JE, VIPINDI VYA HEDHI KUBADILIKA YAWEZAKUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE?

Matatizo endelevu katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kama vile, hisia ya mapenzi au hamu ya kufanya tendo la ndoa, kufika kileleni au kuhisi maumivu wakati wa kufanya tendo tendo la ndoa, ambayo yanamsumbua mwanamke au kuharibu mahusiano na mwenzi wako, yanajulikana kama kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanapata matatizo ya kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa, kwa muda, na baadhi yao nao hushindwa kabisa kuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika maisha yao yote. Hali ya kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa inaweza kujitokeza katika umri wowote katika maisha yako. Hali hii inaweza ikatokana na matatizo mbalimbali ya kiafya.

Picha inayohusiana

NUKUU: Kutokuwa na hisia ya mapenzi kunaweza kusababishwa na msongo wa mawazo, maisha magumu, imani, mitindo ya maisha pamoja na mahusiano. Kuharibika kwa mfumo wowote wa mwili kunaweza kuathiri hisia za mapenzi, hamu ya tendo la ndoa au kuridhika, na matibabu yake mara nyingi yanaweza yakakufanya ukafika vituo vya afya zaidi ya kimoja.

 

 

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

Dalili zake hutofautina kutegemeana na aina gani ya tatizo la kutokufanya tendo la ndoa;

 

 

  • Kuwa na hisia kidogo za mapenzi

 

  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa

 

 

  • Kutokufika kileleni

 

  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa

 

 

 

 

Je, Nini Visababishi Vyake?

 

 

Matatizo ya kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa mara nyingi huendelea kukua pale vichocheo vyako vinapokuwa kwenye misukosuko kama vile unapomaliza kujifungua mtoto au wakati unapofikia kukoma hedhi. Magonjwa makubwa kama vile salatani, kisukari, au matatizo ya moyo au mishipa ya damu, yanaweza kuchangia kuwepo kwa hali ya kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

 

Matatizo mara nyingi yanayoingilia yanayochangia kuwepo kwa tatizo hili ni pamoja na;

 

 

  1. Mwili

 

 

 

Idadi yoyote ya magonjwa kama vile, salatani, figo kushindwa kufanya kazi, magonjwa ya moyo, pamoja na matatizo ya kibofu cha mkojo, yanaweza kusababisha kushindwa kufanya tendo la ndoa na hata kufika kileleni.

 

 

 

 

  1. Matatizo Ya Homoni

 

 

Kiwango kidogo cha homoni ya estrogen baada ya kukoma hedhi kinaweza kusababisha mabadiriko katika tishu za uke. Kupungua kwa homoni ya estrogen husababisha kupungua kwa mbubujiko wa damu katika maeneo ya nyonga, hali inayoweza kupelekea maeneo ya uke kutokuwa na hisia pamojana kuhitaji muda mrefu wa kuvuta hisia ili kufika kileleni.

 

Ngozi laini ya uke kwa ndani pia huwa nyembamba na uwezo wake wa kuvutika huwa mdogo, hasa unapokuwa haufanyi tendo la ndoa. Mambo haya yanaweza kusababisha maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa(dyspareunia). Hamu ya tendo la ndoa pia hupungua wakati kiwango cha homoni kinapopungua.

 

NUKUU: Viwango vyako vya homoni mwilini pia hupanda baada ya kujifungua mtoto au wakati wa kunyonyesha, ambayo inaweza kuleteleza uke kuwa mkavu na kuathiri hisia zako za kufanya mapenzi.

 

 

  1. Matatizo Ya Akili

 

 

 

Mataizo ya msongo wa mawazo yasiyotibiwa yanaweza kusababisha au kuchangia mwanamke kuwa na matatizo ya kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa. Msongo wa mawazo kutokana na kukosa uwezo wa kupata ujauzito na tarajio la kuwa mama kijacho, kunaweza kuathiri maeneo ya mfuzo wa uzazi.

 

NUKUU: Ugomvi na mwenzi wako wa muda mrefu, kuhusu mapenzi au mambo mengine ya mahusiano, yanaweza kupunguza hisia au hamu ya tendo la ndoa. Mambo ya mila kama vile ukeketwaji pia nayo yaweza kuchangia tatizo hili.

 

 

TIBA ZAKE

 

James & Ferdinand Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya kukosa hisia za mapenzi, nazo ni CARD HERB, REDEEMER na VITAMAKA

 

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie simu kwa namba hii: 0752389252 au 0712181626

 

Tunapatikana Arusha-Mbauda na Makambako-Njombe

 

 

 

Karibuni sana

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *