Kupata mimba huku ukiwa na maambukizi ya PID inaweza kuwa ni changamoto. Hata hivyo, wanawake wenye maambukizi ya PID hapaswi kupoteza tumaini. Kupitia matibabu ya tiba za asili, mwanamke mwenye maambukizi ya PID anaweza kupona ugonjwa na akapata ujauzito.
NUKUU: Mwanamke 1 kati ya wanawake 8 huhangaika sana kupata ujauzito. PID ni maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke na yanaweza kuwa madhara ya magonjwa ya zinaa. Wanawake wanaoshindwa kutibu maambukizi ya PID mapema husumbuka sana kupata ujauzito. Kadiri ugonjwa unavyogundulika mapema ndivyo huwa rahisi kutibika na kuweza kutoweka.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje
Watu wengi husumbuka muda mwingi wakihangaika kupata vipimo ili kujua vyanzo vya matatizo yanayowasumbua. Hata hivyo wanawake wenye dalili za maambukizi wanapaswa kufika hospitali ili kupata vipimo. Baadhi ya dalili za maambukizi haya zinaweza kuwa kama hivi ifuatavyo;
- Maumivu kiunoni
- Kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja
- Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni
- Maumivu au kutokwa na damu ukeni wakati wa kushiriki tendo la ndoa
Je, Kupata Vipimo Mara Kwa Mara Inaweza Kuwa Jambo La Muhimu?
Baadhi ya dalili hizi zinaweza sizijulikane au zinaweza zikafanya ukaonekana ugonjwa mwingine zaidi. Kwasababu hiyo, wanawake wenye umri wa kuzaa wanapaswa kupata vipimo vya magonjwa ya zinaa mara kwa mara. PID mara nyingi huwa ni madhara ya kisonono au pangusa, na pale maambukizi ya magonjwa ya zinaa yanapoonekana mapema, basi mwanamke ana nafasi kubwa ya kupata matibabu na kuweza kupona.
Je, Ugonjwa Wa PID Unaweza Kusababisha Kutokushika Mimba?
Wanawake wenye ugonjwa wa PID ambao haukutibiwa mara nyingi hupatwa na madhara ya makovu kwenye mirija yao ya uzazi na kupelekea kuziba. Wanawake wengi wamekuwa wakianza matibabu kwa ajili ya ugumba kila mwaka kutokana na maambukizi ya PID.
NUKUU: Hata hivyo, ingawa kupata ujauzito kunaweza kuwa kugumu zaidi kwa wanawake wenye maambukizi ya PID, lakini kupata mtoto haiwezekani. Wanawake wengi wenye ugonjwa huu wanaweza kupata ujauzito kupitia matibabu.
Je, Unawezaje Kuzuia Maambukizi Ya PID?
Uwezo wa mwanamke kupata ujauzito hutegemeana na muda gani ugonjwa huu umekaa bila kutibiwa. Njia nzuri ya kuzia PID ni kupunguza vihatarishi vya magonjwa ya zinaa kwa kutumia kinga.
Je, Unahitaji Huduma?
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba hizi: 0752389252/0712181626.
Pia unaweza kutuma namba zako za WHATSAP ukaweza kuunganishwa na darasa letu ili uweze kupata masomo ya afya zaidi.
Karibuni sana.!