Zijue Faida Za Kukojoa Baada Ya Kumaliza Kushiriki Tendo La Ndoa.

Wakati mwanamke anaposhiriki tendo la ndoa, bakteria wanaweza kupita kutoka kwenye sehemu za siri na kuingia kwenye mrija wa mkojo. Mrija wa mkojo ni mrija unaounganisha kibofu na uwazi ambapo mkojo hupitia na kutoka nje. Bakteria wanaweza kuingia kwenye kibofu cha mkojo kutoka kwenye mrija wa mkojo, na kusababisha UTI. Kukojoa…

Jifunze Jinsi Ya Kuishi Maisha Marefu Kwa Kulinda Afya Ya Mwili Wako!

Je, Nini Cha Kufanya? Zaidi ya asilimia 90% ya magonjwa yanatokana na mapungufu ya lishe. “Chakula ni dawa yako, na dawa yako ni chakula chako.” Ni aina gani ya lishe/vitamin tunayohitaji katika maisha yetu ya kila siku ili kutufanya tuweze kuishi maisha marefu, kujisikia kijana au kuonekana mtu mkubwa? Hebu…

Hatua 4 Zinazoweza Kuifanya Mishipa Yako Ya Ateri Kuwa Misafi

Ikiwa unasoma makala hii,  labda unaweza kujali afya ya mishipa yako, moyo, au hata afya ya mwili wako wote. Lengo letu ni wewe kuelewa na ufahamu ubora wa jinsi mfumo wa mzunguko wako wa damu unavyofanya kazi na, muhimu zaidi, unachoweza kufanya kila siku ili kuifanya mishipa yako iwe yenye afya.   Hebu…

Zijue Sababu Zinazomfanya Mwanaume Kupungukiwa Nguvu Za Kiume. Je, Nini Madhara Yake?

Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokuwa na uwezo wa kudindisha au kusimamisha uume kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa. Uume unapokuwa unadindisha vizuri halafu siku zingine unaishiwa nguvu, hilo linaweza lisiwe tatizo sana. Lakini kama upungufu wa nguvu za kiume utakuwa tatizo endelevu, hata hivyo unaweza kusababisha msongo…

JIFUNZE UJUE FAIDA YA CHAKULA CHA NYAMA

Ili kiumbe hai chochote kiweze kuendelea kuishi kinahitaji pumzi na lishe au chakula. Ndivyo ilivyo kwa mwanadamu. Mungu alipokwisha kumuumba mtu, hakumwacha bila chakula. Alimpatia chakula katika bustani ya Edeni. Hata hivyo hakumruhusu kula chochote, bali alimuelekeza nini ale na nini asile. Katika jalada hili mada kuu itakayoongelewa ni juu ya…

Mambo Makuu 5 Yanayosababisha Miguu Au Mwili Kuvimba (Edema)

Kuvimba kwa mwili ni hali inayosababishwa na umajimaji mwingi unaojikusanya kwenye tishu za mwili, amabayo kitaalamu tunaita “edema”. Edema inaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Lakini kuna uwezekano mkubwa wa kuonekana kwenye miguu na mikono. Madawa na ujauzito vinaweza kusababisha mwili kuvimba. Inaweza pia kuwa matokeo ya ugonjwa, kama vile moyo…

Je, Vipindi Vya Hedhi Vya Muda Mrefu Humaanisha Nini?

Kwanza, hebu tufafanue tunachomaanisha na “vipindi vya hedhi vya muda mrefu.” Kwa ujumla, kipindi cha “kawaida” huchukua kati ya siku tatu hadi saba na inahusisha kupoteza jumla ya damu ya takribani mililita 30-40 (au vijiko viwili hadi vitatu). Wakati mwingine kiasi hiki kinaweza kuwa zaidi, ikiwa ni zaidi ya milimita 80…