JE, UNAZIJUA FAIDA ZA NEOTONIC?

Neotonic ni dawa ya kimiminika yenye mchanganyiko wa mimea ya asili ya matunda na mbogamboga. Virutubishi vyake ni vingi mno siwezi kuvielezea na atakayevichambua basi, bila shaka ataweka na uongo. Hayo yote tunamwachia Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyeumba mimea hiyo, anajua alivyofanya kazi na anavyofanya kazi kwa wagonjwa kupitia mimea hiyo.

NEOTONIC  ina wingi wa vitamin na madini mbalimbali, kwani ina uwezo wa kuurustubisha mwili wako na kuukarabati kwa kuusafisha kundoa vimelea vilivyojificha katika damu na kwenye viungo vya mifumo ya mwili wako.  NEOTONIC ni antibiotic, antibacterial na ni antioxidant.

 

 

 

Neotonic ina faida zifuatazo:

 

  1. Lehemu(cholesterol)

 

 

Hii ni kama nta laini ambayo huelea katika damu na katika seli zako zote za mwili. Kwa baadhi ya watu kolesteroli ina mwelekeo wa kujilundika kwenye mishipa yao ya ateri karibu na moyo au shingoni. Ikiwa mkusanyiko huu wa kolesteroli unaendelea kuwa mwingi kiasi cha kuanza kuzifunga ateri, huweza kusababisha mishtuko au shambulio la moyo (heart attack). Asilimia 75 ya kolesteroli katika damu hutengenezwa na Ini. Asilimia nyingine 25 hutujia toka kwa kile tunachokula, kwa mfano; vyakula vya mafuta mengi kama vile nyama roast, chips, nk.

 

Tokeo la picha la image of nyama roast

Kadiri ulavyo kolesteroli nyingi, ndivyo na Ini huitengeneza chache ili kukuweka wa furaha. Ini lako linatengeneza wastani wa mg 900 kwa siku. Kwa wastani, watu hula mpaka mg 300 za kolesteroli kwa siku. Ukichanganya pamoja, mtu wa kawaida ana mg 1200 za kolesteroli katika mfumo wake wakati wowote. Lakini NEOTONIC inapotumiwa pamoja na CARD HERB ina uwezo wa kuondoa mrundikano wa kolestarol kwenye damu na kwenye mishipa ya damu na kuzuia matatizo ya moyo, kitambi na unene wa mwili.

 

 

 

  1. Maambukizi

 

 

 Kwa kawaida maambukizi hutokana na vimelea, bakteria au virusi. Yapo maambukizi aina mbalimbali kama vile maambukizi ya magonjwa ya zinaa(PID), UTI, homa, maralia, nk. NEOTONIC ni kiuasumu au antibiotic kwani huangamiza pamoja bakteria wenye kutumika kwa kawaida na mwili na wale wasiotakiwa mwilini. NEOTONIC unapoitumia pamoja MULTI-CURE POWDER, hutibu magonjwa ya zinaa kama vile kaswende, Klamidia, UTI, fangasi, maralia sugu, homa ya kujirudia, kifua kubana, kikohozi kigumu, Maumivu ya kifua, nk.

 

 

  1. Kibofu Cha Mkojo(Bladder)

 

 

 

Hiki huwa ni kijimfuko cha msuli kinachokuwa ndani ya nyonga. Kinapokuwa tupu kinakuwa na umbo na ukubwa kama wa peasi. Mkojo hutengenezwa kwenye figo, na kisha husafirishwa kuja kwenye kibofu kupitia mirija ya mkojo miwili. Kibofu hutunza mkojo na hivyo unapofika muda wa kuhisi kukojoa, ndipo mkojo hutoka. Katika kibofu cha mkojo kunaweza kutokea maatatizo mbalimbali kama vile, kuziba kwa njia ya kibofu cha mkojo na mkojo kushindwa kutoka, maambukizi katika njia ya mkojo, nk. NEOTONIC unapoitumia pamoja na CARD HERB huondoa matatizo yanayojitokeza katika kibofu cha mkojo kwa wanawake na wanaume pia.

 

 

  1. Kukosa Hamu Ya Kula

 

 

 

Tatizo la kukosa hamu ya kula husababishwa na mambo mbalimbali kama vile kukosa choo, nk. Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa. NEOTONIC husaidia sana kuondoa hali ya kukosa hamu ya kula pamoja na dalili zinazojitokeza mara unapopatwa na tatizo hilo. Lakini kama kuna hali ya kupatwa na utando mweupe kwenye ulimi, unapaswa kutumia pamoja na RIGHT HERS kwa ajili ya kusukutulia kinywa chako.

 

 

  1. Misuli Kukaza

 

 

Hii huwa ni hali ya kukaza kwa msuli ambayo hujitokeza ghafla kwa Maumivu makali, nayo hukaa kwa muda mchache na baadaye hutoweka. Mara nyingi hali hii hujitokeza kwenye miguu hasa kwenye magoti.  Hali hii husababishwa na upungufu wa damu katika sehemu hizo za miguu kutokana na njia ya damu hasa mishipa ya ateri inayopeleka damu kwenye miguu kuwa mifinyu, hivyo huweza kusababisha Maumivu ya kukaza kwa msuli katika miguu yako. Lakini pia hali hii husababishwa na mgandamizo unaokuwa kwenye mishipa yako ya neva inayokuwa kwenye uti wako wa mgongo, kwani huzarisha hali hii ya kukaza kwa msuli sehemu za miguu.

Tokeo la picha la image of kukaza misuli

NUKUU: Upungufu wa madini hasa potasiamu, kalisiam au magneziam katika milo yako, yaweza kuchangia kuwapo kwa matatizo haya ya kukaza kwa misuli. NEOTONIC unapoitumia pamoja na FRESH HERB humaliza kabisa matatizo ya kukaza kwa misuli katika kila viungo vyako vya mwili.

 

 

  1. Maumivu Ya Viunganishi Vya Mifupa(Arthritis)

 

 

Hali hii huwa ni uvimbe katika viunganishi vya mifupa. Ni hali inayoweza kuathiri jointi moja au zaidi. Dalili zake mara nyingi huendelea muda wote, lakini zinaweza kujitokeza ghafla. Ugonjwa huu mara nyingi huonekana kwa watu wenye umri wa kati na watu wakubwa wenye umri wa miaka 65. Hali ya Maumivu ya viungo imekuwa ikwapata wanawake na wanaume hasa wenye uzito mkubwa.

 

 

Tokeo la picha la image of a man with arthritis

 

NUKUU: Katika jointi za mifupa huwa kuna mfupa laini(cartilage) ambao huulinda mfupa. Mfupa huu laini unaposagika kutokana na mrundikano wa vitu fulani kama vile tindikali, ndipo husababisha mauimivu ya viunganishi vya mifupa, nayo yanaweza kuwa sehemu za magoti, vidole, vizwiko vya mikono, nk. NEOTONIC unapoitumia pamoja na FRESH HERB huondoa matatizo haya kwa muda mfupi tu.

 

 

  1. Homa Ya Matumbo(Typhoid)

 

 

 

 

Typhoid husababishwa na aina ya bakteria aitwaye salmonella typhi. Mara chache typhoid husababishwa na bakteria mwingine aitwaye salmonella paratyphi ingawa huyu hasababishi maradhi makubwa kama yule wa kwanza. Bakteria hawa hupatikana katika kinyesi. Njia kuu ya kuambukizwa bakteria wa typhoid ni kupitia chakula au maji yaliyochafuliwa na kinyesi au kugusana na mtu mwenye typhoid. Dalili za typhoid huongezeka taratibu na huanza kutokea wiki moja hadi tatu baada ya kupata mambukizi. NUKUU: Dalili zake huwa ni Homa inayopanda taratibu kadiri siku zinavyokwenda na kufikia nyuzi 40.5C, Maumivu ya kichwa, udhaifu wa mwili na uchovu, maumivu ya misuli, kutoka jacho jingi, kikohozi kikavu, kukosa hamu ya kula na kukonda, maumivu ya tumboni, kuharisha au kufunga choo, tumbo kujaa. NEOTONIC inapotumiwa pamoja na MULTI-CURE POWDER hutibu na kuua vimelea ama bakteria wasababishao ugonjwa huu.

 

 

  1. Kipanda Uso

 

 

Kipanda uso (Migraine) ni ugonjwa au maumivu makali ya kichwa anayokuwa nayo mtu baada ya mshipa wa damu kutanuka katika kichwa chake. Baada ya kutanuka kwa mishipa hii ya damu, pia kuna kemikali ndani ya mwili zinazozalishwa na kuizunguka mishipa hii na kupelekea mtu apate maumivu makali ya kichwa na kutanuka zaidi kwa mishipa. Maumivu makali ya kichwa hupelekea mfumo wa utendaji kazi wa mwili pia ubadilike, mtu atapatwa na kichefuchefu, kutapika, kuharisha, chakula kutonyonwa katika utumbo vizuri na kushindwa kuingia mwilini, mtu atashindwa kuona vizuri maeneo yenye mwanga na kutopenda kukaa mazingira yenye sauti au kelele.

 

Tokeo la picha la image of a man with migrain

NUKUU: Vipo vitu mbalimbali vinavyoweza kuchangia mtu apate tatizo la kipanda uso, vitu hivi haimaanishi kuwa ni lazima vikusababishe upate na hata kama haupo katika mazingira ya vitu hivi haimaanishi kuwa huwezi kupata tatizo la kipanda uso, miongoni mwa vitu hivyo ni kama vile: sauti kali au kelele, harufu kali, aleji, mwanga mkali, kuvuta sigara, matatizo ya kukosa usingizi, kukaa bila kula kwa muda mrefu, pombe, kubadilika badilika kwa siku za mwanamke (menstrual cycle fluctuations).  NEOTONIC anapoitumia mtu wa kipandauso, humsaidia kabisa kuiondoa na kutibu tatizo hilo.

 

 

  1. Kukosa Hamu Ya Tendo la Ndoa

 

 

Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi au kukosa nyege kwa lugha ya mitaani huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume wanaokerwa zaidi na tatizo hili kuliko wanawake. Tatizo hili lina suluisho, hivyo huwezi tena kuendelea kuishi na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa sababu kuna mambo mengi unayoweza kuyafanya ili kuondokana na hili tatizo. Hamu ya kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa mwanaume au mwanamke inabadilikabadilika sana ikipanda na kushuka kulingana na matukio mbalimbali yanayomtokea katika maisha yake. NEOTONIC ukiitumia pamoja na VITAMAKA husaidia kuondoa tatizo la kukosa hamu ya mapenzi kwani huzarisha hisia za kufanya mapenzi.

 

 

  1. Maralia Sugu:

 

 

Malaria ni ugonjwa unaoambukiza wanadamu wakati mbu aina ya Anopheles anapomuuma mtu. Mbu huyo wakati akimuuma mtu huacha vimelea vinavyojulikana kama ‘plasmodium’ ndani ya mwili. Vimelea hivyo wakati vikiwa ndani ya mwili, husafiri mpaka katika ini kupitia damu. Itafahamika kuwa mtu aliyeambukizwa vimelea vya malaria haugui mpaka vimelea vyote vya ugonjwa huo vitoke nje ya ini, ambapo huchukua muda wa wiki mbili tangu mtu aumwe na mbu. NEOTONIC husaidia kuua na kuangamiza vilea hao wanapokuwa kwenye ini na kwenye damu pia. Hivyo kupitia dawa hii, maralia ya kujirudia hutoweka kabisa.

 

  1. Mafindofindo(Tonsilitis)

 

 

Mafindofindo ni moja kati ya mtandao wa viungo muhimu mwilini vinavyo husika na kinga dhidi ya maambukizi ya virusi, bakteria. Viungo hivi vipo katika koo la hewa, kimoja upande wa kulia, na kingine upande wa kushoto.

 

Tokeo la picha la image of a man with tonsilitis

NUKUU: Dalili na ishara za mafindomafindo ni pamoja na kuvimba kwa mafindomafindo, koo, kushindwa kumeza chakula, na kuwa na ukakamavu katika shingo yako. Matatizo haya mara nyingi husababishwa na maambukizi yatokanayo na virusi vya kawaida, lakini maambukizi ya bakteria pia nayo yanaweza kusababisha ugonjwa huu.

 

Je, unahitaji huduma? Kwa mawasiliano tupigie namba zifuatazo:

Arusha-Mbauda: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Karibuni sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *