JE, NINI HUFANYA UUME USHINDWE KUSIMAMA?

Uume kulegea au kushindwa kusimama ni kutokuweza kudindisha na kuufanya uume kuwa mgumu kabisa wakati wa tendo la ndoa.

Kuwa na tatizo mara kwa mara la kutokudindisha sio lazima iwe sababu ya kuwa na wasiwasi katika maisha yako. Ki wako ama tatizo la kutokudindisha ni hali endelevu, bila shaka lingeweza kusababisha msongo wa mawazo, athari katika ujasiri wako na kuchangia matatizo katika mahusiano au ndoa. Matatizo yanayofanya uume kutokudindisha yanaweza pia kuwa ishara ya afya dhaifu ya mwili wako ambayo pia yanahitaji matibabu ya haraka sana bila kuchelewa hasa magonjwa ya moyo au kisukari.

NUKUU: Kama unaona hali ya kutokudindisha inakutokea, basi fika hospitali haraka hata kama unaona aibu. Wakati mwingine unapotibu magonjwa mengine yatosha kabisa kurudisha hali ya uume kuweza kudindisha.

Je, Dalili Za Kutokudindisha Zinakuwaje?

Dalili za uume kutokudindisha zinaweza kuendeleza mambo haya yafuatayo;

  • Kutokudindisha
  • Kushindwa kuendelea kudindisha kabisa
  • Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa

Je, Nini Husababisha Hali Hii?

Hisia za tendo la ndoa kwa mwanaume ni mchakato tatanishi unaohusisha ubongo, homoni, hisia, mishipa ya fahamu, misuli na mishipa ya damu. Hali ya uume kushindwa kudindisha inaweza kutokana na matatizo yanayokuwa katika sehemu hizo nilizozitaja. Vile vile, msongo wa mawazo na magonjwa ya akili yanaweza kusababisha hali ya uume kushindwa kudinda au kusimama.

NUKUU: Wakati mwingine mchanganyiko wa matatizo ya mwili na akili husababisha uume kuishiwa nguvu. Kwa mfano, hali ndogo ya mwili ambayo inayopunguza hamu ya tendo la ndoa inaweza kusababisha mashaka juu ya kurekebisha afya ya uume wako kuweza kudindisha.

Matatizo Ya Mwili Yanayosababisha Uume Kushindwa Kudindisha:

Katika visa vingi mbalimbali, kupungukiwa nguvu za kiume husabbaishwa na kitu cha ki mwili. Visababishi vya kawaida ni pamoja na;

  • Ugonjwa wa moyo
  • Damu kuganda kwenye mishipa ya damu
  • Mafuta kujaa kwenye mishipa ya damu
  • Shinikizo la juu la damu
  • Kisukari
  • Uzito kuwa mkubwa au unene
  • Kukosa usingizi
  • Uvutaji sigara au tumbaku
  • Utumiaji wa madawa ya kulevya
  • Kupungukiwa na homoni ya testosterone

Mambo Ya Kisaikolojia Yanaweza Kusababisha Uume Kushindwa Kusimama

Ubongo una jukumu muhimu katika kuchochea mfululizo wa matukio ya kimaumbile ambayo yanasababisha uume kushindwa kudindisha, ukianza na hali ya kutojisikia hamu ya tendo la ndoa. Mambo mengi yanaweza kuingilia hisia za tendo la ndoa na kusababisha au kuharibu uwezo wa uume kudindisha. Mambo haya ni pamoja na;

  • Msongo wa mawazo
  • Mashaka
  • Matatizo ya mahusiano katika ndoa kutokana na msongo wa mawazo
  • Kutokuwa na mawasiliano mazuri katika ndoa

Je, Nini Madhara Ya Uume Kutokudidindisha?

 

Madhara yanayotokana na uume kupungukiwa nguvu au  kushindwa kudindisha, ni pamoja na;

  • Kutokumridhisha mwenzi wako wakati wa tendo la ndoa
  • Msongo wa mawazo au mashaka
  • Kuaibika
  • Matatizo katika ndoa
  • Ndoa kuvunjika
  • Kushindwa kumpa mwanamke ujauzito

Tiba Zake

 

James Herbal Clinic tuna dawa nzuri zenye uwezo mkubwa wa kurudisha uwezo wa nguvu za kiume, na matatizo mengine mbalimbali katika mfumo wa uzazi wa mwanaume, nazo ni SHECHEM na VITAMAKA.

Je, unahitaji huduma? Tupigie simu kwa namba hizi; 0752389252 au 0712181626, pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSSAP au TELEGRAM na ukajiunga na JUKWAA au GROUP letu ili uweze kupata mafunzo endelevu ya afya.

 

Karibuni sana!

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *