb humsaidia mwanamke anapokuwa anatokwa na uchafu sehemu za uke, na hurekebisha mzunguko wa homoni.

 

Related image

Fresh Herb hutibu ugonjwa wa endometriosis ambao ni seli zinazotanda kwenye ukuta wa ndani wa mji wa uzazi(uterus). Ugonjwa huu umekuwa ukiwaathiri wanawake wengi hivi sasa na kuwafanya kuwa wagumba. FRESH HERB inapotumiwa pamoja REDEEMER na VITAMAKA husaidia kuondoa tatizo hili na kumfanya mwanamke kupata ujauzito.

 

 

NUKUU: Katika mfumo wa uzazi wa wanaume tunaona tatizo la kuishiwa nguvu za kiume imekuwa changamoto kubwa sana duniani pote. Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linaathiri wanaume mamilioni duniani leo kutokana na matumizi ya sigara, madawa makali ya vidonge, pombe, vyakula ama vinywaji vibaya. Kutokana na hali hii, wanaume wengi wamekuwa wakipatwa na uvimbe wa tezi dume, ambao baadhi yao huwafanya kuwa wagumba ama kuishiwa nguvu za kiume kabisa. FRESH HERB inapotumiwa na VITAMAKA, NEOTONIC pamoja na asali husaidia kabisa kuondoa visababishi vya tatizo la kukosa nguvu za kiume kama vile mkusanyiko wa sumu na kemikali mbalimbali mwilini.

 

 

  1. Kuondoa Sumu Na Uchafu Mwilini

 

 

 

 

 

Fresh Herb huliwezesha ini kufanya kazi kwa nguvu zaidi, hivyo huondoa sumu na uchafu kwenye mzunguko wa damu na kwenye mfumo wa umeng’enyaji chakula. Viua sumu(antioxidants) vinavyokuwa kwenye Fresh Herb huondoa magonjwa yanayokuwa kwenye ini na kwenye figo pia.

 

 

  1. Huimarisha Afya ya Misuli ya Moyo:

 

 

 

 

Zipo tofauti chache tu kati ya vitamini B6 na Curcumin katika Fresh Herb. Vitamini B6 na Curcumin husababisha misuli ya kuta za moyo kuharibika kutokana na msukumo mkubwa wa damu. Fresh Herb inapotumiwa na asali mbichi pamoja na maziwa fresh ya moto, huondoa hiyo hali na kuimarisha misuli ya moyo wako, na hivyo kuondoa matatizo katika mishipa ya mishipa.

 

 

  1. Maumivu Katika Viunganishi Vya Mifupa Au Gouti(Arthritis):

 

 

 

 

 

Tatizo la gauti huathiri viunganishi vya mifupa(joints) kutokana na wingi wa uric acid mwilini. Kwa kawaida uric acid huwa ni uchafu unaokuwa kwenye miili yetu, nao huzama kwenye damu na kisha huchujwa na figo.  Hata hivyo kiwango cha uric acid kinaweza kuwa kikubwa kwenye damu(hyperuricemia). Uric acid inaweza pia kusababisha mawe ya figo. Ugonjwa wa Gout au Jongo kwa Kiswahili, athari ya kwanza inayojitokeza huwa ni kwenye kidole gumba cha mguu, na humsumbua muhusika hasa wakati wa usiku kwani humfanya kukosa usingizi kabisa.

 

 

Image result for image of a man with arthritis

 

FRESH HERB inapotumiwa na NEOTONIC ina uwezo mkubwa wa kuondoa ongezeko la uric acid mwilini na hivyo, kuondoa maumivu. Hutibu kabisa tatizo la Gout au Jongo(arthritis).

 

  1. Ugonjwa Wa Goita

 

 

 

 

 

 

Goita ni kukua kwa tezi ya thyroid ambayo ni sehemu ya mfumo wa endocrine unaohusika na uzarishaji wa homoni za thyroxine na triodothyroxine, nazo hurekebisha utendaji kazi wa viungo mbalimbali mwilini mwako. Utendaji kazi wa tezi ya thyroid huendeshwa na tezi mbili ambazo ni pituitary na hypothalamus zinazokuwa kwenye ubongo wako. Homoni za tezi ya thyroid zinapoharibika, tezi ya pituitary huanza kutengeneza homoni za tezi ya thyroid ili kusisimua.

 

Related image

. Ili kuzuia kiwango kikubwa hiki cha homoni kisiwepo, tezi ya thyroid hukua na kufikia hali ya goita, nayo hutokana pia na kupungukiwa kwa madini ya Iodine mwilini. FRESH HERB inapotumiwa na CARD HERB ina uwezo wa kuondoa tatizo la Goita kwani huongeza madini hayo na kuimarisha tezi zote.

 

 

 

 

 

 

 

 

  1. Maambukizi ya zinaa(Sexual Transmited Diseases)

 

 

 

Fresh Herb inapotumiwa na dawa zingine kama vile Multicure Powder  na  Redeemer, husaidia sana kuua bakteria wa maambukizi ya UTI, kaswende, pangusa, nk, vinavyosababisha tatizo la PID.

 

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626

 

 

 

Arusha-Mbauda

 

 

Karibuni sana

 

 

 

One thought on “JE, WAIJUA FAIDA YA FRESH HERB?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *