JE, NINI HUMFANYA MWANAUME KUWAHI KUFIKA KILELENI?

Hali ya kuwahi kufika kileleni hujitokeza pale mwanaume anapowahi kutoa shahawa mapema zaidi kabla mwenzi wake hajawa tayari wakati wanapofanya tendo la ndoa. Hili pia limekuwa ni chanzo cha matatizo katika ndoa. Tukiangalia tunaona katika wanaume 3, mmoja anaweza kuwa na tatizo hili.

Kadiri tatizo hili linavyozidi kuonekana mara kwa mara, sio sababu ya kujali. Hata hivyo, unaweza ukapatiwa vipimo kwa ajili ya tatizo la kufika kileleni mapema ikiwa kama:

 

  • Mara kwa mara unafika kileleni mapema ndani ya dakika 1 tu baada ya kuingiza uume kwenye uke.
  • Huwezi kujizuia kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa
  • Unahisi kuwa na mashaka au mfadhaiko na kushindwa kufanya tendo la ndoa

Mambo ya kibailojia na kimwili pia yanaweza kuchangia katika kumfanya mwanaume kuwahi kufika kileleni. Ingawa wanaume wengi huona aibu kuzungumza juu ya tatizo hili, lakini hali ya kufika kileleni mapema ni tatizo linaloweza kutibika tena kwa urahisi tu.

premature ejaculation

NUKUU: Tiba, ushauri pamoja na mbinu jinsi ya kufanya tendo la ndoa ambazo zinaweza kuchelewesha kufika kileleni vinaweza kusaidia kuboresha tendo la ndoa kwako na kwa mwenzi wako.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

Dalili kuu za kuwahi kufika kileleni ni kushindwa kuchelewa kufika kileleni kwa zaidi ya dakika 1 tu baada ya kuingiza uume ukeni. Hata hivyo tatizo lazima litokee katika hali zote za tendo la ndoa, hata wakati wa kujichua.

Preventive Medicine News from Medical News Today

NUKUU: Tatizo la kuwahi kufika kileleni linaweza kuanza maishani mwako mwote baada ya kubalehe, au linaweza kujitokeza baada ya kufanya ngono kwa muda mrefu pasipokuona tatizo la kuwahi kufika kileleni.

Je, Nini Visababishi Vyake?

 

Visababishi halisi vya kuwahi kufika kileleni wengi hupenda kusema kwamba hawavifahamu. Lakini inadhaniwa kuwa tatizo hili linaweza kutokana na mambo ya Kisaikolojia au sababu za kibaiolojia. Sababu za kisaikolojia ambazo zinaweza kuwa ni:

  • Kufanya ngono mapema
  • Kutumia madawa ya kulevya
  • Mwili kudhoofika
  • Msongo wa mawazo
  • Kuhofia juu ya kuwahi kufika kileleni
  • Kushindwa kudindisha
  • Kujichua
  • Shinikizo la juu la damu
  • Wasiwasi au hofu

 

Mambo Ya Ki Baiolojia;

 

Idadi ya mambo ya ki baiolojia yanaweza kuchangia kumfanya mwanaume kuwahi kufika kileleni, nayo ni kama ifuatavyo;

  • Viwango vibaya vya homoni mwilini
  • Madhara na uvimbe wa tezi dume au njia ya mkojo
  • Viwango dhaifu vya kemikali za ubongo ambazo kitaalamu tunaita neurotransmitters

 

Je, Mambo Hatarishi Yanakuwaje?

 

 

  1. Uume Kushindwa Kusimama

 

Unaweza kuwa katika muongezeko wa vihatarishi vya kuwahi kufika kileleni ikiwa kama mara kwa mara unapatwa na atatizo hilo. Hofu au kushindwa kudindisha kunaweza kukufanya wewe kuwahi kuingiza uume ukeni haraka huku ukiwa na hofu ya kwamba huenda utashindwa.

 

 

  1. Msongo Wa Mawazo

 

 

Msongo wa mawazo katika eneo lolote la maisha yako unaweza kukufanya kukosa nguvu za kiume au kuwahi kufika kileleni mapema, na kushindwa kutulia na kujali tendo la ndoa.

 

Je, Madhara Yake Yanakuwaje?

 

Kuwahi kufika kileleni kunaweza kusababisha matatizo katika maisha yako binafsi, hasa;

 

  • Msongo wa mawazo pamoja na matatizo ya mahusiano
  • Kushindwa kumpa ujauzito mwanamke.

 

TIBA ZAKE

 

James Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni mapema, nazo ni VITAMAKA, CARD HERB, NEOTONIC na MOTHER MEDICINE.

 

Je, unahitahi huduma? Tupigie wa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Arusha-Mbauda

 

Karibuni sana!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *