JE, MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI(PID) YANAWEZA KUSABABISHA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA HOMONI(HORMONAL IMBALANCE) KWA MWANAMKE?

Mpendwa unayesoma makala hii, bila shaka tuliwahi kujifunza tukaona kwamba ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi au PID, huwa ni maambukizi yanayokuwa kwenye viungo vya uzazi vya mfumo wa uzazi vya wanawake. Viungo hivi ni pamoja na tumbo la uzazi(uterus), vifuko vya mayai(ovaries), mirija ya uzazi(fallopian tubes), pamoja na shingo au mlango wa kizazi(cervix). Ugonjwa wa PID mara nyingi husababishwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile pangusa au kisonono na hutibiwa kwa kutumia antibiotic za asili.

Unaweza usione dalili zozote za ugonjwa wa PID hapo mwanzo. Lakini kadiri maambukizi yanavyozidi kuwa makubwa, basi unaweza ukanoa:

  • Maumivu katika tumbo lako la chini au kwenye nyonga
  • Kutokwa na uchafu mwingi ukeni wenye harufu mbaya
  • Kutokwa na damu ya hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja
  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa
  • Homan a baridi
  • Maumivu unapokojoa au kushindwa kukojoa

NUKUU: Jitahidi kufika hospitali haraka kwa ajili ya vipimo ikiwa utaona dalili kama nilizozitaja hapo juu.

Kumbuka ugonjwa wa PID unaweza kusababisha matatizo makubwa ikiwa haujatibiwa haraka. Kwa mfano unaweza kupatwa na matatizo ya kutokushika ujauzito au kuwa na maumivu katika maeneo ya nyonga ambayo hayatoweki kabisa.

Kwa namna nyingine, ugonjwa wa PID unaweza kupelekea kuwapo kwa dalili zingine mbaya kabisa, na utahitaji kufika hospitali na kumuona daktari. Fanya haraka kupata matibabu ikiwa kama utahisi:

  • Maumivu makali katika maeneo ya tumbo la chini
  • Dalili za mshituko kama vile kuzimia
  • Kutapika
  • Homa kali sana

Baadhi ya dalili hizi pia yaweza kuwa ishara ya magonjwa mengine mabaya kama vile mimba kutunga nje ya kizazi. Unahitahi kupata huduma ya matatibabu haraka ikiwa kama utaona dalili kama hizo.

Je, Dalili Za Magonjwa Ya Zinaa Zinakuwaje?

Kumbuka katika ugonjwa wa PID yapo pia maambukizi ya magonjwa ya zinaa ambayo nayo yana dalili zake. Kitendo cha kutibu magonjwa ya zinaa kunaweza kukusaidia kuepukana na ugonjwa wa PID. Dalili za magonjwa ya zinaa huwa ni nyingi pia kama zile za PID, nazo ni pamoja na:

  • Kutokwa na uchafu mwingi ukeni wenye harufu mbaya
  • Maumivu makali wakati wa kukojoa
  • Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi

NUKUU: Uonapo dalili hizi hakikisha unafika hospitali haraka bila kuchelewa ili kupata vipimo kwa ajili ya kuanza matibabu. Usifuge ugonjwa huu una madhara makubwa mno.

Je, Unahitaji Kuondoa Matatizo Ya Maambukizi Katika Via Vya Uzazi?

James Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye mchanganyiko wa mimea ya asili, nazo ni antibiotic zenye uwezo wa kuua vimelea hao na kuondoa PID pamoja na magonjwa ya zinaa. Dawa hizo ni MULTICURE-POWDER  na BEST GREEN.

 

Kwa mawasiliano tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626. Pia tunatoa masomo mbalimbali ya afya kupitia GROUP la TELEGRAM na WHATSSAP. Unahitji kujiunga na JUKWAA letu unaweza kutuma namba yako ya WHATSSAP ukaweza kuunganishwa nasi.

 

Karibuni sana!!

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *