Kupiga punyeto au kujichua kunaweza kuleta madhara makubwa katika mwili wako, nikimaanisha kwa mwanaume na mwanamke pia. Kitendo cha kujichua au kupiga punyeto huonekana kama uovu kabisa kwa mtu mwenye imani ya dini yoyote.
Unaweza ukaona hapo juu jinsi wanaume wanavyokuwa na tabia ya kuwa na mazoea ya kupiga punyeto.
Lakini bado pia unaweza kuona tabia ya mwanamke anavyofanya kujichua au kupiga punyeto.
Je, Matumizi Ya Punyeto Yanakuwaje?
Baadhi ya watu wanaweza kufanya na kukuza matumizi ya punyeto au kujichua. Unaweza kutumia muda mrefu wa kujichua au kupiga punyeto ikiwa kama punyeto itakufanya wewe uwe na mambo yafuatayo:
- Kushindwa kufanya kazi zako kila siku
- Kushindwa kuhudhuria shule au masomo
- Kutokuwa na ushirikiano na marafiki au ndugu
- Kutofanya mambo mazuri ya kimaisha
NUKUU: Matumizi ya punyeto yanaweza kudhuru mahusiano yako na maeneo mengine ya maisha yako. Tabia ya kujichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu husababisha maeneo ya mfumo wa uzazi pamoja na ubongo kuharibika. Ni hali inayoweza kuharibu pia mahusiano yako na mwezni wako au urafiki wako, kwasabu hutumii muda mwingi kufurahia na mwezni wako kama ulivyozoea, au wakati mwingine unashindwa kumtimizia mahitaji yake.
Je, Tabia Ya Kujichua Husababisha Kupunguza Hisia Za Tendo La Ndoa?
Kwa upande wa wanawake wenye tatizo la kukosa hisia za mapenzi, kutokana na kujichua husababisha pia maeneo yao ya uke kukauka, nda ndio maana wapaohitaji kufanya tendo la ndoa kwa kulazimishwa, huhitaji kutumia mafuta kwa kupaka maeneo hayo ili kulainisha. Mmmmh! Hii ni balaa jamani niwaambie wenye tabia hizi.
Tukiangalia pia upande wa wanaume wanaopiga punyeto kwa muda mrefu husababisha maeneo yao ya uume kulegea na kuishiwa nguvu pia kukosa hamu ya tendo la ndoa au kufika kileleni mapema kabla ya kumridhisha mwanamke. Sijui kama wanawake wengi wanakuwa wavumilivu kuachwa bila kushibishwa na mwanaume kwa dakika moja tu. Nafikiri baadhi yao huenda kuchepuka ili waweze kushibishwa, sijui nasema uongo!
Je, unahitaji huduma ili kuondoa tatizo la kupiga punyeto? Tupigie kwa namba: 0752389252 au 0712181626.
Arusha Mbauda.
Karibu sana
wait, what is that suppose to mean?