JE, NINI SABABU YA UKE KUWA MKAVU?

Hali ya ukavu ukeni inaweza kuwa tatizo kwa wanawake katika umri wowote, ingawa hujitokeza zaidi mara kwa mara kwa wanawake wenye umri mkubwa, hasa pale wanapofikia ukomo wa hedhi.

 

Image result for effects of vaginal dryness

 

Kupungua kwa viwango vya vichcocheo(hormone) huwa ndio sababu kuu ya kukauka kwa uke. Homoni za mwanamke husaidia sana kuutunza uke na kuzifanya tishu za uke kuwa zenye afya kwa kutengeneza unyevunyevu wa kawaida ukeni, tishu za uke kuvutika pamoja na hali ya uasidi yaani uchachuchachu. Visababishi vingine vya hali ya ukavu ukeni vinaweza kutokana na utumiaji wa madawa pasipo kufuata ushauri wa daktari au kutokufanya usafi maeneo ya uke.

 

Viwango vya homoni ya estrogen vinaweza kushuka kutokana na sababu zifuatazo, napenda leo uzijue. Sababu hizi huwa kama ifuatavyo:

 

  1. Kunyonyesha

 

  1. Kujifungua mtoto

 

 

  1. Uvutaji sigara

 

  1. Athari kwenye vifuko vya mayai

 

 

  1. Kushuka kwa kinga za mwili

 

  1. Kukoma hedhi

 

 

  1. Utumiaji wa madawa ya kuongeza homoni za uzazi

 

  1. Kuondolewa kwa kifuko cha yai(ovary)

 

 

  1. Kuosha maeneo ya uke kwa kutumia madawa yenye harufu kali na yenye kemikali.

 

 

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

 

Dalili za kukauka kwa uke huwa kama ifuatavyo:

 

 

  • Kuhisi muwasho au moto maeneo ya mashavu ya uke

 

  • Kuhisi moto wakati wa kukojoa

 

 

  • Kukojoa mara kwa mara

 

  • Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa yakiambatana na damu kidogo

 

 

  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa

 

  • Mashavu ya uke kuwa membamba

 

 

  • Kuwa na maambukizi ya UTI yasioisha au yenye kujirudiarudia.

 

 

TIBA ZAKE

 

 

James Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya kukauka kwa uke nazo ni; VITAMAKA, PHYTOGUARD  na CARD HERB.

 

Je, unahitaji huduma? Kwa mawasiliano tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626

 

 

Arusha Mbauda

 

 

Karibuni sana.

 

50 thoughts on “JE, NINI SABABU YA UKE KUWA MKAVU?

  1. Ute ukitoka wakati upo kwenye hali hiyo ukawa kama una mabonge madogo madogo…yaani kama yale ya maziwa ya mgando….je hapo unakua una tatizo lingine ?

  2. Samahan Mimi tatzo kubwa ni kwamba naweza nkaanza tendo nikiwa vizur na Ute upo vizur lakn baada ya mda unakata kabisa kunakuwa kukavu hata nijitahid vip kuurudisha nashindwa Hilo tatzo ni nn hasa?

    1. Hizo dalili za kupungukiwa homoni za estrogen, tuma namba yako ya whatssap tukuunganishe na darasa utapata na utaraibu wa kupata huduma

  3. Mimi tatizo langu naweza kufanya tendo la ndoa ute ukiwepo lkn nikiendelea zaidi unakata naomba kusaidiwa

  4. Mimi tatizo langu ni kweli naweza anza tendo nikiwa na ute baadae ukavu na ute haurudi tena nimetibiwa saana na baada ya hapo ni maumivu makali na sokojoi ila nikiwa nimekaa baadae nahis mkojo unatoka, je ni nini ila maumivu siku 2:au 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *