Uvimbe unaojitokeza kwenye mrija unaosafirisha mbegu za mwanaume huwa ni mbaya mno. Kwa kawaida huwa sio salatani na hauna maumivu. Uvimbe huu mara nyingi kwa ndani huwa umejaa majimaji kama maziwa hivi ambayo yanaweza kuwa na mchanganyiko wa shahawa.
Kisababishi chake halisi hakijafahamika bado, lakini yawezakusababishwa na kuziba kwa mrija mmoja kati ya mirija inayosafirisha mbegu za mwanaume.
NUKUU: Kuvimba kwa mrija unaosafirisha mbegu(Spermatocele) wakati mwingine unaweza kuonekana kama hali ya kawaida, kwasababu hauwezi kumfanya mwanaume kuwa mgumba na anaweza asitumie tiba yoyote katika kuiondoa hali hii. Lakini kama uvimbe huo ukizidi kukua na kuwa mkubwa sana na kumfanya muhisika kuwa na masumbufu, basi anapaswa afike hospitali bila kuchelewa.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Uvimbe kwenye mrija unaosafirisha mbegu kutoka kwenye korodani mara nyingi husababisha ishara au dalili na kunaweza kusiwe na badiriko lolote katika ukubwa wake. Kama ukiwa mkubwa sana, hata hivyo, unaweza ukahisi;
- Maumivu au masumbufu ndani ya korodani iliyoathiriwa
- Uzito fulani kwenye korodani yenye uvimbe
- Kujaa au kuvimba kwa korodani
Je, Ni Kipindi Gani Unapaswa Ufike Hospitali?
Kwakuwa uvimbe huu mara nyingi huwa hauonyeshi dalili, hivyo unaweza kuugundua tu pale unapokuwa ukishikashika korodani zako mwenyewe, au daktari anaweza akaugundua wakati anapokuwa akifanya vipimo.
NUKUU: Ni vyema kabisa kufika hospitali ili kupata vipimo kuweza kubaini hali kati ya uvimbe na salatani. Pia jitahidi kufika hospitali pale unapohisi maumivu au kuvimba kwa korodani. Magonjwa mengi mbalimbali yanaweza kusababisha maumivu kwenye korodani, na ndio maana mengi huhitaji matibabu bila kuchelewa.
Je, Chanzo Cha Kuvimba Kwa Mrija Ni Nini?
Kama nilivyoeleza mwanzo hapo, kuwa kisababishi chake hakijafahamika bado. Hali hii ya kuvimba kwa mrija(Spermatocele) inaweza kutokana na kuziba kwa mrija mmoja kati ya mirija hiyo mingi mingi iliyojikunjakunja ambayo hubeba au kusafirisha mbegu kutoka kwenye korodani na kuzihifadhi.
Je, Nini Madhara Ya Kuvimba Kwa Mrija?
Uvimbe kwenye mrija wa kusafirisha mbegu za mwanaume unaweza kusababisha madhara. Hata hivyo, uvimbe huu kama unauma au kama umekuwa mkubwa kiasi kwamba unakufanya kukosa furaha, basi unapaswa ufanyiwe upasuaji ili kuuondoa.
NUKUU: Lakini kumbuka kuwa upasuaji kwa ajili ya tatizo hili kunaweza kuharibu mirija mingine inayosafirisha mbegu kutoka kwenye korodani kuelekea kwenye uume. Uharibifu huo unaweza pia kupunguza kabisa uwezo wa mwanaume kumpa mwanamke ujauzito. Madhara mengine yanayoweza kujitokeza baada ya upasuaji ni kwamba uvimbe unaweza ukarudi tena, ingawa hii sio kawaida.
Je, Jinsi Gani Unaweza Ukupima Uvimbe Huu Kwenye Korodani?
Muda mzuri wa kuchunguza korodani yako ni wakati au baada ya kuoga maji vuguvugu. Joto kutokana na maji huzifanya pumbu kushuka, na kukupatia urahisi wa kuweza kubaini kitu chochote kisicho cha kawaida. Kwahiyo, fuata hatua hizi:
· Simama mbele ya kioo, kisha angali uvimbe wowote kwenye pumbu
· Chunguza kila koroda kwa kutumia mikono yako
· Jitahidi kuzishika shika korodani zako kwa kutumia kidole gumba na vidole vingine.
NUKUU: Fanya zoezi hili kila mara, utakuwa mzoefu kujua korodani zako kuwa zina mabadiriko gani yanayojitokeza. Kama ukiona kijivimbe chochote, hakikisha unafika hospitali bila kuchelewa.
Je, unahitaji kupata huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626,
Arusha Mbauda.
Pia tunakukaribisha katika darasa letu katika mtandao wa TELEGRAM, utapata masomo safi zaidi na ushauri bure. Unahitaji kujiunga na darsa letu, tuma namba yako ya WHATSSAP ili tukupatie link.
Karibuni sana.
Naomba niadd kwenye group la whasp.
0769393930
Karibu sana, tayari nimeshakuunganisha na group
Naomba niadd kwa grp la watsap no 0657061130
Naomba kufungwa kwa group la WhatsApp 0787075892
Naomba kuungwa kwa group la whtsapp
Hili tatizo niko nalo na uvimbe wangu umeshafikia hatua kila mda nikishika nausikia hila kiukweli nawaza sana jinsi ya kupata msaada
Dada naomba uwe na amani kabisa, dawa ipo. Tuma namba yako ya Whatsap uunganishwe na darasa letu utapata huduma
Naomba mniadd kwenye group 0752324272
barkiwa
Niunge 0713515936
Karibu sana
0612124823
Karibu sana
Naomba niuganishiwe na namim nimeelewa somo 0612124823
Ubarikiwe
Naomba mniunge whasp group 0656645328
Karibu sana