Haya Ndio Mambo 13 Yanayomfanya Mwanamke Hedhi Yake Kujirudia Mara 2 Ndani Ya Mwezi Mmoja.

Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi huwa sio hali ya kawaida ya mzunguko wa hedhi kwa mwanamke. Hali hii inaweza kujitokeza kwa kutokwa na matone ya damu baada ya kutoka hedhini, na mara nyingi mwanamke hali hii anaweza kuiona akiwa chooni baada ya kujitawaza au kujipangusa, au anaweza akatokwa na damu nyingi sana amabyo inaweza kumfanya abadiri  pedi kila baada ya lisaa limoja au mawili au zaidi.

Damu ya hedhi ya kawaida huonekana kila baada ya siku 21 hadi 35 wakati mfuko wa uzazi(uterus) unapokuwa ukibandua utando wake wa juu, ili kuanzisha mzunguko mwingine mpya wa hedhi. Kipindi cha hedhi kinaweza kikaendelea kwa muda wa siku chache au wiki nzima. Mtririko wa damu unaweza kuwa mkubwa au mwepesi lakini bado ukaonekana ni wa kawaida. Mzunguko wa hedhi huonekana kuwa mrefu kwa wasichana na kwa wanawake wanaokaribia umri wa kukoma hedhi, na mtiririko wa damu ya hedhi unaweza pia kuwa mkubwa katika umri huo.

Je, Nini Husababisha Kutokwa Na Damu Ya Hedhi Mara 2 Ndani Ya Mwezi Mmoja?

Hali ya kutokwa na damu ya hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja inaweza kusababishwa na matatizo yanayokuwa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke.

Visababishi hivyo hutokana na mambo yafuatayo:

  • Vivimbe kwenye vifuko vya mayai
  • Matumizi ya madawa ya mpango wa uzazi
  • Mimba kutungwa nje ya kizazi
  • Kuvurugika kwa mfumo wa homoni
  • Mimba kuporomoka
  • Maambukizi katika shingo ya kizazi
  • Matatizo ya ugonjwa wa Endometriosis
  • Pangusa
  • Kisonono
  • Maambukizi katika via vya uzazi (PID)
  • Uvimbe katika mfuko wa uzazi (uterin Fibroids)
  • Salatani ya shingo ya kizazi
  • Salatani ya Vifuko vya mayai

Je, Wawezaje Kuliondoa Tatizo Hili?

James & Ferdinand Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye mchanganyiko wa mimea ya asili, nazo zina uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo yanayosababisha mwanamke kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja. Fika katika kituo chetu au wasiliana nasi kupitia namba hizo hapo chini.

  1. Kukosa Hedhi

Wanawake huanza kukoma hedhi wakiwa katika umri tofauti tofauti. Unaweza kuona dalili zake kama vile hedhi kubadirika badirika, wakati mwingine mwanamke anapofikia umri wa miaka 40. Lakini baadi ya wanawake huona mabadiriko mapema wanapokuwa katika umri wa miaka 30.

Kiwango cha homoni ya estrogen ambayo ni homoni kuu ya mwanamke katika mwili wake, nayo hushuka chini pale muda wa kukoma hedhi unapowadia. Mzunguko wa hedhi unaweza kuwa wa muda mrefu au mfupi, na anaweza kuanza kuwa na mzunguko wa hedhi ambapo vifuko vyake vya mayai havina uwezo wa kuachilia yai au kupevusha yai. Mwanamke pia anaweza kupata dalili za kukoma hedhi kama vile, kupata joto kali mida ya usiku, kukosa usingizi na uke kuwa mkavu. Lakini matibabu yanapatikana katika James Herbal Clinic kwa ajili ya kuondoa dalili hizi.

NUKUU: Kama ukiona dalili za kukosa hedhi kwa muda wa miezi 12, basi tambua kuwa tayari muda wa kukoma hedhi umeshawadia.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Katika muda wote wa hedhi kukoma, kunaweza kukawa na mabadiriko mwilini mwako. Unaweza ukapatwa na dalili kama hizi zifuatazo;

  • Vipindi vya hedhi vya kubadirika badirika.
  • Mabadiriko ya hali ya mwili
  • Matatizo ya hedhi au kibofu cha mkojo
  • Kupungua kwa uwezo wa kupata ujauzito
  • Kubadirika kwa hisia za tendo la ndoa
  • Mifupa kulainika
  • Kubadirika kwa kiwango cha lehemu mwilini

Je, Chanzo Chake Ni Nini?

Unapokaribia kukoma hedhi, uwezo wa mwili kuzarisha homoni ya estrogen na progesterone hupanda na kushuka. Mabadiriko mengi unaweza kuyapata wakati unapokaribia kukoma hedhi , na haya huwa ni matokeo ya kupungua kwa homoni ya estrogen.

Je, Madhara Yake Yanakuwaje?

Vipindi vya hedhi kubadirika huwa ni dalili za hedhi kukoma. Wakati mwingine hali hii huwa ni ya kawaida, lakini unapaswa kumuona daktari wako endapo kama;

  • Damu ya hedhi inatoka nyingi kuliko kawaida
  • Unatokwa na damu ya hedhi muda mrefu zaidi ya siku 7
  • Unapata hedhi mara 2 kwa mwezi
  • Vipindi vya hedhi vinapoonekana zaidi ya siku 21.

Dalili kama hizi zinaweza kuonyesha ishara kuwa kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi ambazo zinahitaji vipimo na matibabu.

Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

James Herbal Clinic tunazo dawa nzuri kabisa za asili zenye uwezo wa kuondoa matatizo haya. Unaweza kutuma pia namba yako ya WHATSAP tukakuunganisha na darasa letu ili uweze kupata masomo ya afya kila siku.

Je, unahitaji huduma? Basi wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *