Misuli ya uke inayotanuka inaweza kupanuka na kurudi katika umbo lake la kawaida. Wakati umri unavyozidi kuwa mkubwa na baada ya kuzaa mtoto, misuli inayozunguka uke inaweza kuwa yenye nguvu sana.
Je, Misuli Ya Uke Inayozunguka Maeneo Ya Nyonga Inakuwaje?
Misuli hii inaweza ikalegea kwa muda Fulani, hali ambayo inaweza kusababisha mwanamke au mwanaume kuhisi kuwa uke ni mpana. Misuli ya nyonga kulegea inaweza pia kusababisha matatizo ya kama vile kushindwa kujizuia, na kusababisha mkojo kutoka. Ufanyapo mazoezi maeneo ya nyonga kunaweza kusaidia kuimarisha misuli ya uke.
Katika makala hii, tunachambua mambo na kutafuta mbinu jinsi ya kuimalisha maeneo ya nyonga.
- Mapenzi Au Tendo La Ndoa
Wakati unapokuwa na hisia ya mapenzi, misuli ya uke hutulia vizuri kabisa, nah ii husaidia uume kupita vizuri kabisa. Misuli hutulia taratibu, na ndio maana mwanaume anapaswa kumchezea mwanamke kwa kumshikashika, kumtekenya, au kunyonya maeneo yake husika kama vile chuchu za matiti yake, kushika maeneo ya kinembe, nk, ili kumfanya awe na nyege. Hivyo basi, baada ya tendo la ndoa uke hurudi katika umbo na mkazo wake wa kawaida.
Kuna hadithi na uongo mwingi kuhusu madhara ya uume kuingia kwenye uke. Hakuna ushuhuda wowote kwamba kufanya tendo la ndoa kunaweza kusababisha uke kupanuka.
Uke huwa wazi kwa muda tu kabla, au wakati kufanya tendo la ndoa ay baada ya kufanya tendo la ndoa. Hii inafanana na mdomo au kinywa kinapopanuka pale unapo achama ili kupiga mwayo, au kula, na kisha unarudi kwenye umbo lake la kawaida
Ubikira huwa ni utando mlaini unakuwa umetanda kwenye uke. Unapofanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza na uume ukaingia ndani ukeni, kunaweza kupanua bikira kidogo, hali ambayo inaweza kuufanya uke ujisikie kuwa uko wazi zaidi. Sio kwamba miili yote inafanana, na ndio maana hali ya tendo la ndoa unapoingia kwa mtu mwingine unaweza kulihisi tofauti. Kumbuka kuwa miili pia hubadirika kadiri umri unavyozidi kuongezeka, uzito wa mwili kupungua au kuongezeka, au pale unapopatwa magonjwa.
NUKUU: Unapojaribu style nyingine ya tendo la ndoa pia wakati mwingine inaweza kubadiri muonekano na ukahisi kuwa uke ni mdogo sana au mkubwa sana. Hali hii inaweza kuimarisha hali ya kuridhika kwa tendo la ndoa kwa kila mpenzi.
- Kuzaa Mtoto
Mwili hupata mabadiriko mengi mno wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua mtoto. Mabadiriko haya huwa kama ifuatavyo:
- Uvimbe miguuni
- Uzito wa mwili kupungua au kuongezeka
- Mabadiriko kwenye ukubwa au umbo la matiti
- Ngozi ya mwili kutanuka, nk.
Baadhi ya wanawake hutoa taarifa kuwa wanahisi mabadiriko katika umbo la uke au uke kuvutika baada ya kujifungua mtoto. Kwa namna hiyo, mwanamke anaweza akapata hisia kidogo sana au akashindwa kufurahia tendo la ndoa kama alivyokuwa akifurahia mwanzo, lakini hisia hizi hurejea tena kama ilivyokuwa mwanzo.
Ngozi kuharibika, tishu au misuli wakati wa kujifungua kunaweza pia kusababisha mabadiriko ukeni. Hali hii inaweza kufanya tofauti jinsi uke unavyoweza kupanuka au kuwa mdogo.
Mabadiriko mwilini mara nyingi huonekana kwa wanawake wanaokuwa wajawazito baada ya kufikia umri wa miaka 30. Wanawake wenye umri mdogo wanaweza kuona kwamba miili yao hurejea kwenye hali ya ujauzito kwa haraka sana.
- Makamo
Mwili hubadirika pale makamo yanapozidi kuwa makubwa. Ngozi pamoja na msuli huwa imara kidogo, hali ambayo huanza kusaidia kuonyesha kuwa kwanini uke unakuwa mkubwa.
NUKUU: Wakati unapofikia umri wa hedhi kukoma, viwango vya homoni ya estrogen hupungua na kushuka chini. Hali hii inaweza kusababisha utando au ngozi laini inayokuwa ukeni kuwa kavu na yenye kuvutika kidogo sana.
Uke unaweza kuwa mfinyu au mfupi baada ya mwanamke kukoma hedhi. Pia, kunaweza kuwepo masumbufu, hasa pale uteute unapokosekana ukeni wakati wa kujamiiana. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara wakati wa kukoma hedhi kunaweza kusaidia tishu za uke kuwa nene. Kutumia mafuta ya kulainishia ukeni kunaweza kusaidia tendo la ndoa likawa lenye furaha.
Wakati mwanamke anapokaribia kukoma hedhi au anapokoma hedhi, sio kawaida ngozi laini inayokuwa kwenye ukuta wa uke ibadirike. Pia tendo la ndoa unaweza ukarihi tofauti kidogo, na uke unaweza ukawa mkavu. Unapoona hali kama hii, fika hospitali haraka ili uweze kumuona daktari huenda matibabu yakahitajika.
Je, unahitahi huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626
Arusha-Mbauda pia Njombe-Makambako
Karibuni sana
Somo ni nzuri sana haswa Kwa jinsia zote pmj na kwamba mlengwa mkuu ni Mrs, nimejifunza pmj na kuelewa ! Nina swali moja je ni umri gani mwanamke huanza kufika kileleni na hukuma ktk umri gn !
Ni kuanzia miaka 18 na kuendelea