Kama unakuwa na muda mgumu wa kupata ujauzito, basi tulia, Jame & Ferdinand Herbal Clinic tutakusaidia.
Kwanza kabisa kumbuka kuwa, inamchukua mwanamke miezi 4-6 kubeba ujauzito mara anapomaliza kufunga ndoa. Anapomaliza mwaka mzima hajapata ujauzito, basi inaonyesha kuwa ana asilimia 85-95% ya kuwa na nafasi ya kupata ujauzito kabla hafika hospitali kumuona daktari.
NUKUU: Kuzaa Mtoto Huwa Ni Mbaraka Katika Maisha Yako: Kwasababu hiyo, ujauzito huwekwa kwa wakina mama wale wenye afya kamili ya kutosha kubeba mtoto tumboni. Hata hivyo, mitindo ya maisha ya kisasa tuliyonayo leo yanaenda kinyume na jinsi miili ya wanawake wanapohitaji kubeba ujauzito.
Leo tunaenda kujifunza jinsi unavyoweza kuchochea uwezo wa kubeba ujauzito. Yote unayohitaji ni kuchukua tahadhari na uangalifu katika uwezo wa vichocheo au homoni katika mwili wako.
Ugumba mara nyingi huwa ni matokeo ya vichocheo kutokuwa katika uwiano sawa(hormone imbalance).
Wanawake wengi duniani wamekuwa wakiugua tatizo la homoni ya estrogen, insulin, cortisol na adrenaline kutokuwa katika uwiano sawa. Matatizo haya ya homoni huja kutokana na mambo yafuatayo:
- Afya duni ya mwili
- Uvimbe kwenye kizazi
- Msongo mkubwa wa mawazo
- Mwili kujaa sumu na uchafu
Kwa bahati nzuri, James & Ferdinand Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye uwezo wa kurekebisha uwiano wa vichocheo au homoni na kukuwezesha kupata ujauzito.
Sehemu Bora Kabisa
Kurekebisha uwiano wa homoni usio sawa unaweza kuufanya mwenyewe pale unapotumia REDEEMER, CARD HERB na VITAMAKA. Vipo vyakula vya matunda mbalimbali pamoja na vingine unavyoweza kutumia.
Vyakula vinayotumika kupunguza uzito huwa vinatofautiana na vile vinavyotumika kwa ajili ya ujauzito. Wanawake wengi huambiwa kupunguza mafuta mwilini ili waonekane wembamba. Hata hivyo, chakula kisichokuwa na mafuta kinaweza kuzuia uwezo wako wa kubeba ujauzito.
Kwanini?
Kwasababu miili yetu inahita mafuta mbalimbali ili kuvifanya vichocheo au homoni kuwa katika uwiano sawa. Bila mafuta kama vile tofari ya kujengea, basi uzarishaji wa homoni hushuka na huanza kuporomoka.
Chakula kinapopungukiwa asidi ya mafuta(fatty acid), basi mwili hushindwa kunyonya vitamini pamoja na madini fulani kwa ajili ya uzarishaji wa homoni au vichocheo.
NUKUU: Chakula kinachopunguza uzito wa mwili pale unapokuwa mjamzito kinaweza kusababisha matatizo ya afya kwako na kwa mtoto wako aliyeko tumboni mwako. Utumiaji wa vyakula vibichi unapokuwa mjamzito vinaweza kunyong’onyeza wewe pamoja na virutubishi vya mwanao kama vile folic acid pamoja na madini ya chuma.
Je, Vyakula Gani Vya Kuepuka Wakati Wa Ujauzito?
Vyakula vya kuepuka wakati wa ujauzito kwa wanawake wenye matatizo ya kutokushika ujauzito hasa wale wenye miili mikubwa, ni vile vyenye wingi wa mafuta yaliyoganda.
Jiepushe na vyakula vilivyokaangwa na mafuta mengi kama vile chips, nk. Yapo mafuta mazuri utakayotakiwa kuyatumia na utayapata kwenye vyakula vizuri kama vile samaki, na matunda ya parachichi.
Chakula cha kutumia wakati wa ujauzito kinapaswa kiongeze calorie 300 kwa siku. Tumia mafuta ya nazi, samaki wa maji ya chumvi, pamoja na matunda ya parachichi.
NUKUU: Vyakula hivyo vitakusaidia pia kupunguza hatari ya kuongezeka kwa uvimbe wowote mwili, na hivyo kusaidia kuongeza kiwango cha uwezo wa kuyeyusha mafuta mwilini.
Je, Unawezaje Kulitafakari Jambo Hili?
Kwakuwa tendo la kutafakari huondoa mzunguko wa msongo wa mawazo anayoyapata muhusika, hivyo huondoa hali ya kuzuia ujauzito. Unapokuwa na mazoea ya kukaa au kutembelea maeneo fulani mazuri na kutafakari vizuri, kutakufanya kutuliza mawimbi ya ubongo wako.
NUKUU: Kitendo cha kukaa peke yako kwa muda fulani, bila kuvurugwa mawazo, ni hali itakayokufanya uwe na matarajio mazuri ya kupata mtoto baadaye.
Baada ya kukaa katika hali ya utulivu huku ukitafakari kwa muda wa majuma mawili hivi, bila shaka hutakuwa na wasiwasi bali mwili wako utakuwa katika hali nzuri kabisa tayari kwa kubeba ujauzito.
Kumbuka pia hali ya mazoezi inatakiwa ifanyike vizuri katika mwili wako. Na katika kipindi hicho, mambo mengi yatatokea kama vile:
- Hali ya kutokupata ujauzito itapungua
- Mtiririko wa damu kwenda kwenye mfuko wa uzazi(uterus) utaongezeka, ambayo ni ishara mojawapo ya kukuonyesha kwamba utapata ujauzito
- Tezi za pituitary, hypothalamus,pamoja na mayai, vyote hivyo vitakuwa katika hali ya kawaida kabisa, tayari kwa ajili ya kupata ujauzito.
NUKUU: Vyakula vya lishe kwa mama mjamzito vimebadirika kwa kasi sana katika karne hii tuliyonayo. Vyakula vya asili mashambani vimetoweka, na hivyo hali ya kubeba ujauzito wanawake inaonekana kupungua, kwani wengi wamekuwa wakitafuta kubeba ujauzito lakini kwa taabu sana.
Je, Kwanini?
Matatizo Ya Uvimbe Kwenye Tumbo La Uzazi(Fibroids)
Matumizi mabaya ya vyakula vya kisasa visivyo vya asili yamekuwa chanzo mojawapo cha matatizo ya uvimbe kwa wanawake, magonjwa ya moyo, kisukari, uzito wa mwili kuongezeka, msongo wa mawazo, nk. Hali ya msongo wa mawazo inapokuwa kubwa , na mwili ukawa ukawa na kiwango kikubwa cha asidi tumboni, hivyo mwili hautaweza kutengeneza hali ya kupata ujauzito. Homoni au vichocheo havitakuwa sawa(hormone imbalance).
Je, Unawezaje Kuiondoa Hali Ya Kutopata Ujauzito?
Ili uwe kurejesha hali yako ya kawaida ya kupata ujauzito, JAMES & FERDINAND HERBAL CLINIC tunakushauri utumie dawa zifuatazo:
- Redeemer
- Card Herb
- Vitamaka
- Phytoguard
Je, Vyakula Gani Vya Kuepuka Kutumia Unapotumia Tiba Hizo?
Epuka kutumia vyakula vifuatavyo:
- Mafuta ya soya
- Mafuta ya pamba
- Vyakula vilivyokaangwa kwenye mafuta sana
- Vyakula vya kuokwa
Je, Vyakula Gani Vya Kutumia?
Unashauriwa kutumia vyakula vifuatavyo:
- Samaki
- Nyama zitokanazo na wanyama wa kienyeji
- Mboga za majani za asili
Hitimisho:
Ili uwe katika hali nzuri ya kubeba ujauzito, yafaa kuutibu mwili wako vizuri kabisa. Nikimaanisha kwamba mwili uwe na uwezo wa kuwa na vichochezi au homoni zenye uwiano sawa kila siku kutokana na vyakula unavyotumia, mazoezi unayofanya, muda wa kulala unaotumia na kupumzika pia. Najua wapo baadhi ya wanawake wanakuwa busy muda wote katika kazi zao, na hili ni moja ya changamoto kubwa. Unapaswa kuwa na muda wa kupumzika na kutafakari mambo mazuri. Hali hii itakusaidia kuzuia na kuondoa matatizo ya uvimbe tumboni na kukufanya kuwa katika afya njema.
NUKUU: Jaribu kutumia vyakula vyenye wingi wa mafuta ili kuhakiki ubora wa lishe, lakini pia hupunguza uwezo wa kuingia matatizo ya uvimbe mwilini. Epuka sana vyakula vilivyosindikwa, au kukaangwa sana. Napenda nikushauri kuwa, kama unahitaji kupata ujauzito, jitahidi sana kuliweka jambo la afya kuwa kipaumbele ili kutarajia habari njema.!
Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba zetu hizi: 0752389252 au 0712181626
Arusha Mbauda.
Mungu awabariki sana!
thank you for the tips. do you have any other tips?
What do you mean?