PHYTO-RESPIRATORY ni dawa ya kimiminika yenye mchanganyiko wa mimea ya asili ya matunda na mbogamboga. Nayo ina wingi wa vitamin na madini mbalimbali, kwani ina uwezo wa kuua virusi, bakteria na vimelea mbalimbali mwilini mwako na kuukarabati kwa kuusafisha kundoa vimelea vilivyojificha katika damu na kwenye viungo vya mfumo wa hewa. PHYTO-RESPIRATORY ni antiseptic, antibiotic, diaphoretic na ni antioxidant.
Phyto-Respiratory ina faida zifuatazo:
- Husafisha Mwili Mzima
Phyto-Respiratory husafisha mwili wote na huzuia maambukizi kwa kuongeza uwezo wa kinga mwilini. Ni dawa nzuri kwa kila maambukizi na magonjwa. Athari yake ya faida kwenye mzunguko wa damu na hatua ya moyo inaweza kuleta nafuu fulani katika matatizo mbalimbali ya mwili.
Ni dawa inayotumika kwa magonjwa yote ya mapafu, kama vile baridi, kifua kikuu, homa, pamoja na magonjwa ya damu.
Inatibu pia matatizo ya moyo, kikohozi, vichomi,
- Miguu Au Misuli Kukaza
Kukaza kwa misuli ya miguu wakati wa usiku, maumivu makali au kubana kwa misuli, mara nyingi huwa ni hali inayojitokeza usiku wakati unapokuwa umelala. Hali hii kwa kawaida hujitokeza kwenye misuli, ingawa misuli kwenye miguu au mapaja inaweza kukaza pia.
Lakini unapotumia dawa hii ya PHYTO-RESPIRATORY tatizo hili huondoka kabisa na kukufanya uweze kupata usingizi , mnono.
- Kikohozi Sugu Kikavu
Kikohozi sugu ni kikohozi ambacho hudumu kwa muda wa wiki 8 au muda mrefu kwa watu wenye umri mkubwa, au a wiki nne kwa watoto wadogo. Kikohozi sugu kina kera zaidi mno. Aina hii ya kikohozi inaweza kukupata usiku na kukufanya ushindwe kupata usingizi na kisha kuufanya mwili kuchoka sana pale uamkapo asubuhi.
Matatizo mabaya ya kikohozi sugu yanaweza kusababisha hali ya kutapika, kichwa kuuma na hata vichomi kwenye mbavu. Pamoja na kwamba inaweza kuwa vigumu kubaini tatizo linalosababisha kikohozi sugu, lakini visababishi vyake huwa ni matuzi ya sigara, pumu na kujaa kwa asidi. Kwa bahati nzuri, tatizo hili hutoweka kabisa pale chanzo chake kinapotibiwa haraka bila kuchelewa. Dawa yetu aina ya PHYTO-RESPIRATORY ni dawa yenye uwezo mkubwa wa kuondoa visababsihi vya kikohozi sugu.
- Vivimbe Kwenye Ukuta Wa Utumbo Mpana(Diverticula)
Hivi huwa ni vifuko vidogovidogo vinavyojitokeza, ambavyo vinaweza kujengeka kwenye ukuta wa mfumo wako wa umeng’enyaji chakula. Mara nyingi huonekana maeneo ya chini ya utumbo mpana. Vivimbe hivi huwa vya kawaida, hasa pale mtu anapofikisha umri wa miaka 40, pamoja na matatizo mengine madogo madogo.
Pale kifuko kimoja au zaidi kinapotuna na kuwa kama uvimbe katika maeneo yaliyoathirika, hiyo hali hufahamika kama, “Diverticulitis”. Hali hii inaweza kusababisha maumivu makali ya tumbo, homa, kichefuchefu pamoja na mabadiriko katika kinyesi. Lakini ukitumia dawa ya PHYTO-RESPIRATORY tatizo hilo huondoka kabisa.
- Ugonjwa Wa Mapafu Kuvimba(Emphysema)
Hii huwa ni hali ya mapafu kuwa mazito ambayo husababisha kukosa hewa. Watu wenye tatizo hili, vifuko vya hewa kwenye mapafu(alveoli) huharibika. Baadaye, kuta za ndani za vifuko hivyo hudhoofika na kupasuka, na kisha hutengeneza nafasi kubwa ya hewa badala ya vifuko vingi vidogovidogo. Hali hii hupunguza eneo la juu la mapafu, na pia, kiwango cha hewa ya oksijeni kinachofika kwenye mkondo wako wa damu
NUKUU: Unapovuta hewa, vifuko vya hewa vilivyoharibika huwa havifanyi kazi vizuri na hivyo hewa ya zamani hunaswa na kujaa vyumba vyote kiasi kwamba hewa safi ya oksijeni hukosa nafasi ya kuingia.
Watu wengi wenye tatizo la mapafu kuwa mazito pia huwa wana matatizo ya kuvimba kwa mirija ya hewa(bronchial tubes), hali ambayo hupelekea kuwapo na kikohozi kisichokoma.
Lakini dawa hii aina ya PHYTO-RESPIRATORY ukiitumia huondoa matatizo hayo kwa urahisi kabisa.
- Tumbo Kujaa Gesi
Gesi tumboni, kwa kawaida huwa haieleweki mpaka pale unapojamba. Njia yote ya uyeyushaji chakula kuanzia, mfuko wa chakula mpaka njia ya haja kubwa, hujaa gesi kama matokeo ya asili ya kumeza na kumeng’enya chakula.
Kusema kweli, vyakula fulani, kama vile maharage, huwa haviyeyushwi kabisa mpaka vinaingia kwenye utumbo mpana, ambapo bakteria huvichachusha.
Gesi kujaa tumboni wakati mwingine huonyesha matatizo katika usagaji chakula tumboni, lakini kila mmoja hutoa gesi muda kadha wakadha kila siku, na kujampa mara moja moja huwa ni kawaida kabisa kwa kila mtu.
Dawa hii ya PHYTO-RESPIRATORY inapotumiwa huondoa kabisa tatizpo hili tena kwa uhakika.
- Shinikizo La Juu La Damu
Shinikizo la juu la damu huwa ni hali ya kawaida ambapo nguvu ya damu dhidi ya mishipika kuta za mishipa yako ya damu(artery walls) huwa iko juu sana kiasi kwamba inaweza kusababisha matatizo ya afya kama vile ugonjwa wa moyo.
Shinikizo la damu hubainiwa na kiwango cha damu kinachosukumwa na moyo pamoja na kiwango cha kinachozuia mtiririko wa damu kwenye mishipa ya ateri. Kadiri moyo wako unavyozidi kusukuma kiwango kikubwa cha damu na jinsi mishipa ya damu inavyozidi kuwa mifinyu, ndivyo shinikizo la damu hupanda juu.
NUKUU: Unaweza kuwa na shinikizo kubwa la damu kwa muda wa miaka mingi bila kuona dalili zake. Hata usipoona dalili zake, lakini bado hali ya kuharibika kwa mishipa ya damu pamoja na moyo inaweza kuendelea na kugundulika. Shinikizo la juu la damu linapozidi kuwa kubwa ndipo kunazidi kuwepo na matatizo mengi ya katika mwili wako, hasa shambulio la moyo pamoja na kiharusi. Lakini unapotumia dawa hizi PHYTO-RESPIRATORY, NEOTONIC na CARD HERB huondoa kabisa tatizo hili.
- Chakula Kutokusagwa Tumboni Au Kuvimbiwa
Kitaalamu tatizo hili tunaita, “Dyspepsia au Upset stomach”, ni msemo ambao huelezea masumbufu yanayokuwa maeneo ya tumbo la juu. Kutokumeng’enywa kwa chakula au kuvimbiwa sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili unazozipata, zikiwemo maumivu ya tumbo na kujihisi umeshiba muda mfupi baada ya kuanza kula. Ingawa kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni ni jambo la kawaida, lakini kila mtu anaweza kupata tatizo hili katika njia mbalimbali tofauti. Dalili za kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni zinawezwa kuhisiwa mara chache au mara kwa mara kila siku.
NUKUU: Chakula kutokumeng’enywa tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa umeng’enyaji.
- Baridi Yabisi
Baridi yabisi ni maradhi ya uvimbe sugu ambayo yanaweza kuathiri viunganishi vyako vya mifupa. Kwa baadhi ya watu, hali hii inaweza kuharibu mfumo mkubwa wa mwili hasa, ngozi, macho, mapafu, moyo pamoja na mishipa ya damu.
Katika maradhi ya mfumo kinga, baridi yabisi hutokea pale mfumo kinga wa mwili wako unaposhambulia vibaya tishu za mwili wako. Baridi yabisi huathiri kuta laini za jointi za mifupa, kama ilivyo kusagika kwa mifupa laini jointi za mifupa, na kusababisha uvimbe wenye maumivu makali ambao unaweza hatimaye kutokea kumomonyoka kwa mifupa na jointi kuharibika.
Uvimbe ulioambatana na baridi yabisi ndio unaoweza kuharibu sehemu zingine za mwili pia. Japokuwa tiba za asili zinaweza kuponya janga hili, lakini bado tatizo hili likiendelea kuwa sugu linaweza kusababisha ulemavu. Ukitumia PHYTO-RESPIRATORY pamoja na FRESH HERB tatizo hili huondoka kabisa.
- Pua Kuziba(Nasal Congestion)
Pua kuziba ni hali ambayo hutokea pale pua pamoja na tishu zinazokuwa jirani ikiwa pamoja na mishipa ya damu inapotuna zikiwa na majimaji mengi, na kusababisha pua kuziba. Pua kuziba inaweza ikaambatana au isiambatane na kutokwa na makamasi puani.
Pua kuziba mara nyingi huwa ni kero kwa watoto wakubwa pamoja na wazee. Lakini hali ya pua kuziba inaweza kuwa hatari kwa watoto ambao usingizi wao huwa wa taabu sana kwa kuziba kwa pua zao, au kwa watoto wachanga, ambao wanaweza kupata wakati mgumu wa kunyonya.
Hali ya pua kuziba inaweza kusababishwa na kitu chochote ambacho kinasumbua uwazi wa pua, na mara nyingi huwa ni virusi au bakteria ikiwa kama una mafua au baridi kali. Kero hizi zinaweza kusababisha njia za pua kuvimba, na kumfanya muhusika ashindwe kupumua vizuri.
- Homa Na Mafua(Cold and Flu)
Homa na mafua yote huwa ni magonjwa ya hewa lakini husababishwa na virusi tofauti. Kwakuwa aina hizi mbili za magonjwa zina dalili za kufanana, inaweza kuwa vigumu kuelezea tofauti kati ya magonjwa hayo kulingana na dalili zake pekee. Kwa kawaida, mafua ni mabaya sana kuliko homa, na dalili zake huwa ni nyingi.
Homa mara nyingi huwa ni ndogo sana kuliko mafua. Watu wenye tatizo la homa mara nyingi huwa na mafua ya kuchuruzika. Homa kwa kawaida haitokani na matatizo makubwa ya afya, kama vile homa ya mapafu(pneumonia), maambukizi ya bakteria, nk. Mafua yanaweza kuambatana na madhara makubwa.
NUKUU: Dalili za mafua zinaweza kuwa na homa au kuhisi baridi, kikohozi, vidonda vya koo, makamasi au pua kuziba, mwili au misuli kuuma, kichwa kugonga pamoja na uchovu. Dalili za homa kwa kawaida huwa ni ndogo kuliko dalili za mafua. Watu wenye homa huwa wanapatwa na mafua au pua kuziba. Homa kwa kawaida haitokani na matatizo makubwa ya afya.
- Matatizo Ya Usagaji Chakula
Kuhara pamoja na matatizo mengine ya usagaji chakula humfanya mtu kutokuwa na raha, hasa kwa watu wanaougua magonjwa mara kwa mara. Matatizo hayo yanaweza kuwa matokeo ya bakteria kwenye chakula, maambukizi, msongo wa mawazo, madawa fulani, au magonjwa mengine sugu kama vile Colitis, IBS, nk. Lakini haijalishi kisababishi, kwasababu mtu yeyote mwenye tatizo la muda mrefu la usagaji chakula tumboni, hupatwa na changamoto kila siku pamoja na aibu.
- Kukosa Usingizi
Kukosa usingizi ni tatizo la kawaida ambalo linaweza kumfanya muhusika kuwa vigumu kupata usingizi, vigumu kuwa usingizini, au kumfanya kuamka mapema na kushindwa kurudi usingizini. Bado unaweza kuendelea kujisikia mchovu pale unapoamka. Kukosa usingizi sio tu kunaweza kudhoofisha kiwango cha nishati na hali, bali pia afya yako, utendaji kazi na kiwango cha maisha.
Jinsi usingizi unavyotosha hutofautiana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, lakini watu wengi wakubwa huhitaji masaa 7-8 mida ya usiku.
Wakati fulani, watu wengi wenye umri mkubwa hupatwa hali mbaya ya kukosa usingizi, ambayo hudumu kwa muda wa siku au majuma kadhaa. Mara nyingi huwa ni matokeo ya msongo wa mawazo. Lakini baadhi ya watu huwa wana hali sugu ya kukosa usingizi ambayo hudumu kwa muda wa mwezi au zaidi.
NUKUU: Kukosa usingizi inaweza kuwa tatizo la kwanza, au linaweza kuambatana na matatizo mengine ya kiafya. Hupaswi kuvumilia hali ya kukosa usingizi. Mabadiriko rahisi yanaweza kupatikana pale utakapotumia dawa nzuri ya PHYTO-RESPIRATORY.
- Kuvimba Kwa Jointi Za Mifupa(Arthritis)
Arthritis ni kuvimba na kutuna kwa jointi moja au zaidi. Dalili zake kuu huwa ni jointi kuuma na kuwa ngumu, hali ambao huharibiwa kabisa na umri wako unavyozidi kuwa mkubwa. Aina za kawaida za ugonjwa huu huwa ni kusagika kwa mifupa laini ya jointi (Osteoarthritis), kuvimba kwa jointi za vidole vya mikono na miguuni(Rheumatoid arthritis).
Osteoarthritis husababisha ugegedu yaani tishu yenye kuteleza ambayo hufunika ule mwisho wa mifupa, mahali ambapo mifupa huungana(joint) kusagika. Rheumatoid ni ugonjwa ambao mfumo kinga wa mwili hushambulia jointi za mifupa, kuanzia kwenye mifupa laini inayokuwa kwenye jointi.
NUKUU: Chembechembe za asidi ya yurea(uric acid crystals), ambazo hujengeka pale panapokuwa na asidi nyingi ya yurea kwenye damu yako, zinaweza kusababisha gout. Maambukizi au magonjwa madogomadogo kama vile surua, yanaweza kusababisha aina zingine za matatizo ya viungo vya mifupa. Lakini ukitumia PHYTO-RESPIRATORY pamoja na FRESH HERB tatizo hili huondoka kabisa
- Pumu
Pumu ni ugonjwa ambao njia ya hewa huwa finyu na hutuna na kuzarisha ute utelezi mwingi. Hii inaweza kufanya upumuaji kuwa mgumu na kusababisha kikohozi, kupumua kwa shida na kukosa hewa. Kwa baadhi ya watu, pumu huwa ni kero kubwa. Kwa wengine, inaweza kuwa tatizo kubwa linaloingiliana na shughuli za kila siku na linaweza kupelekea kutisha maisha kama shambulio la pumu.
NUKUU: Pumu inaweza ikatibika na dalili zake zikatoweka kabisa. Ukitumia PHYTO-RESPIRATORY tatizo hili hutoweka.
- Matatizo Ya Mzunguko Wa Damu
Ugonjwa wa moyo hufunua hali ya ugonjwa unaoathiri moyo. Magonjwa yanayokuwa chini ugonjwa wa moyo hasa magonjwa ya mishipa ya damu, kama vile ugonjwa wa Corona Artery; matatizo ya mapigo ya moyo(arrhythmnias); pamoja na moyo huleta dosari kwenye miongoni mwa wengine.
Neno “ Ugonjwa wa moyo” mara nyingi hutumiwa kwa kubadirishana na neno “Cardiovascular disease.” Cardiovascular kwa kawaida huwa ni hali ambayo hutokana na mishipa ya damu kuwa mifinyu au kuziba kiasi kwamba hupelekea kuwapo kwa shambulio la moyo(heart attack), kifua kuuma(angina) au kiharusi.
NUKUU: Magonjwa mengine ya moyo, kama yale ambayo huathiri msuli wa moyo, vali(valves) au mapigo ya moyo, pia huonekana kuwa ugonjwa wa moyo. Lakini ukitumia PHYTO-RESPIRATORY pamoja na CARD HERB, matatizo haya hutoweka kabisa.
- Uvimbe Sugu Katika Uwazi Wa Pua(Chronic Sinusitis)
Uvimbe sugu katika uwazi wa pua hujitokeza pale nafasi ndani ya pua na kichwa zinapotuna na kuvimba kwa muda wa miezi mitatu au zaidi, haijarishi ulikuwa unapata matibabu.
Hali hii ya kawaida huingiliana na jinsi ute ute wa kawaida unapokauka, na kuifanya pua kuwa kavu. Upumuaji kupitia pua yako kunaweza kuwa mgumu, na eneo linalozunguka macho yako linaweza kujihisi kama limevimba na kuwa gumu.
Uvimbe sugu unaweza kusababishwa na athari, kwa kuota kwa nyama nyama puani(nasal polyps) au kutuna kwa ukuta wa ndani wa pua yako.
NUKUU: Hali hii inaweza kuathiri pande zote mbli, yaani watoto wadogo na watu wakubwa pia. Lakini ukitumia PHYTO-RESPIRATORY tatizo hili huondoka kabisa.
- Ugonjwa Wa Kuhara(Irritable Bowel Syndrome)
Kuhara ni ugonjwa wa kawaida ambao huathiri utumbo mpana. Dalili na ishara zake huwa ni tumbo kuunguruma, maumivu ya tumbo maeneo ya chini, kujaa gesi, na kuharisha au kukosa choo. Kuhara huwa ni hali sugu ambayo unaweza ukaendelea nayo muda mrefu.
Idadi chache ya watu wenye ugonjwa huu huwa wana dalili mbaya sana. Baadhi ya watu wanaweza kuongoza dalili zao kwa kupangilia milo mizuri, mitindo yao ya maisha na kuondoa msongo wa mawazo. Dalili nyingi mbaya hutibika kwa kutumia dawa za asili ikiwamo PHYTO-RESPIRATORY.
- Ugonjwa Wa Muda Mrefu Wa Mapafu(Chronic Bronchitis)
Huu ni ugonjwa wa muda mrefu wa kuziba kwa mapafu(Chronic Obstractive Pulmonary Disease) au kwa kifupi, “COPD”. Aina nyingine ya ya ugonjwa huu ni kuvimba kwa mapafu ambao kitaalamu tunaita, “Emphysema”. Watu wengi wenye tatizo la kuziba kwa mapafu, pia huwa wana tatizo la kuvimba kwa mapafu pamoja na ugonjwa wa muda mrefu wa mapafu, lakini jinsi aina hizi za ugonjwa zinavyoweza kuwa hatari, zinaweza kutofautiana kwa kila mtu.
NUKUU: Ugonjwa wa muda mrefu wa mapafu huwa ni uvimbe na usumbufu wa mirija ya mapafu. Mirija hii huwa ni njia za hewa ambazo hubeba hewa kuiingiza na kuitoa kwenye vifuko vya hewa vinavyokuwa ndani ya mapafu yako. Usumbufu wa mirija ya hewa husababisha kujengeka kwa ute utelezi. Ute huu pamoja na uvimbe wa mirija huyafanya mapafu yashindwe kuingiza ndani hewa safi ya oksijeni na kutoa nje hewa chafu ya carbon dioxide
Dalili zake huwa ni kushindwa kupumua vizuri, kukohoa, kujawa na makohozi na hivyo kifua kubana. Lakini ukitumia dawa hii ya PHYTO-RESPIRATORY, tatizo hili huondoka kabisa.
- Kuhisi Kichefuchefu Wakati Wa Ujauzito
Hali hii hujitokeza sana kwa wanawake wajawazito, nayo ni hali inayoweza kujitokeza muda wowote mchana au usiku. Wanawake wengi wajawazito hupatwa na kichefuchefu, hasa kipindi cha miezi mitatu ya awali. Lakini baadhi ya wanawake wengine huhisi kichefuchefu tangu wanapopata ujauzito mpaka wanapofikia muda wa kujifungua.
NUKUU: Lakini huwa ni mara chahche sana kuiona hii kuwa endelevu kisasi kwamba humfanya hata mjamzito mwili wake kupungua. Uonapo dalili au tatizo la kichefuchefu, basi jipatie dawa hii PHYTO-RESPIRATORY, itakusaidia.
Je, unahitaji huduma kutoka James Herbal Clinic? Tupigie kwa namba hii: 0752 389 252 au 0712 181 626.
Arusha-Mbauda.
Pia unaweza kutuma namba yako ya WHATSSAP ukaweza kupata link yetu ili uweze kujiunga na group letu ambalo ni darasa zuri linalofundisha masomo ya afya pia tunatoa ushauri bure.
Karibuni sana