Haya Ndio Makundi Ya Vyakula Vilivyokaangwa Vinavyosababisha Wanaume Wengi Kupungukiwa Nguvu Za Kiume.

Moja ya njia sahihi za asili katika kutatua tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni kuanza kurekebisha mtindo wa ulaji na unywaji hata kama unatumia tiba au bidhaa kutoka James Herbal Clinic. Kufanya hivi ni kujiepusha na milo inayosababisha kupungukiwa nguvu za kiume ikiwa pamoja na uchafu wa mazingira, kemikali ambazo zinaonekana kudhoofisha mfumo wa uzazi wa mwanaume.

NUKUU: Kwa nyongeza, unaweza ukaanza kujifunza ili kuona mambo mengine ya kimitindo yanayoweza kusababisha kupungukiwa nguvu za kiume ikiwa pamoja na vyakula au milo inayoweza kujenga afya yako katika kurejesha nguvu za kiume na kukufanya kuwa mwenye hisia katika tendo la ndoa.

  1. Epuka Vyakula Vya Nyama

Mafuta ya wanyama pamoja na kolestero kwakweli yanaonekana kuwa mabaya kwa afya ya mfumo wa moyo wako. Hata hivyo unatakiwa ujenge afya yako iwe bora zaidi ikiwa kama unahitaji kufurahia kitandani na mwenzi wako. Ili kufanikisha kuwa na uwezo wa kuufanya muhogo kuwa mgumu kabisa mpaka ukawa mchungu(kudindisha), unahitaji mzunguko mzuri wa damu. Ikiwa kama afya ya mfumo wa damu itakuwa tete, basi unaweza ukapatwa na matatizo ya kuishiwa nguvu za kiume.

Nipende kusema hivi, wanaume wengi hivi leo wanashindwa kutambua kuwa, kupungukiwa nguvu za kiume ni dalili mojawapo ya matatizo ya moyo.

Jiepushe kabisa na mazoea ya ulaji wa nyama katika milo yako, kama vile supu, rosti, nyama choma, kitimoto, nk, ili kujenga afya ya mwili wako. Si maanishi kwamba mafuta yote ni mabaya mwilini mwako. Yapo mafuta mazuri yanayojenga afya ya mfumo wa damu kama vile mafuta ya mzeituni, parachichi, pamoja na karanga.

  1. Usitumie Vyakula Vilivyokaangwa

Vyakula vilivyokaangwa ni vibaya sana kwa afya ya mfumo wa damu(moyo) pamoja na mfumo wa uzazi. Mafuta yapounguzwa sana kufikia joto la juu kwa ajili ya kupikia, basi hukifanya chakula kisiwe chenye afya kabisa kwa ajili ya moyo wako, na hivyo huchangia kuwapo kwa magonjwa ya moyo, salatani pamoja na matatizo ya wingi wa kolesterol kwenye damu.

NUKUU: Vyakula vyote vinavyokaangwa kwa mafuta husababisha mwili kunenepa na kuwa mkubwa, hali ambayo hupelekea kuwapo kwa matatizo ya homoni kutokuuwiana(hormone imbalance) pamoja na kupungukiwa nguvu za kiume.

James Herbal Clinic tunapenda kukushauri uachane kabisa na ulaji wa chips mayai magengeni au kwenye mighahawa, vyakula vya rosti maini, nk. Kumbuka vyakula hivi ndio vimekuwa vyanzo vya magonjwa ya ngiri au tezi dume pamoja na shinikizo la juu la moyo(high blood pressure) au HBP kwa wanaume.

  1. Jiepushe Na Vyakula Vilivyokobolewa

Unga wa sembe pamoja na vyakula vingine vilivyokobolewa vinaweza kuathiri mfumo wa homoni mwilini mwako. Unga wa sembe au ngano vinaonyesha kuwa na wingi wa wanga(carbohydrates). Hali hii inamaanisha kuwa vyakula hivi vina uwezo wa kupunguza homoni ya estrogen ambayo huwa nyingi sana kwa wanawake lakini wanaume huwa nayo kidogo tu.

NUKUU: Ni vyema ukajifunza kutengeneza uwiano sawa kati ya estrogen na testosterone ili kulinda afya yako ya uzazi, tabia, nishati pamoja na nguvu. Jiepushe sana na matumizi ya sembe, na uwe mwangalifu mighahawani unapotumia vyakula vya chapatti, maandazi, sambusa, nk.

  1. Kuwa Makini Sana Na Vinywaji

Pombe yoyote yenye kileo inaweza kuharibu tabia yako, lakini pia inaweza kuharibu utendaji kazi wa mfumo wako wa uzazi na kukufanya ukaishiwa nguvu za kiume. Kwa kawaida unapotumia kileo kwa kiwango kikubwa(yaani zaidi ya vinywaji 2 kwa siku) hupunguza kiwango chako cha homoni ya testosterone kwa kuiondoa kwenye mkondo wako wa damu na hivyo kupunguza kiwango cha uzarishaji wa homoni hiyo.

  1. Jifunze Kula Vyakula Vya Asili

Napenda nikupe siri leo baba au kaka mahali popote ulipo kuwa, moja ya milo iliyo bora zaidi ambayo itakufanya kuwa na uwezo wa kumridhisha mpenzi au mke wako unapokuwa kitandani ni

  • Matunda kwa wingi
  • Mboga mboga za majani
  • Vyakula visivyokobolewa
  • Supu ya samaki
  • Mizeituni
  • Karanga

NUKUU: Lishe pamoja na mitindo ya maisha inaonyesha kuwa ndio chanzo kikubwa cha kuishiwa nguvu za kiume. Ikiwa kama unahitaji kulinda uume wako usilegelege kwenye kazi zake, basi jitahidi pia kufanya mazoezi, usivute sigara na ujipangie muda wa kulala mapema ili uweze kupata usingizi mzuri.

Neno La Faraja: Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote. Zaburi 103:3.

Je, Unahitaji Ushauri Au Huduma? Basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *