Ugonjwa wa vivimbe maji kwenye figo huwa ni kundi la vifuko vilivyojaa majimaji (cysts) ndani au karibu na figo zako. Vivimbe hivi vinaweza kuzuia figo zako kushindwa kuchuja taka, uchafu au maji mengi kutoka kwenye damu yako. Ugonjwa wa vivimbe kwenye figo unaweza kusababisha figo zako kushindwa kufanya kazi kabisa.
Je, Ugonjwa Wa Vivimbe Kwenye Figo Unakuwa Wa Kawaida Kiasi Gani?
Inategemea. Baadhi ya magonjwa ya vivimbe kwenye figo huwa ni ya kawaida sana. Kwa mfano, vivimbe maji kwenye figo huwa ni vya kawaida sana kwani hutokea kwa mtu 1 kati ya watu 10. Lakini aina nyingine za ugonjwa wa vivimbe maji kwenye figo huwa ni nadra.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Magonjwa mbalimbali ya vivimbe kwenye figo huwa yana dalili tofauti. Lakini baadhi ya dalili za kawaida ni pamoja na:
- Maumivu ya mgongo
- Maumivu ya kiuno
- Mkojo kuwa na damu
- Matatizo katika kukojoa
- Figo kuwa kubwa
- Kichwa kugonga
- Shinikizo la juu la damu
- Maambukizi kwenye figo
- Mawe ya figo
Je, Nini Visababishi Vyake?
Magonjwa ya vivimbe maji kwenye figo yana vyanzo tofauti. Baadhi ya vivimbe hutokana na maambukizi. Vingine vinaweza kutokana na maambukizi uliyozaliwa nayo.
Vivimbe maji hutokea wakati vipande vya mirija ya figo hujitenga na mrija mkubwa wa uzazi. Figo zako zina maelfu ya mirija midogo midogo inayosafisha damu yako na kutoa mkojo kupitia kibofu chako.
Je, Madhara Yake Yanakuwaje?
Baadhi ya matatizo ya kawaida ya magonjwa mbalimbali ya vivimbe maji kwenye figo ni pamoja na:
- Figo kushindwa kufanya kazi
- Matatizo kwenye vali za moyo
- Ini kujaa vivimbe maji
Je, Suluhisho Lake Ni Nini?
James Herbal Clinic tunayo dawa za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa chanzo cha ugonjwa huu. Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSAP tukakuunganisha na darasa letu la masomo ya afya.
Je, unahitaji huduma? Basi, wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Karibu sana!