JE, WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, NA TUMBO LA CHINI KWA WANAWAKE?

JE, WAJUA VYANZO VYA MAUMIVU YA KIUNO, NYONGA, CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE? Haya huwa ni Maumivu yanayompata mtusehemu ya  chini ya tumbo na nyonga. Kwa wanawake maumivu haya yanaweza kuwa dalili ya matatizo(maradhi) kwenye mfumo wa uzazi, mfumo wa haja ndogo, mfumo wa chakula au mifupa ya nyonga. Maumivu yanaweza kuwa ya kawaida au

makali, ya kudumu ama ya wakati, yaani yanakuja na kupotea kulingana na chanzo cha Maumivu hayo. Wakati mwingine Maumivu yanaweza kusambaa kwenye mgongo wa chini wa kwenye miguu au mapaja. Lakini wakati mwingine yanaweza kuja tu pale unakuwa unakojoa au kushiriki tendo la ndoa.

VYANZO VYAKE

Maumivu haya yanaweza kusababishwa na tatizo moja au zaidi hasa kwa yale humsumbua mtu kwa muda mrefu. Matatizo haya huwa kama ifuatavyo;

  • Matatizo kwenye mfumo wa uzazi
  • Vivimbe kwenye kuta za tumbo la uzazi
  • Hali ya tishu zinazoota ndani ya ukuta wa uzazi(endometriosis) au kuota nje ya ukuta wa mji wa uzazi.
  • Maumivu wakati wa hedhi ambayo hutokana na vivimbe katika kuta za tumbo la uzazi
  • Mimba kutunga nje kizazi(ectopic pregnancy)
  • Maumivu yanayotokea upande mmoja chini ya kitovu katikati ya mzunguko wa hedhi yaani siku ya 14
  • Saratani kwenye mifuko ya mayi
  • Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi ambayo hutokana na bakteria wanaosababisha kisonono, na klamidia. Watu wengi wamekuwa wakipatwa na magonjwa haya pale wanapojaribu kupata ujauzito bila mafanikio(ugumba) au wanaposumbuliwa kwa muda mrefu na Maumivu ya kiuno na nyonga.
  • Vivimbe kwenye kuta za kizazi(uterine fibroids) ambavyo hutokana na mvugiko wa homoni ama kurithi kwa vinasaba.
  • Maumivu kwenye via vya uzazi ambayo husababisha kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu ama kushindwa kukaa kwa muda mrefu.

TIBA ZAKE

James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye uwezo wa kuondoa visababishi vya Maumivu na maradhi mengine katika mfumo wa uzazi. REDEEMER, PHYTOGUARD na FRESH HERB, ndio suluhisho la matatizo haya.

Kwa mawasiliano tupigie kwa namba zifuatazo: 0752389252 au 0712181626