Mpendwa msomaji, naomba utege sikio nikueleze kwa kifupi tu uweze kujua habari ya homa ya matumbo. Homa ya matumbo(Typhoid) kwa kawaida husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kwa kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mtu aliyambukizwa. Bakteria hawa hutoboa na…
JE, WAZIJUA SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI(AMENORRHEA)?
Je, Amenorrhea Ni Nini? Kwa kawaida hii ni hali ya mwanamke ambaye amepevuka na kukomaa maumbile yake ya Uzaz kushindwa kupata hedhi au kupitiliza siku za hedhi. Kwa ufupi tatizo hili limekua likiwakumba na kuwaletea usumbufu wa kisaikolojia wanawake wengi wakidhani kwamba wamepata ujauzito nk, hata hivyo tatizo hili…
JE, WAJUA VYANZO VYA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA DALILI ZAKE?
JE, WAJUA VYANZO VYA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA DALILI ZAKE? Je, Tezi Dume Ni nini? Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo…
JE, WAJUA VYANZO NA DALILI ZA UVIMBE WA FIBROID?
Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumba la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha hedhi. Tatizo hili…
JE, WAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA PANGUSA(CHLAMYDIA)?
JE, WAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA UGONJWA WA PANGUSA(CHLAMYDIA)? Pangusa ama kitaalamu wanaita Chlamydia trachomatis, ni ugonjwa wa zinaa wa kawaida kabisa, nayo huwa ni maambukizi yanayosababishwa na bacteria aina ya pathogen ambao wanaweza kuharibu mlango wa kizazi ama shingo ya kizazi(cervix) wa mwanamke, mrija wa mkojo…
JE, WAJUA UVIMBE KATIKA VIUNGO VYA NJE VYA UZAZI WA MWNAMKE?
Tatizo hili huwatokea zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa. Viungo vya nje vya uzazi vya mwanamke ambavyo huathirika na tatizo hili la uvimbe ni mashavu au midomo ya uke na mlango au mdomo wa uzazi. Mashavu au midomo ya uke kitaalamu huitwa ‘labia majora ambayo ni midomo ya…
JE, WAJUA CHANZO CHA KUPUNGUA MBEGU ZA MWANAUME?
Kazi ya uzarishaji wa mbegu za mwanaume katika mfumo wa uzazi unahitaji utendaji kazi wa korodani pamoja na tezi za hypothalamus na pituitary ambazo huwa kwenye mfumo wako wa fahamu(ubongo) kwa ajili ya kuzarisha homoni ama vichocheo vinavyosababisha uzarishaji wa manii. Mbegu zinapozarishwaji kwenye korodani, husafirishwa na kuchanganywa…
JE, WAJUA VYANZO VYA KUVIMBA KWA TEZI DUME NA DALILI ZAKE?
Je, Tezi Dume Ni nini? Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (rectum) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka…
UGONJWA WA UTI NI HATARI ENDAPO HAUTAPATA MATIBABU HARAKA.
Je, UTI ni nini ? Maambukizi katika sehemu yeyote ya njia ya mkojo husababisha maradhi na matatizo ya aina mbalimbali. Mara nyingi tunapozungumzia UTI, huwa tunalenga maambukizi yanayosababishwa na vimelea (bakteria) au chochote kile kinachoweza kusababisha UTI huingia katika njia ya mkojo kutokea aidha nje ya mwili au hata ndani ya…
JE, WAZIFAHAMU FAIDA ZA REDEEMER?
James Herbal Clinic tuna dawa za mimea ya asili zenye mchanganyiko wa vyakula vya asili. Redeemer ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa asali mbichi pamoja na mimea mbalimbali ya asili. Dawa hii husaidia kuondoa matatizo sugu nay a kawaida pia. Husaidia watu wa jinsia zote. REDEEMER hutibu magonjwa…