JE, UNAJUA NINI KINACHOMFANYA MWANAUME KUWA NA TATIZO LA KIWANGO KIDOGO CHA MBEGU(LOW SPERM COUNT)?

Kiwango kidogo cha mbegu maana yake ni ute(shahawa) anazokojoa mwanaume katika mshindo(orgasm) wenye mbegu kidogo kuliko kawaida. Kiwango kidogo cha mbegu kitaalam tunaita “ oligospermia”.  Kutokuwa na kiwango cha mbegu kabisa, kitaalamu tunaita “Azoospermia.”  Kiwango chako cha mbegu kinaonekana kidogo kuliko kawaida ikiwa kama una mbegu chache kiasi cha milioni 15 katika milimita za shahawa.

Related image

Unaweza kuona hapo juu jinsi mwanaume anavyoweza kuwa na mawazo muda mwingi kwanini hampachiki mke wake mimba?

 

NUKUU: Kuwa na kiwango kidogo cha mbegu hupunguza uwezo wa  mbegu  na hivyo kushindwa kurutubisha yai la mwenzi wako, ili kumfanya apate ujauzito. Walakini, wanaume wengi wenye tatizo la kuwa na kiwango kidogo cha mbegu wanapopata tiba, wapo tayari kupona na kumpachika mimba mwanamke.

 

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

 

 

 

Ishara au dalili kubwa ya mwanaume mwenye tatizo la kuwa na kiwango kidogo cha mbegu ni kutokuwa na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kusionakane dalili zozote kwa nje kwa mwanaume anapokuwa peke yake. Kwa upande mwingine, tatizo lililomo kwa ndani katika mfumo wa uzazi wa mwanaume huwa kama ifuatavyo;

 

  1. Vichocheo visivyokuwa na uwiano sawa(hormone imbalance)

 

 

  1. Kuvimba au kutanuka kwa mishipa ya korodani au hali ambayo huziba njia ya mbegu inaweza kusababisha dalili au ishara

 

 

Dalili za kiwango kidogo cha mbegu mojawapo ni kama ifuatavyo:

 

 

 

 

  • Kuhisi maumivu au uvimbe kwenye kokwa za mwanaume,

 

  • Kuvimba kwa tezi dume

 

  • Kupungukiwa na vinyweleo mwilini, nk

 

  • Matatizo katika tendo la ndoa, kama vile uume kushindwa kusimama au kupungukiwa nguvu za kiume

 

 

Je, Nini Husababisha Tatizo Hili?

 

 

 

 

Utengenezaji au uzarishaji wa mbegu ni utaratibu mkubwa mno, nao huhitaji utendaji kazi wa kawaida wa korodani(testes) pamoja na tezi za hypothalamus na pituitary ambazo ni viungo vinavyokuwa kwenye ubongo wa mwanaume, ambavyo huzarisha vichocheo(hormone) vinavyosababisha utengenezaji wa mbegu. Mbegu zinapotengenezwa kwenye korodani, ndipo mirija laini huzisafirisha mpaka zinachanganyikana na shahawa na kisha kukojolewa kwenye uume. Matatizo yanayokuwa kwenye mfumo huu yanaweza kuathiri uzarishaji au utengenezaji wa mbegu.

Pia, kunaweza kukawa na matatizo ya mbegu zisizokuwa na umbo la kawaida(morphology), mwendo wa kawaida(motility), au utendaji kazi wake.

Kiwango kidogo cha mbegu kinaweza kusababishwa na mambo ya afya ya mwili wako ikiwa pamoja na matumizi ya madawa mbalimbali kama tiba. Baadhi ya mambo hayo ni:

  1. Varicocele

 

 

 

Huu ni uvimbe wa mirija midogomidogo inayokuwa kwenye korodani(testicle). Hali hii huwa chanzo kikubwa cha ugumba kwa mwanaume. Ingawa hali halisi ya  chanzo chake huwa hakijulikani lakini inawezekana hali ya joto kwenye korodani ikabadirika. Hali ya kuvimba kwa mirija hiyo husababisha kupungua kwa kiwango cha mbegu.

Related image

Unaweza ukaona hapo juu kwenye picha upande wa kulia jinsi mirija ya korodani inavyoweza kuvimba na kukunjamana.

 

  1. Maambukizi

 

 

 

 

 

Baadhi ya maambukizi yanaweza kuingilia uzarishaji wa mbegu au afya ya mbegu au yanaweza kusababisha kovu ambalo linaweza kuziba njia ya kupita mbegu. Hii ni pamoja na uvimbe kwenye mirija inayosafirisha mbegu  au maambukizi ya zinaa kama vile kisonono au HIV.  Ingawa baadhi ya maambukizi yanaweza kusababisha uharibifu wa kudumu wa kende, mara nyingi mbegu zinaweza kurekebishwa au kustawishwa.

 

 

  1. Matatizo ya kukojoa au kufika kileleni

 

 

Kukojoa mbegu halafu zikarudi nyuma ni hali ambayo hutokea wakati shahawa zinapoingia ndani ya kibofu wakati wa kishindo(orgasm) badala ya kuruka kwa kasi kupita kwenye uume na kuingia kwa mwanamke. Hali mbalimbali za magonjwa zinazoweza kusababisha mbegu kushindwa kuruka kwa kasi wakati wa kukojo au kufika kileleni, ni kisukari, ajari katika uti wa mgongo, uvimbe wa tezi dume, au upasuaji wa kibofu cha mkojo.

 

  1. Vichocheo Visivyokuwa Na Uwiano Sawa:

 

 

Tezi za hypothalamus, pituitary pamoja na korodani huzarisha vichocheo ambavyo ni vya muhimu kutengeneza mbegu. Mabadiriko katika vichocheo hivi kama inavyokuwa kwenye mifumo mingine kama vile tezi ya thyroid pamoja na adrenal, zinaweza kudhoofisha uzarishaji wa mbegu za mwanaume.

 

TAHADHALI: Ndugu mpendwa, ikiwa kama unasumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu za kiume au kukosa hisia au hamu ya tendo la ndoa, tafadhali epuka kabisa kutumia vidonge vya VIAGRA!!! Ni hatari kwa afya yako hasa ubongo pamoja na mfumo wako wa uzazi. Ili kuondoa tatizo hili, yafaa upate vipimo halafu uanze tiba mbadala zitokanazo na mimea ya asili, pamoja na vyakula vya sili, amini utapona.!!

 

Tiba Yake

 

 

James Herbal Clinic tuna dawa nzuri za asili zenye uwezo wa kuondoa matatizo ya kupungukiwa nguvu za kiume pamoja na kiwango cha mbegu za uzazi,  nazo ni PHYTOGUARD, CARD HERB na VITAMAKA.

 

 

Je, Unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626

 

 

Karibuni sana!

One thought on “JE, UNAJUA NINI KINACHOMFANYA MWANAUME KUWA NA TATIZO LA KIWANGO KIDOGO CHA MBEGU(LOW SPERM COUNT)?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *