Maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi(PID) ni madhara yanayokuwa kwenye viungo vya uzazi. Hali hii mara nyingi hujitokeza pale bakteria wa magonjwa ya zinaa wanapoenea kutoka ukeni mwako mpaka kwenye mfuko wa kizazi, mirija ya uzazi pamoja na vifuko vya mayai(ovaries).
Maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi mara nyingi huwa hayaonyeshi dalili zozote. Kama ilivyo matokeo yake, muda mwingine unaweza usigundue kuwa una ugonjwa huo na ikaonyesha kabisa kuwa huna haja ya kutibiwa. Hali ya ugonjwa huu inaweza ikagundulika baadaye endapo kama una matatizo ya kupata ujauzito au endapo kama una maambukizi yanayoendelea.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Dalili za ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi huwa kama ifuatavyo:
- Kuhisi maumivu katika tumbo la chini na sehemu za nyonga
- Kutokwa na uchafu mwingi ukeni wenye harufu mbaya
- Kutokwa na damu hasa wakati au baada ya kufanya tendo la ndoa
- Kutokwa na damu kabla ya kipindi cha hedhi kuwadia
- Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
- Kuhisi homa na wakati mwingine baridi
- Maumivu makali wakati au baada ya kukojoa au kusindwa kukojoa
NUKUU: Ugonjwa wa PID unaweza kusababisha dalili mbaya au zisiwepo dalili zozote. Hali inapokuwa mbaya zaidi, basi PID inaweza kusababisha homa, kutokupata choo vizuri au tumbo kujaa gesi, maumivu makali ya tumbo la chini au sehemu za nyonga hasa wakati unapopata vipimo kwenye nyonga.
Je, Nini Husababisha Maambukizi Katika Via Vya Uzazi?
NUKUU: Na ieleweke kuwa, aina nyingi za bakteria zinaweza kusababisha tatizo la PID, lakini maambukizi ya kisonono au pangusa(Chlamydia) huwa ndio kisababishi mojawapo kabisa. Bakteria hawa mara nyingi hupatikana pale unapofanya tendo la ndoa bila kutumia kinga. Hivyo basi, bakteria wanaweza kuingia muda wowote kwenye njia ya uzazi na hivyo kizuizi kinachokuwa kimetengenezwa na mlango wa kizazi huharibiwa. Hali hii inaweza ikatokea mara baada ya mwanamke kujifungua, au mimba kuporomoka(miscarriage) au kutoa mimba(arbotion).
Yapo mambo mengi yanayoweza kusababisha maambukizi katika via vya uzazi nayo yapo kama ifuatavyo:
- Kuanza ngono mapema hata kabla ya kufikisha umri wa miaka 25
- Kuwa na wapenzi wengi
- Kuanza mapenzi na mtu mwenye wapenzi wengi
- Kufanya mapenzi bila kutumia kondom
- Kuweka marashi au kuosha sehemu za uke kwa kutumia sabuni zenye
marashi makali.
Je, Ni Madhara Gani Yanayompata Mwanamke Baada Ya Kuwa Na Tatizo La PID Kwa Muda Mrefu
Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi unaweza kusababisha majeraha au vidonda kwenye tishu. Pia unaweza ukapatwa na mkusanyiko wa majimaji au usaha kwenye mirija ya uzazi ambayo yanaweza kuharibu viungo vyako vya uzazi.
Madhara mengine huwa ni kama ifuatavyo:
- Mimba Kutungwa Nje Ya Kizazi
Maambukizi ya PID ni chanzo kikubwa cha mimba kutungwa nje ya kizazi. Katika hali ya ujauzito inapotungwa nje ya kizazi, tishu zinazokuwa na majeraha kutokana na PID huzuia yai lililorutubishwa lisiweze kusafiri kwenye mrija ya uzazi mpaka kwenye mfuko wa kizazi(uterus) ili liweze kujipachika. Hali ya mimba kutunga nje ya kizazi inaweza kusababisha kutokwa na damu nyingi ya kutisha na inahitaji tahadhari kubwa iweze kufanyika mapema.
Unaweza ukaona hapo juu kwenye picha jinsi mimba inavyotungwa nje ya kizazi
- Ugumba
Maambukizi katika via vya uzazi(PID) yanaweza kuharibu viungo vya uzazi na kusababisha ugumba yaani kukosa uwezo wa kupata ujauzito. Kadiri mwanamke anavyozidi kuwa na tatizo la PID kwa muda mrefu, ndivyo anavyozidi kuwa na hali ya ugumba. Unapochelewa kupata matibabu kwa ajili ya kuondoa PID ndivyo pia hali ya ugumba inavyozidi kuongezeka.
- Maumivu Sugu Ya Nyonga
Maambukizi katika via vya uzazi yanaweza yakasababisha maumivu makali katika byonga ambayo yanaweza kudumu kwa muda wa miezi mingi au miaka kadhaa. Majeraha au vidonda vinavyokuwa kwenye mirija ya uzazi pamoja na kwenye viungo vya nyonga yanaweza kusababisha maumivu hasa wakati mwanamke anapofanya tendo la ndoa au yai linapoanza kupevuka.
- Vifuko Vya Mayai Kujaa Maji Au Usaha
Maambukizi ya PID yanaweza kusababisha mkusanyiko wa usaha kwenye mirija ya uzazi au kwenye vifuko vya mayai. Hali hii isipotibiwa mapema inaweza kusababisha maambukizi ya kudumu katika maisha yako.
Je, Wawezaje Kuiondoa PID?
ames Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye mchanganyiko wa mimea ya asili, nazo ni antibiotic zenye uwezo wa kuua vimelea hao na kuondoa PID. Dawa hizo ni NEOTONIC, MULTI-POWDER HERBS na FRESH HERB.
Je unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626
Arusha-Mbauda