JE, WAJUA CHANZO CHA KUPUNGUA MBEGU ZA MWANAUME?

 

 

Kazi ya uzarishaji wa mbegu za mwanaume katika mfumo wa uzazi unahitaji utendaji kazi wa korodani pamoja na tezi za hypothalamus na pituitary ambazo huwa kwenye mfumo wako wa fahamu(ubongo) kwa ajili ya kuzarisha homoni ama vichocheo vinavyosababisha uzarishaji wa manii. Mbegu zinapozarishwaji kwenye korodani, husafirishwa na kuchanganywa na uteute ambao ndio manii, kisha hutolewa nje kupitia uume pale mwanaume anapofika kileleni. Tatizo lolote linalojitokeza katika mfumo huu linaweza kuathiri uzarishaji huu wa mbegu. Pia kunaweza kuwepo matatizo ya muonekano wa manii kwani zinaweza kuwa nyepesi, na mwendo wake kuwa mdogo na hivyo utendaji kazi wake kuharibika.

Kupungua kwa idadi ya mbegu humaanisha kuwa manii unazozitoa wakati wa tendo la ndoa huwa chache  kuliko kawaida.  Mbegu chache kitaalamu huitwa oligospermia, na mbegu zilizo kamili huitwa azoospermia. Inapojitokeza hali ya kuwa na mbegu chache, humfanya mwanaume kushindwa kumpachika ujauzito mwanamke kwani mbegu zake hazina uwezo wa kurutubisha yai la mwanamke.

 

Visababishi Vyake

 

Kwa kawaida tatizo hili husababishwa na mambo yafuatayo:

  • Kuvimba kwa mishipa inayosafirisha manii kutoka kwenye korodani.
  • Maambukizi ya magonjwa ya zinaa ambayo husababisha wakati mwingine mirija au mishipa kuwa na makovu na kisha kuziba
  • Manii kuingia sehemu za kibofu cha mkojo badala ya uume wakati mwanaume afikapo kileleni. Hali hii yaweza kusababishwa na magonjwa ya kisukari, uti wa mgongo, tezi dume au kibofu cha mkojo kupasulia.
  • Tezi za pitutari na hypathalamus kushindwa kufanya kazi vizuri

 

MATIBABU

James Herbal Clinic tuna tiba za magonjwa haya kupitia dawa zetu za asili. Ndugu msomaji popote pale utakapokuwa ikiwa kama unahitaji huduma, tafadhari tupige simu kupitia namba hizi: 0752389252 au 0712181626.