JE, UNAIFAHAMU MIRIJA YAKO YA UZAZI INAVYOKUWA? JE, NINI KINATOKEA PALE INAPOPATA MATATIZO?

Mirija ya uzazi huwa misuli miwili yenye uwazi kwa ndani ambayo hutokeza kwenye kona ya kulia na kushoto mwa tumbo la uzazi kuelekea kwenye vifuko vya mayai. Mirija ya uzazi huishia katika umbo fulani kama bomba vile ambalo kitaalamu tunaita, “Infundibulum” ambalo hufunikwa na kijidole kidogo kijulikanacho kama, “Fimbriae”. Fimbriae huchomoza kuelekea kwenye vifuko vya mayai ili kunyakua yai ambalo tayari limekwisha kuanguliwa na kisha kulibeba na kuliingiza kwenye bomba ambalo kitaalamu tunaita, “Infundibulum” tayari kwa kusafirishwa kupelekwa kwenye mfuko wa uzazi(uterus).

 

NUKUU: Sehemu ya ndani ya mrija wa uzazi hufunikwa na kope(cilia) ambazo hutenda kazi na pamoja na misuli laini ya mrija ili kubeba yai na kulipeleka kwenye mfuko wa kizazi(uterus).

 

 

Je, Mirija Kuziba Kunaweza Kusababishwa Na Nini?

 

 

Visababishi vikubwa vya mirija kuziba huwa ni magonjwa ya maambukizi katika via vya uzazi au PID(Pelvic Inflamatory diseases).  Visababishi vingine vyaweza kuwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile pangusa(Chlamydia) au kisonono(gonorrhea). Lakini pia historia za vitendo vingine vibaya kama vile utoaji mimba au mimba kutoka yenyewe na hivyo mwanamke kuacha kusafisha kizazi chake, kwaweza kusababisha mirija ya mayai kuziba. Naomba ujali sana mara uonapo hali kama hizo zinakutokea.

 

 

Je, Mirija Ya Uzazi Inapoziba Kutokana Na Maambukizi Tunafanya Nini?

 

 

 

James Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya kuziba kwa mirija ya uzazi, nazo ni MULTICURE POWDER, FRESH HERB na VITAMAKA.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba: 0752389252/0712181626

 

 

Arusha-Mbauda

 

 

 

Karibuni sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *