JE, NINI KINACHOSABABISHA BAADHI YA WANAUME KUCHELEWA KUFIKA KILELENI?

Kuchelewa kufika kileleni huwa ni hali ya kawaida kujitokeza. Hali hii hutokea wakati inapochukua muda mrefu sana mwanaume kufika kileleni au kumwaga shahawa pale anaposhiriki tendo la ndoa.

 Kwahivy basi, muda huo mwanaume hushindwa kushusha mzigo kabisa au kufika kileleni hata kidogo, lakini kwa wengine tatizo hili linaweza kuwa endelevu maishani katika maisha yao.

Premature ejaculation: Treatments and causes

NUKUU: Ili hali hii haileti hatari zozote za kiafya, lakini inaweza kuwa chanzo cha msongo wa mawazo na inaweza kuleta matatizo katika maisha yako ya ndoa pamoja na mahusinao yako binafsi, kwa mfano marafiki zako wanaweza kukutenga na kukudharau, nk.

Je, Nini Husababisha Kuchelewa Kufika Kileleni?

Kuchelewa kufika kileleni ni tukio la homoni, neva na kisaikolojia. Kama mwanaume aliwahi kuwa na tatizo kwenye neva au mishipa ya nyonga au aliwahi kuwa na jeraha kwenye uti wa mgongo, basi anaweza kuwa na tatizo la kuchelewa kufika kileleni. Huwa anakosa muunganisho wa neva kutoka kwenye neva za kumwaga(yaani neva zinazomfanya afike kileleni) kwenye ncha ya uume wake kurudi kwenye uti wake wa mgongo.

Zaidi kabisa, anaweza kutokuwa na uwiano sawa wa homoni(hormonal imbalance) kwenye serotonin, prolactin au testosterone.

What Men Don't Know About Antidepressants - Benefits, Side Effects

NUKUU: Wanaume wanaotumia dawa za kutuliza akili(antidepressants) ambao viwango vyao vya serotonin vimepunguzwa na vidonge, mara nyingi huteseka sana na tatizo la kuchelewa kufika kileleni au kushindwa kabisa kumwaga shahawa. Wanaume wenye homoni chache za testosterone pia wanaweza kushindwa kufika kileleni.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Hali ya kuchelewa kufika kileleni hutokea pale mwanaume anapotumia zaidi ya dakika 30 akishiriki tendo la ndoa lakini hamwagi shahawa , mnara unaweza kuwa umesimama vizuri lakini hawezi kufika kileleni. Kufika kileleni ni pale shahawa zinapomwagwa na kutoka kupita kwenye uume.

How Many Times Can A Man Ejaculate In A Day? - Thenaturehill

NUKUU: Tatizo la muda mrefu la kuchelewa kufika kileleni ni tofauti sana na tatizo ambalo huendelea baadaye katika maisha. Baadhi ya wanaume wanakuwa na tatizo hili moja kwa moja kila wanaposhiriki tendo la ndoa.

Kwa baadhi ya wanaume, hutokea tu pale wanaposhiriki na wapenzi fulani au katika hali fulani.

Kwa nadra sana tatizo hili linaweza kuwa kiashiria cha magonjwa makubwa kama vile ugonjwa wa moyo pamoja na kisukari.

Can a man ejaculate twice | How To Get Pregnant Faster: Men Who Ejaculate  Twice Within An Hour May Be More Likely To Conceive

NUKUU: Kwa wanaume wengine, hutokea tu kwa wapenzi fulani au katika hali fulani. Hii inajulikana kama hali ya kuchelewa kufika kileleni.

Ni mara chache sana hali ya kuchelewa kufika kileleni huwa ni sihara ya tatizo la afya kuwa mbaya kama vile ugonjwa moyo au kisukari.

Nashukuru sana wapendwa wasomaji naomba niishie hapa katika makala yetu, tutaonana tena katika makala inayofuata.

Je, unahitaji huduma na ushauri? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252/0712181626.

 

Pia tuna darasa letu katika Group la WHATSAP unaweza kutuma namba yako ya Whatsap ukaunganishwa ili uweze kupata elimu zaidi ya afya.

 

Karibuni sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *