JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?

Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano;  tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa unaweza kuzihisi mara kwa mara kila siku.

Tokeo la picha la image of a man with indigestion problem

NUKUU: Hali ya kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa usagaji chakula tumboni mwako.

 

 

 

Je, Nini Dalili Za Tatizo Hili?

 

Watu wengi wenye tatizo hili wanaweza kuwa na dalili moja au zaidi, nazo huwa kama ifuatavyo:

 

  • Tumbo kujaa gesi wakati anapokula chakula

 

  • Tumbo kujaa gesi muda mrefu

 

 

  • Kuhisi maumivu ya tumbo la juu

 

  • Kuhisi kiungulia juu ya tumbo

 

 

  • Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara na kuhisi maumivu chini ya kitovu

 

  • Kuhisi kichefuchefu na kutaka kutapika

 

 

Tokeo la picha la image of a man with uric acid reflux

NUKUU: Wakati mwingine watu wanaosumbuliwa na tatizo hili pia hupatwa na kiungulia, lakini kumbuka kuwa kiungulia au chakula kutokumeng’enywa tumboni huwa ni hali mbili tofauti. Kiungulia huwa ni moto au maumivu unayoyahisi katikati ya kifua chako ambayo yanaweza kupenya mpaka kwenye shingo yako au mgongoni mwako wakati ama baada ya kumaliza kula.

 

Je, Nini Husababisha Chakula Kutokumeng’enywa Tumboni?

 

Chakula kutokusagwa au kumeng’enywa tumboni husababishwa na vyanzo vingi. Mara nyingi hali hii hutokana na mtindo wa maisha ya muhusika mwenyewe, hasa katika matumizi ya vyakula, vinywaji au madawa ya vidonge anayoyatumia. Visababishi vya tatizo hili huwa kama ifuatavyo:

 

 

  • Vyakula vyenye mafuta mengi sana, kama vile chips, roast, nk.

 

 

  • Vyakula vilivyokobolewa kama vile, ugali wa sembe, maandazi, chapati, nk

 

  • Utumiaji wa nyama mara kwa mara

 

 

  • Vinywaji vyenye caffeine nyingi,kama vile  pombe, kahawa, nk

 

  • Ulaji wa chokleti,

 

  • Uvutaji sigara

 

  • Kuwa na wasiwasi

 

  • Mazoea ya kula kupindukia au kula haraka haraka bila kujali kutafuna chakula vizuri

 

  • Matumizi ya madawa ya vidonge vya antibiotic au vyenye kupunguza maumivu mwili mwako kama vile panadol, nk. Yafaa sana kupata ushauri kwanza wa daktari kabla hujatumia madawa hayo.

 

Wakati mwingine hali ya chakula kutokumeg’enywa tumboni husababishwa na magonjwa au matatizo yanayokuwa tumboni mwako kama vile:

 

  • Vidonda vya tumbo

 

  • Uvimbe tumboni(Gastritis)

 

 

  • Mawe ya figo

 

  • Kuvimba kwa kongosho

 

  • Saratani ya tumbo

 

  • Utumbo kuziba

 

  • Kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye utumbo mwembamba(intestinal ischemia)

 

Tokeo la picha la image of a man with uric acid reflux

 

 

Je, Nini Madhara Ya Chakula Kutokusagwa Tumboni?

 

Kwa kawaida tatizo hili linapodumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa ufumbuzi, basi linaweza kusababisha madhara yafuatayo katika mwili wako:

 

  1. Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo

 

  1. Mgongo au kiuno kuuma

 

 

  1. Miguu, au mikono kufa ganzi

 

  1. Mwili kuchoka mara kwa mara

 

 

  1. Kukosa hamu ya kula

 

  1. Macho kushindwa kuona vizuri

 

 

  1. Mapigo ya moyo kwenda mbio

 

  1. Kichwa kuuma

 

 

  1. Kutojisikia raha na kukosa amani

 

 

TIBA ZAKE

 

James Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo hili pamoja na madhara yake, nazo ni  FRESH HERB, CARD HERB na MULTI-CURE HERB

 

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626

 

 

Tunapatikana Arusha Mbauda pia Makambako- Njombe

 

 

Karibuni sana

108 thoughts on “JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?

