Uvimbe wa fibroid huanza kumuandama mwanamke pale anapokuwa katika umri kuzaa watoto. Kwa asili uvimbe wa fibroid huwa sio saratani, lakini unaweza ukatokea katika viwango fulani vya maumivu pamoja na madhara mengine kwa mwanamke.
NUKUU: Kwakuwa uvimbe wa fibroid huendelea kukua ndani ya mfuko wa uzazi(uterus), hivyo ni rahisi sana kutambua kuwa uvimbe huo unaweza kuleta madhara kwa mtoto tumboni. Pamoja na kuwa inafahamika kwamba uvimbe unaweza kuleta athari kwenye ujauzito, lakini bado athari hizo hazijafahamika kuwa zitakuwa katika muonekano gani, nazo hutofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja kwenda kwa mwingine.
Nipende kukujuza kuwa, mwanamke anapokuwa na uvimbe tumboni huku akiwa mjamzito, mara nyingi huwa na wasiwasi sana kuwa ujauzito wake utaharibika. Leo napenda nikupe habari njema ya kwamba, ni kitu gani unaweza kutarajia kukipata unapokuwa mjamzito endapo kama una uvimbe tumboni.
Je, Uvimbe Wa Fibroid Unaweza Kusababisha Hali Ya Kutokupata Ujauzito?
Wanawake wengi wenye matatizo ya uvimbe wa fibroid huwazia kwamba huenda uvimbe unaweza kuleteleza hali ya ugumba. Kusema kweli uvimbe wa fibroid mara nyingi huathiri uwezo wa mwanamke kuzaa, lakini athari hizi hutofautiana hasa kutokana na tatizo lenyewe.
Jambo kuu ambalo linaloweza kuokoa kama mbashiri wa athari katika utungishaji mimba, huwa ni maeneo ambapo uvimbe unaweza kujitokeza. Kama vivimbe vya fibroid vitajitokeza katika maeneo fulani ya mfuko wa uzazi, hakika vinaweza kuharibu umbo na saizi ya mfuko wa uzazi. Jambo hili ni kweli kabisa endapo kama vivimbe vitaota na kisha kuwa vikubwa sana.
NUKUU: Wanawake wanaoamini kuwa wanaweza kuwa na vivimbe tumboni wanapaswa kuonana na madaktari haraka sana bila kuchelewa, hasa wanapokuwa na matumaini ya kuwa wajawazito ama kubeba ujauzito baadaye.
Je, Uvimbe Wa Fibroid Unaweza Kuleta Athari Gani Kwa Afya Ya Mama Au Mtoto?
Swali lingine ambalo wanawake wengi wenye matatizo ya fibroid hujiuliza huwa ni kwamba, huenda uvimbe kwenye kizazi utasababisha hatari kwenye afya zao ama kwenye uhai wa kiumbe kinachokuwa tumboni. Kwa bahati nzuri, wanawake wengi wenye matatizo ya uvimbe huwa wapo tayari kubeba ujauzito wa kawaida kabisa na kujifungua vizuri tu bila kufanyiwa upasuaji. Hata hivyo vivimbe vya fibroid vinasababisha madhara kwa upande mwingine. Kwa kawaida, maelezo ya kwamba vivimbe vya fibroid vitasababisha madhara hutegemea na ukubwa wa uvimbe pamoja na eneo ambapo umejikita.
NUKUU: Bila shaka, eneo ambapo uvimbe umeota huwa ni jambo muhimu sana kulitambua mapema kuliko ukubwa wa uvimbe. Kwa mfano, mwanamke anaweza kuwa na uvimbe mkubwa sana juu ya mfuko wa uzaze wake. Kwasababu ya eneo hilo, uvimbe hautaidhuru mimba hata kidogo hata kama uvimbe ukizidi kukua. Hivyo basi napenda kuwasihi sana wanawake kuwa wasiwepende kufikiria kwamba uvimbe wa fibroid tumboni hata kama ni mkubwa eti unaweza kuathiri uwezo wa kupata ujauzito au ujauzito unaokuwa tayari umeshapatikana. Sio wanawake wote wanasumbuka na matatizo ya kutokupata ujauzito kwasababu ya uvimbe wa fibroid.
Wakati mwingine uvimbe wa fibroid unaweza kuleta hatari ya mimba kutoka au kuporomoka mwezi wa kwanza au wa pili. Hali hii hutokana na uvimbe ukiwa ndani ya mfuko wa uzazi kuliko kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi.
Kwa kawaida, tatizo kubwa ambalo uvimbe unaweza kusababisha kwenye ujauzito ni pale kondo(placenta) linapokuwa karibu uvimbe wenyewe. Kama hali hii ikitokea, basi kuwepo kwa uvimbe kunaweza kusababisha mtoto aliyeko tumboni kutokupata virutubishi maalumu, hivyo mtoto anaweza kuzariwa akiwa na mapungufu ya kilo kuliko kawaida. Hatari nyingine ni kwamba, kifuko kinachokuwa kimebeba mtoto tumboni kinaweza kupasuka mapema.
NUKUU: Vivimbe vya fibroid pia vinaweza kuziba njia ya uzazi, ambayo inaweza kuleta matatizo katika kujifungua. Zaidi ya yote napenda kuwasisitiza wanawake wajawazito huku wakiwa na matatizo ya uvimbe kuwa, uvimbe hautaathiri mtoto kwa namna yoyote. Matatizo yanayomdhuru mtoto au kumuharibu kwasababu ya uvimbe huwa ni nadra sana.
Je, Uvimbe Wa Fibroid Unaweza Kusababisha Maumivu Wakati Wa Ujauzito?
Kwa baadhi ya wanawake, vivimbe vinavyokuwa tumboni hukua kwa kasi sana wakati wa ujauzito. Maumivu huwa ni dalili ya kawaida sana kwa wanawake hawa wajawazito. Wale wanapata maumivu kutokana na uvimbe wakati wa ujauzito wanapaswa kuwa na muda wa kupumzika wasipende kufanya kazi nyingi nzito, na hivyo watumie tiba zinazoweza kutumiwa huku wakiwa wajawazito.
Kama uvimbe wa mwanamke unakua kwa kasi sana wakati wa ujauzito, hali hii inaweza kusababisha mwili kupungua. Baadhi ya dalili mbaya huwa ni:
- Maumivu makali tumboni
- Kutapika
- Kutokwa na damu ukeni
- Kuhisi kichefuchefu
- Kuhisi homa
Mwanamke hujihisi maumivu haya katika eneo lote mahali ambapo uvimbe umeota. Maumivu haya yanaweza kupenyeza mgongoni. Ijapokuwa maumivu haya yanaweza kuonekana mwezi wa pili wa ujauzito, lakini yanaweza pia kuonekana muda wowote wakati wa ujauzito.
Kama maumivu kutokana na kupungua kwa mwili yatakuwa makali, yanaweza kusababisha mfuko wa kizazi kuanza kusinyaa na kuleta uchungu.
NUKUU: Wanawake wanaopatwa na hali hii hupelekwa na hospitali na kulazwa kwa muda ili kusubiri hali ya uchungu ipotee.
Je, unahitaji huduma? Kwa mawasiliano tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626
Arusha mbauda.
Karibuni sana!
Nimepatwaa na hiii shidaa mimba yangu ina mwezi na wiki tatu damu zilitoka nikaendaa hosptal nikaambiwa nina uvimbe ambayo umesababisha mimba kutunga karibu na kibofu cha mkojoo mda mwingine huwa nasikia maumivu sana na ni mimba yangu ya kwanzaa. Naomba msaada wenu nilipewa dawa zinaitwaa Duphaston za kumeza siku kumi 10
Pole sana dada je, uko mkoa gani? Na je, unaweza kutuma namba yako ya whatssap ili tukusaidie?
Changamoto ya ujauzito na uvimbe
Whatsup 0782230241
Karibu sana
0620454439 NAMI ninashida hiyo mimba miezi sita mpaka Sasa lakini mtoto akicheza tu napata maumivu makali Sana
Karibu sana, tayari nimeshakuunganisha na group
Habari nimeona maelezo ,nami nina mimba ya miezi miwili na nimeambiwa na doctor ninauvimbe na huwa na maumivu upande wa kushoto,ninawasiwasi sana,na ndo mimba ya kwanza.
Pole sana dada je, unaweza kutuma namba yako ya whatasap? Dawa ipo tunayo
Habari naitwa peter Nina mwenzangu anamimba alafu na ujauzito tuko dar esalaam ubungo
Pole kaka Peter je, unaweza kurudia swali lako ukauliza vizuri?
Karibu
0620454439 NAMI ninashida hiyo mimba miezi sita mpaka Sasa lakini mtoto akicheza tu napata maumivu makali Sana
Karibu sana, tayari nimeshakuunganisha na group