James Tea Masala ni mchanganyiko wa viungo vitokanavyo na mimea ya asili yenye harufu nzuri, nayo ni chakula kizuri pia ni dawa yenye faida nyingi za afya. Inaweza kusaidia kupunguza uzito wa mwili, na kupambana na maambukizo mbalimbali mwilini mwako.
Watu wengi hutumia tea masala aina mbalimbali kama chai huku wakiongeza sukari na hatimaye faida yake hupotea. Lakini James Herbal Clinic tumekuandalia Tea Masala kama chakula lakini ni dawa kwa ajili ya kuondoa na kudhibiti magonjwa mbalimbali.
Hapa kuna faida 7 za afya utakazozipata kwenye James Tea Masala:
- Ina Wingi Wa Viua Sumu (antioxidants) zinazoongeza kinga
James Tea Masala huongeza mwili antioxidants kadhaa, ambazo huzuia uharibifu wa seli unaosababishwa na mambo mbalimbali ya mitindo ya maisha.
Viua sumu vyake (antioxidants) vimeonyeshwa kupambana na uvimbe katika mwili wako.
James Tea Masala imejaa viuasumu vingi vinavyoonyesha kuongeza kinga ya mwili, vizua saratani, vizuia uvimbe, na madhara mbalimbali.
- Husaidia Afya Ya Moyo
James Tea Masala hufanya kazi ya kuondoa taka, kwani husaidia mwili wako kuondoa maji mengi yanayokuwa mwilini. Hali hii inaweza kupunguza shinikizo la juu la damu.
James Tea Masala inaweza kulinda moyo wako usipatwe na magonjwa ya moyo kama vile shinikizo la juu la damu, mkusanyiko wa mafuta kwenye mishipa ya damu, nk.
- Hulinda Afya Ya Ubongo Wako
Magonjwa mengi ya ubongo, ikiwa ni pamoja na Parkinson, Alzheimers, nk, yanahusishwa na uvimbe. Vizuia uvimbe vinavyokuwa kwenye James Tea Masala vinaweza kukulinda dhidi ya magonjwa haya.
James Tea Masala pia husaidia kuondoa hali ya mashaka au wasiwasi. Viondoa sumu vinavyokuwa kwenye James Tea Masala vinaweza kupunguza uvimbe kwenye ubongo, kuboresha kumbukumbu, nk.
- Huboresha Mfumo Wa Usagaji Chakula Tumboni
James Tea Masala inaondoa dalili mbaya za usagaji chakula kama vile kutokwa na damu hasa unapoenda haja kubwa na kutoa kinyesi chenye mchanganyiko na damu, au tumbo kuunguruma mara kwa mara, nk.
Inaweza pia kuongeza hamu ya kula miongoni mwa baadhi ya watu wanaokosa hamu ya kula.
- Hupambana Na Maambukizi
James Tea Masala huzarisha nguvu ya kusaidia kupambana na magonjwa yanayosababishwa na vyakula au vimela kama vile Salmonella. Salmonella ni bakteria wanaokuwa kwenye utumbo, nao wanaweza kutoka kupitia kinyesi. Mwanadamu mara nyingi hupatwa na bakteria hawa kupitia vyakula au maji ya kunywa machafu.
- Hulinda Ngozi Ya Mwili Wako
James Tea Masala ina viuasumu vingi ambavyo vinaweza kulinda ngozi yako isiwe na muonekano wa uzee na uharibifu kutokana na jua kali. Inaweza pia kusaidia kutibu matatizo ya harara kwenye ngozi. Tumia kama chai kila siku.
- Huondoa Mrundikano Wa Makohozi Kwenye Mapafu
Mrundikano wa makohozi, au kohozi kwenye mapafu unaweza kusababisha matatizo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kupumua kwa shida, kukohoa mara kwa mara na ongezeko la hatari ya maambukizi. Mkusanyiko huu mara nyingi huhusishwa na matatizo sugu kwenye mapafu, kama kupumua kwa shida, nk.
Ukitumia James Tea Masala kila siku, mapafu husafishwa na hivyo kuondoa mrundikano wa makohozi kifuani na kukufanya usihisi kikohozi.
- Huondoa Uchovu Wa Mwili
Uchovu, au uchovu unaoendelea, unaweza kusababishwa na mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuchagua mtindo wa maisha, hali za kiafya, na mambo ya kisaikolojia. Sababu za kawaida ni pamoja na tabia mbaya ya kulala, ukosefu wa mazoezi, lishe isiyofaa, msongo wa mawazo, mfadhaiko wa moyo, na matumizi ya madawa fulani ya vidonge.
Ukiwa na tabia ya kutumia James Tea Masala kila siku asubuhi au mchana na jioni, hali hiyo hutoweka kabisa.
Makala yetu inaishia hapa, nikaribishe kipindi cha maswali na maoni yako.
Je, unahitaji huduma? Basi wasiliana nasi kupitia namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,
Arusha-Mbauda,
Karibu sana!