  1. Nimekuwa na tatizo hili kwa muda wa miaka kama 8 hivi nahisi. Mara nyingi ninapata maumivu makali tumboni na gesi kutoka tumboni kila inapofika saa 11 alfajiri. Madhara yote uliyoyaeleza mimi ninayo, kiuno kinauma, mwili unachoka, ninapata maumivu ya kichwa mara kwa mara nk

    Nitashukuru san kma nikipata tiba

  2. Habari mtaalam,mimi ninatatizo la gesi tumaini na dalili zote ulizotaja ninazo je nifanyeje Kwa Sasa nipo Uganda

      1. Mimi ninalo tatzo na madhara yote ninayo kwa hiyo nifanyaje ili nipone kapima Nipo mkoa wa singida Namba ya Whatsapp 0755507487

  3. Mie tumbo hujaa gesi Mara kwa Mara,Mara nyingi nashindwa kula chakula Cha jion kwa asilimia kubwa dalili hizo ninazo mgongo kuuma,kichwa,nashindwa kiona vizuri,tumbo likiuma linakuwa kama Kuna miba.mbaya zaidi hata baada ya sex mie tumbo hujaa gesi kwa siku tatu mfululizo .namba yangu 0623828776

  4. mimi tumbo linavimba upande mmoja wa kulia nkila linajaa sana upande mmoja tu wa kulia ila wa kushoto hko kawaida namba yangu ni 0769563407

  5. Habari..
    Nami naskia kuumwa sana tumbo maeneo ya juu kabisa mwanzo wa kifua.panau.a sana nimenda hosp naambiwa ata vidonda sina ila ni gas

  6. Hata mimi nina tatizo hilo kwa muda mrefu sasa nimetumia dawa za hospitali mpk nimechoka but is nothing nipo mkoa wa dar es salam naomba msaada namba yangu 0789908374 ya whatsApp

  7. Mimi pia tumbo hujaa gesi hasa nilapomaliza Kula chakula cha usiku,hunipelekea kuharisha.Na ifikapo saa10 au 11 za alfajiri nahisi njaa pia maumivu yamgongo kiungulia pamoja na maumivu ya kichwa.Na maumivu ya tumbo ni chini ya kifua naomba naomba ya watsap. Yangu ni 0763707262

  8. Mimi nina tatizo hilo imefikia hatua vitu vingi sili kwa kuogopa kiungulia naweza pona kabisa nikawa km Zamani 0621412301

      1. mimi nipo mbeya ninatatizo hilo la tumbo kujaa gesi na viungo kuniuma ,najisikia uchovu mala kawa mala na ili tatizo la muda mulefu san mpaka kichwa kinauma san maomba msaada

  9. Namie pia nina tatizo kwa binti yangu tumbo kujaa gesi, kuungruma na kubeua kila mara. Ametumia dawa nyingi kama eligo kit, omeprazole na zile za maji mpaka ameshazichoka. Msaada tafadhali

  10. mimi nipo mbeya ninatatizo hilo la tumbo kujaa gesi na viungo kuniuma ,najisikia uchovu mala kawa mala na ili tatizo la muda mulefu san mpaka kichwa kinauma san maomba msaada

  11. Daaaa mimi huu mwezi wa nne nakuwa nabeuwa gas mara kwa mara ….nilipima nikaambiwa vidonda vya tumbo …nimetumia dawa bado gas haiishi kabxa

  12. Nami nina shida ya tumbo kujaa ges na kuuma mara kwa mara je nawezaje kupata dawa, Mimi John niko mwanza 0758314196

  13. Nina tatizo hili mwezi wa tatu sasa namba yangu ya watsup 0776856856 unaishi Zanzibar ila kea Sasa Niko dar kwa muda

  14. Kiongozi hili tatizo kwangu limekuwa sugu sana, Hasa usiku nikilala kwa kwa mgongo saiyo iyo linaanza kunguruma, Kujaa gesi na kichefuchefu hasa nikiywa maji baada ya kumaliza kula. WhatsApp napatikana kwa nambar 0759 888 478 nipo kilimanjaro

  15. Namva ya whatsapp ni 0689668893 mimi nina tatizo hilo la tumbo kujaa gesi hasa wakati wa asubuhi na jion naomba mnisaidie tatizo nn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *