JE, UNAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI?

 

JE, UNAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI?

 

 

 

Je, Maambukizi Ya Fangasi Ni nini?

 

 

Candida albacans ni vimelea wa fangasi ambao hukua kama fangasi ama seli zenye kusababisha kuwepo kwa maambukizi ya fangasi kwa mwanadamu.

Fangasi ya asili ijulikanayo kama Candida albicans, mara nyingi husababisha aina hii ya kuvimba kwa uke(Vaginitis). Kama inavyokadiriwa kuwa katika wanawake wanne, basi watatu wanaweza kuwa na maambukizi ya fangasi katika maisha yao,  haijalishi una umri gani. Hapo awali ilionekana kuwa jambo la kawaida sana mwanamke kuwa na maambuki ya fangasi sehemu za siri, lakini leo inaonekana kuwa tatizo la kutisha kwanai linaweza kuzarisha madhara mengine makubwa ambayo muhusika hakutarajia kama vile kuvimba ukeni, muwasho na masumbufu mbalimbali.

Magonjwa ya maambukizi yamekuwa yakienea kwa njia mbalimbali hasa kwa njia ya kujamiiana. Kwa upande mwingine maambukizi haya sio kwamba ni magonjwa ya zinaa tu. Wagonjwa wamekuwa wakipatwa na masumbufu mengi katika kutibu maambukizi katika via vya uzazi hasa fangasi.

 

 

Je, Fangasi Inaambukizwaje?

 

 

 

 

Mbali na kusababisha maambukizi ya fangasi sehemu za siri, fangasi pia husababisha maambukizi katika sehemu za mwili wako zenye unyevunyevu, kama vile mdomo(thrush), sehemu za kwapa, na sehemu za makucha. Vimelea wa fangasi pia wanaweza kusababisha tatizo la harara. Mambo yanayoongeza vihatarishi vya ugonjwa huu ni pamoja na;

Matumizi ya madawa makali kama vile ya antibiotic, nk;

 

  • Kisukari cha muda mrefu,

 

  • Mabadiriko ya homoni, hasa kwa kina mama wenye ujauzito.

 

 

  • Vidonge vya kupachika sehemu za uke,

 

  • Mavazi ya ndani yenye kubana sana, nafikiri kina dada mnaosoma makala hii hapo mlipo mumeshatambua maana najua hata sasa wapo wengi wenye mazoea ya kuvaa nguo za kubana ambazo wengi wanaita “Skin Tight”!

 

 

  • Kutokuwa na usafi sehemu za uke

 

  • Matumizi ya sabuni kwa kuoshea sehemu za uke sio kwamba zinasababisha fangasi bali zinaongeza hatari ya kupata maambukizi ya fangasi.

 

 

 

Je, Dalili  Za Maambukizi Ya Fangasi Ukeni?

 

 

             

 

Kama tulivyowahi kujifunza, dalili za maambukizi ya fangasi huwa kama ifuatavyo:

  1. Kuhisi muwasho sehemu za uke
  2. Kutokwa na uchafu wenye rangi nyeupe kama maziwa mtindi lakini hauna harufu.

Lakini wakati huohuo huwa kuna dalili zingine za kawaida pamoja na madhara ya fangasi. Kuongezeka kwa dalili hutegemeana na tatizo kukaa muda mrefu bila kupata tiba. Kwa upande mwingine napenda niseme hivi, tatizo la fangasi ukiwa unaritibu lakini linaendelea kujirudia mara kwa mara kwa muda mrefu, laweza kusababisha madhara makubwa. Hii ndio maana yafaa kumuona daktari wa vipimo haraka sana ikiwa kama utaona dalili zifuatazo kama vile;

  • Kuhisi hali ya kuwaka moto sehemu za uke

 

  • Kuhisi hali ya muwasho

 

 

  • Kutokwa na uchafu sehemu za uke hata kama ndio umeanza kutoka haijalishi ni mwingi au kidogo maana ndio dalili zenyewe za fangasi. Kumbuka kwa upande mwingine dalili hizi zaweza kuwa majimaji yenye harufu.

 

  • Kuhisi Maumivu wakati wa kujamiiana

 

 

  • Kuona hali ya uvimbe

 

  • Vidonda ama michubuko sehemu za siri.

Tiba Yake

 

 

 

James Herbal Clinic tuna tiba zenye uwezo wa kuondoa maambukizi ya fangasi sehemu za siri. Neotonic, Fresh Herb na Multi-Cure Herbs ni dawa ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu wengi wenye magonjwa ya fangasi na zimewaponya kabisa.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie 0752 389 252 au 0712 181 626

99 thoughts on “JE, UNAJUA VYANZO, DALILI NA MADHARA YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI?

  1. Ni makala manzuri, inasaidia tuliowengi ambao hatujui dalili za magonjwa mbalimbali na jinsi yanavyoambukizwa.

  2. km umeenda n mtu mwenye virus n akakuambukiza fangas uken. Je kwa sku ioio moja kuna uwezkan wakupta ukimwi pia

  3. Naomba kuna mtu anawashwa sehem za Siri na kuvimba pia maji maji hutoa harufu mbaya, msaada please

  4. Je kama uwashwi utoki na uchafu ila maumivu wakati wa kujamiana na kuwaka moto baada ya ku sex na nkienda ku kujoa baada ya sex ila mda mwingine nsipo jamiana si umi ata nki kojoa ni tatizo lina kama miezi miwili sasa shida ita kua ni nini

  5. Mimi Nina tatizo la fangasi sehemu za Siri kila nikitumia dawa hasa cotrimazole mambo hayaeleki kwa sababu napona Kisha baada ya mda vinarudi upya na nimeishi na tatizo hili kwa miaka 12 toka 2008 . Ila chanzo chake niliacha maji sehemu za Siri bila kuyakausha matokeo yake vikaibuka vipele ambavyo vilisambaa na kutengeneza makovu mpaka kuleta miwasho na michubuko sehemu za Siri hivyo naombeni msaada

  6. Mimi Nina tatizo la fangasi sehemu za Siri kila nikitumia dawa hasa cotrimazole mambo hayaeleki kwa sababu napona Kisha baada ya mda vinarudi upya na nimeishi na tatizo hili kwa miaka 12 toka 2008 . Ila chanzo chake niliacha maji sehemu za Siri bila kuyakausha matokeo yake vikaibuka vipele ambavyo vilisambaa na kutengeneza makovu mpaka kuleta miwasho na michubuko sehemu za Siri hivyo naombeni msaada

  7. Mimi Nina tatizo la fangasi sehemu za Siri kila nikitumia dawa hasa cotrimazole mambo hayaeleki kwa sababu napona Kisha baada ya mda vinarudi upya na nimeishi na tatizo hili kwa miaka 12 toka 2008 . Ila chanzo chake niliacha maji sehemu za Siri bila kuyakausha matokeo yake vikaibuka vipele ambavyo vilisambaa na kutengeneza makovu mpaka kuleta miwasho na michubuko sehemu za Siri hivyo naombeni msaada

  8. Habari : naitwa Aron Harice nipo Dar ukonga ninahitaji msaada wenu kuhusu tatizo la fangasi sehemu za Siri maana nimepambana Sana na hili tatizo lakini mpaka sasa sijapata majibu . Nakumbuka chanzo kulikuwa kuacha maji sehemu za Siri mwaka 2008 mwezi wa 12 matokeo yake ikazalisha vipele ambavyo vilisambaa na kutengeneza makovu na miwasho nimeangaika kwa mda wa miaka kumi na miwili lakini bado hakuna majibu ya tiba zaidi ya kutumia dawa za cream za cotrimazole Ila sijaona matokeo sahihi

  9. aisee naitwa bablee nina tatz kwenye uume natokewa na vipel vipel ukikamua tu vinatoka maji baadae vinapona alaf vinarud baada ya muda

  10. Halo doctor Mimi shida yangu nawashwa sehemu za siri ,halafu korodani zinakama uvimbe mdog Na kweny mapaja nawashwa

      1. Admin nasumbuliwa na fangasi sehemu za Siri kwa mda mrefu Sana nimetumia dawa lakini bado sijapona na inanilazimu nitumie vidonge vy la citrizen ndiyo napata nafuu kidogo lakini naswashwa sana

  11. Mimi ninatatizo la fungus ukeni na niyamuda mrefu huwa nikitumia dawa inatulia na kujirudia marakwa mara hivyo naomba kuuliza tatizo hili laweza kusababisha kukosa mtoto au

    Pia huwa napatwa na maumivu makali sana wakati wa hedh naombeni msaada jamani me bado mdogo

    1. Mimi nahisi muwasho ukeni alafu natokwa na uchafu mweupe kama mtindi lakini hauna harufu tatizo no nn???

  12. Hi admin.
    Ninatatzo hilo kwa muda mrefu nimetimia dawa nyingi sana ila hazinisaidii,naomba namna ya kumaliza tatzo wasap namba 0714637236

  13. Benjamini Kabogo nmeona dalili hizo za fungus Kaka naomba mnisaidie Nina week japo nmeenda hospital nmepewa dawa 0753656717

      1. kutokwa na vitu vyeupe kwenye tundu la uume huku ikiambatana na maumivu kidogo je, hizo ni dalili za fangasi?

  14. Naitwa Remidius Muganyizi nipo Dodoma, nasumbuliwa na fungus ila mwanzoni sikuwahi kupata fungus lakini nilivokuja Dodoma kutokea Kagera ukawa kama ugonjwa sasa sijajua ni maji, hali ya hewa au nini tatizo doctor, nisaidieni. Namba yangu ya Whatsap n 0758388719.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *