Mwanamke kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa ni jambo la kawaida. Ingawa mara nyingi huitwa kutokwa na damu ukeni, lakini mara nyingi hali ya kutokwa na damu kwa wanawake wenye umri mdogo hutokea kwenye mlango au shingo ya kizazi. Hata hivyo maeneo mengine ya sehemu za siri za mwanamke pamoja na mfumo wa mkojo nazo zinaweza kuhusika.
Zipo sababu nyingi kwanini mwanamke hutokwa na damu baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu tatizo hili huitwa, “Postoital bleeding.”
NUKUU: Kama unatokwa na damu ukeni baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, basi jitahidi kutafuta ushauri hospitali kwa daktari wa mambo ya uzazi.
Je, Ni Husababisha Damu Kutoka Ukeni?
Kutokwa na damu ukeni baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa, huwa ni ishara au dalili magonjwa haya yafuatayo:
- Salatani ya mlango wa kizazi
- Kuvimba kwa mlango wa kizazi
- Maambukizi katika via vya uzazi(PID)
- Maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile pangusa, nk
- Uke kukauka kutokana na kupungua kwa ute au kukoma kwa hedhi
- Kuharibika kwa uke kutokana na msuguano wakati wa tendo la ndoa
- Kuchubuka kwa shingo au mlango wa uzazi
- Mzunguko wa hedhi kubadirikabadirika
- Vidonda ukeni vitokanavyo na maambukizi ya zinaa
- Salatani ya tumbo la uzazi
- Mlango wa kizazi kutokeza nje ya uke
NUKUU: Kwa mifano hii, kutokwa kwa damu baada ya tendo la ndoa kunaweza kuwa ni ishara ya salatani ya uke au mlango wa kizazi.
Je, Vipimo Vyake Hufanyikaje?
Kutegemeana na dalili zozote zingine pamoja na historia ya matibabu uliyowahi kutumia, basi daktari anaweza kupendekeza baadhi ya vipimo kama vile;
- Vipimo vya uzazi au ujauzito(kutegemeana na umri wako)
- Vipimo kwenye nyonga ambapo daktari huingiza vidole viwili ukeni
- Kuangalia kwenye mlango wa uzazi kwa kutumia chombo kiitwacho, “speculum.
NUKUU: Kama tatizo linasababishwa na ukavu wa uke, basi wanaweza kupendekeza kwamba ujaribu kutumia mafuta kupakaa ukeni wakati unapotaka kufanya tendo la ndoa.
Vipimo Vya Uchunguzi Wa Shingo Ya Mlango Wa Uzazi
Yafaa kwamba wanawake wote wenye umri kuanzia miaka 25-64 waweze kupata vipimo mara kwa mara kwa ajili ya shingo ya kizazi ili kusaidia kuzuia salatani ya shingo ya kizazi.
Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626,
Arusha-Mbauda
Pia tunatoa ushauri bure na masomo ya afya kila siku katika GROUP letu katika mtandao wa TELEGRAM. Unahitaji kujiunga na darasa letu, tuma namba yako ya WHATSSAP tuweze kukupatia link yetu.
Karibuni sana!
Naombeni msaada
Hellow habali ,mimi mkewangu anatatizo hilo kipi nifanye ? Naombeni ushauri.
Whatsapp number
0623629321
Naombeni msaada.
Tatizobla kutokwa na damu ukeni baada ya tendo la ndoa. Tena hitoka kama maji.0717389132
Asant
Habari, mm ni binti wa miaka 21 nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu nikimaliza hedhi hata kabla ya hedhi sio nyingi sana lakini ni ya utelezi ,kila nikipimwa naambiwa ni uti natumia dawa lakin shida inarudi ,nilikua naomba ushauri
Habari mm ni binti wa miaka 21 nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu kabla ya hedhi na hata baada ya hedhi nilikua naomba ushaur na piah wakati nashiriki tendo piah natokwa na damu sio mara zote lkn
Habare ,nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu hata sio kipindi cha hedhi damu inatoka tuuuu je ni ishara ya nn
Pole sana je uliwahi kutumia majira au uzazi wa mpango?
Hapana sijawah ila mara ya mwisho nilienda hospital nikaambiwa hormone imbalance nikapewa dawa tuuu trust lily lkn hali inaendelea
Je, umetumia dawa gani ili kuondoa tatizo hili?
Naomba kuungwa kwenye group 0686221179
asante sana nimewaelewa kwa kiasi fulani
Habari ndugu,naomba ushauri kila nikisex natokea na damu ndani ya siku mbili hivi, alafu tumbo linakuwa linauma Sana Tena Sana ila baada ya siku hizo mbili tumbo linakuwa limepoa, pili, siku zaku haziemdi SawA siku zote, tatu bado sijapata mtoto, me, ute wauzazi siupati na nimuda Sana, naomba ushauri wako nini nifanye, nini nitumie Asante
Natokwa na damu pindi nafanya tendo la ndoa na kuhis maumiv makali chini Ya kitovu jehh nini shidahh???
Pole sana Maliam hizo ni dalili za PID pia na mirija kuziba. Unaweza ukatuma namba yako ya whatssap ili tuweze kukuunganisha na darasa letu
Mke wangu jana katokwa na damu wakati ninamaliza tendo na akasema hana maumivu yeyote na anasema haijawah kumtokea
Tatizo inaweza kuwa ni nini
Pole sana naomba umwambie akapime tumbo la uzazi kutakuwa na shida kwa ndani
Habari nasumbuliwa,natatizo lakutokwa damu baada ya tendo
Pole sana, uliwahi kupima tumbo lako la uzazi? Hizo ni dalili za kuziba kwa mirija ya uzazi. Unaweza ukatuma namba yako ya whatssap ili uweze kuunganishwa na darasa letu
0679242440 naomba niunge kwa group
Habari,naomba kusaidiwa jambo, mchumba wangu anasumbu na kutokwa damu ukeni na maumivu ya tumbo, na kichefuchefu pia na hii imetokea mara baada ya kukutana kimwili Kwa muda wa siku Tano mfululizo na baada ya sikunya Tano kuuma kitovu na kutapika kukaanza, siku ya sita mida kabla ya mchana ndio amenzwa na hiyo shida itakua ni nini doctor?
Pole sana, je aliwahi kupima tumbo lake la uzazi? Pia unaweza ukatuma namba yako ya whatssap tukakuunganisha na darasa letu
Habare ,nasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu nikishiriki tendo la ndoa na kila asubuh nikiamka kipind ambacho sio cha hedhi je ni ishara ya nn
Je, unaweza ukatuma namba yako ya whatssap?
0652690208
Karibu sana
habar mm nan mchumba wangu shida iliyopo n kwamba tukikutana kwenye tendo hutokwa na damu sijaelewa nn tatizo.
0788838497
Karibu sana dada tayari tumekuunganisha
Habare, minasumbuliwa na tatizo la kutokwa na damu ukeni kipind sio cha hedhi nilienda hospital nikaambiwa sina shida ila hormone hazija balance nikapewa dawa nitumie miez mitatu ila shida bado inaendelea na wakati wa kushiriki tendo damu inatoka tuuuu naomba ushaur maana nimeshakata tamaa
Pole sana dada Winfrida, je unaweza kutuma namba yako ya whatsap?
0785212898
0652690208
Mpo vizur sana kwa kutoa elim ya afya
Barikiwa sana
Niunganishe na mimi ili niweze kupata darasa nina changamoto 0743322757
Karibu sana dada katika darasa letu
Habari dr naweza kuwapataje mana na mimi nna hyo changamoto ya kutoka damu baada ya tendo la ndoa
Pole sana dada Upendo, unaweza kutuma namba yako ya whatsap tukakuunganisha na darasa letu
0753321552
Karibu sana katika darasa letu
Hello habari Nina tatizo la kutokwa damu mara kwa mara has baada ya kumaliza tendo, naomba ushauri
Pole sana dada, je umewahi kupima mirija ya uzazi?
0748205496
Mimba yA wiki mbili ilitoka baada hapo natoka damu kila nikimaliza kujamiiana
Karibu sana katika group letu
Naitaji huduma
Mke wangu anatokwa na damu tukiwa kwenye tendo ssa ni mara mbili et na hana maumivu yeyote je? Tatizo itakua nini
Naomba kuungwa kwenye darasa
0686221179
Naomb kuungwa 0710051900
Karibu sana dada tayari nimeshakuunganisha
Naomba kuungwa kwenye group 0758392127
karibu sana
Naomba kuungwa kwenye group 0773874812
Karibu sana dada katika James Herbal Clinic tayari tumeshakuunganisha
Habar ninatatizo la kutoka na damu sijui shida nn ninasiku tatu Sasa baada ya kumaliza period
Pole dada, je umefika hospitali ili kufanya vipimo?
Naomba kuungwa nipate elimu
tuma namba yako ya whatsap
Hata mimi ninashida hyo jaman niunge kwa group 0747429813
Namba sio ya whatsap
Hali hii imenitokea hiv karibuni nikifanya tendo la ndoa damu inatoka kdogo, na sihisi maumivu yoyote na hii imetokea baada ya mwezi mmoja wa kukosa hedhi ila sina mimba je shida itakuwa nni? 0747429813
Namba yako sio ya whatsap
Naomba uniunge 0766032155
Karibu dada katika darasa letu
Hali hii inatokea hiv karibuni nikifanya tendon la ndoa damu inatoka kidogo, na sihis maumivu yyte na period yang haieleweki inaweza kutoka kidogo au isitoke kabisa naomb kuunganishwa Kweny darasa 0717535516
Pole sana dada je umewahi kufanya vipimo? Naomba uje kwenye group tuongee
Mm hutokea pia hali hii ingawa sio mala kwa mala pia mzunguko wangu wa hedhi umevurugika, napata damu kidogo wakati wa hedhi naomba uniunge kwenye group lako tafadhari.
Karibu sana dada katika darasa letu
Namba yangu ya whatsapp ni 0786944166
Karibu
Nina miak 20 n Mara ya pili kufany mapenz na nkimaliza natokwa na damu kidogo je? Nini shida. 0653792147
Pole sana, karibu sana kwenye darasa letu
Naomba ni add kwenye group
Karibu sana dada Leila
0711511986 ni add kwenye group
Karibu sana dad Leila