JE, WAJUA JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA JINSI YA KUJUA SIKU ZAKO ZA HATARI?

Je, Mwanamke, Wajua Siku Zako Hatari Ni Zipi?
Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo.
Je, Utazijuaje Siku Hizo?
Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi ya siku za mzunguko wako wa hedhi. Kuna aina tatu za mzunguko, mzunguko mrefu ambao unachukua siku 35, mzunguko mfupi unaochukua siku 25 na ule wa kawaida unaochukua siku 28 na ndio mzunguko ambao watu wengi wanao.

 

Related image

 

Je, Unaufahamu Vipi Mzunguko Wako Wa Hedhi?
Hesabu siku tangu siku ile ya kwanza uliyoona siku zako za hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona siku zako za hedhi zinazofuata. Unashauriwa uchukue miezi mitatu mpaka  sita ukihesabu ili uwe na uhakika kwamba mzunguko wa tarehe zako haubadiliki, kama umeshahesabu siku za nyuma kabla ya kusoma makala hii ni vizuri pia.

Image result for image of a woman counting her menstrual cycle days on the calendar

 

NUKUU: Mfano umeanza kuona siku zako tarehe moja mwezi wa nne halafu siku zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne, chukua 29 toa 1 utapata 28.. maana yake wewe unamzunguko wa siku 28. Napenda kila mwanamke au binti azidi kurudia kusoma mahali hapa ili aelewe nini nilichomaanisha aweze kujua idadi ya siku za mzunguko wake wa hedhi.

 

 

 

Je, Siku Za Hatari Ni Zipi?
Siku ya hatari ni siku ya 14 kabla ya kuona hedhi inayofuata na sio siku ya 14 baada ya kuona hedhi iliyopita na hapa ndio watu wengi wanachanganya na kupata mimba.
Image result for image of a woman counting her menstrual circle days on the calender

 

NUKUU: Mfano kama mzunguko wako ni siku ya kawaida siku  28, chukua 28 toa 14 utapata 14. Hivyo siku yako ya hatari ni siku ya 14, lakini kwa kua mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka siku tano na yai la kike linaweza kuishi mpaka masaa 24 ndani ya mfuko wa uzazi basi siku nne kabla na siku moja baada ya siku ya 14 ni hatari hivyo siku za hatari ni siku ya 10,11,12,13,14 na 15.
Kama mzunguko wako ni mrefu labda  siku 36 basi chukua 36 toa 14 utapata 22. Hivyo siku ya 22 ni hatari na zingine ni 18,19,20,21,22 na 23.
Kama mzunguko wako ni mfupi, mfano mzunguko wa siku 21, sasa ukichukua 21 ukatoa 14 unapata 7, yaani siku ya saba ni hatari kwa huyu mtu. Hivyo siku zingine za hatari ni 3,4,5,6,7[mtoto wa kiume] na 8.

 

Je, Ni Dalili Gani Zinaonyesha Kwamba Uko Kwenye Siku Za Hatari?
Kwa kawaida mwanamke anapokuwa katika siku zake za hatari, hupatwa na dalili zifuatazo;
1.   Kuongezeka kwa joto kidogo
2.   Tumbo kuuma kidogo,
 
3.   Ute mweupe kutoka sehemu za siri.

 

 

 

Jinsi Ya Kuhesabu Siku Za Hatari Za Kushika Mimba
Naomba ieleweke kwamba wanawake wametofautiana kwa asilimia kubwa sana katika mzunguko wao wa hedhi(bleed), hivyo kwa utangulizi tu kuwa makini na jinsi unavyoanza hedhi ili iweze kukusaidia katika kuhesabu kwako siku za hatari. Na si kulinganisha siku ambayo labda ulianza sawa na rafiki yako.
 Siku  1-16 ni mzunguko wa hedhi usiokuwa wa kawaida
           
Siku 2-18 ni mzunguko wa heshi usiokuwa wa kawaida
 
Siku 3-21 ni mzunguko wa hedhi usiokuwa wa kawaida
 
Siku 4-28 ni mzungunguko wa siku ambazo ni za kawaida

Siku 5-30 ni mzunguko wa siku ambazo ni za kawaida

Siku 6-32 ni mzunguko wa siku ambazo ni za kawaida

 
Siku 7-33 , 35, 40 au zaidi hizi sio siku za kawaida.

 

 

 

 

Jinsi Ya Kuhesabu Siku 16 ( Yaani Kuhesabu siku zako).

               

 

 

 

 

Mfano; umeanza kubleed leo tarehe 9 / 10/2017,  kwa hiyo chukua daftari na andika na hesabu moja. Hesabu kuanzia hapo mpaka utakapo fika 16 na ujue siku ya kumi na sita itaangukia tarehe ngapi? Utakuja kuona siku ya 16 inaangukia tarehe 24/10/2017,  hivyo siku yako nyingine ya kuja hedhini itaanza tarehe 25/10/2017.
 
Hivyo hivyo utaanza kuhesabu kutoka tarehe 25/10/2017 mpaka kumi na sita na utakuja kungundua kuwa siku ya kumi na sita itakuwa ni tarehe 9/11/2017. Hivyo inatakiwa uanze kubleed tarehe 10/11/2017,  hivyo utakuwa unahesabu vivyo kila mwezi.

Hivyo basi wanawake wanaokuja hedhini ndani ya siku 18 na chini  huwa wana matatizo, kwahiyo wanatakiwa waende kumuona daktari kwani kitaalamu sio sahihi. Kama ikitokea mke wako anakuja hedhini ndani ya mzunguko wa siku 18, basi mpeleke hospitali akapate ushari haraka sana. 

 
 
NUKUU: Kuna wanawake wanaokuwa na mzunguko wa siku 24 au 26.
 
Wanawake wanakuja hedhini siku 28, jinsi ya kuhesabu tarehe salama na siku za mimba kama walivyosema wengine kabla yako. Mfano; umeanza kutokwa na damu ya hedhi leo tarehe 9/10/2017 na una mzunguko wa siku 28.
 
 
9, 10,11,12,13,14,15,16,17,18,19, 20,21,22,23,24,25,26,27,28,29, 30,31/Oktoba 
 
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23
 

1, 2, 3, 4, 5/ Novemba
24 25 26 27 28

 
Hivyo, siku inayofuata ya kuja hedhini  itakuwa tarehe 6/11/ 2017 namba nyekundu inamaanisha siku za hatari.
 

Hivyo basi siku salama ni baada ya siku kukata, unaweza kuanza kumtumia mama lakini ikifika siku ya kumi na tatu, yai kuwa liko hatarini, huanza kushuka. Kipindi hiki mama huanza kutokwa na ute utelezi mzito wa kunata ambao ni dawa kwa ajli ya kulinda na kutengeneza mji wa mimba kuwa tayari kupokea mbegu za kiume kwa ajili ya urutubisho. Hivyo mbegu za baba huweza kusafiri kwa urahisi zaidi katika maji maji haya.

 

 

 

WANAWAKE WENYE MZUNGUKO WA SIKU 30.

 

 

 

 

Fikiria mwanamke ameanza kuja hedhini leo tarehe 9/10/2017

9,10.11.12.13,14,15,16,17,18,1 9,20,21,22,23,24,25,26,27,28,2 9,30,31/OCTOBER
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 /NOVEMBER
24 25 26 27 28 29 30 

Hivyo tarehe ya hedhi itakayofuata itakuwa 8/11/2017

Angalia tofauti kati ya mtu anayekuja hedhini kwa siku 28 na 30. Lengo langu ni yai huchukua siku 14 kuharibika baada ya kukosa kirutubisho. Hivyo hata mwanamke awe ana mzunguko wa 16, 18, 20, 24, 26, 28, 30, 32, 34 au 40 au zaidi. Itachukua siku 14 ili yai lake liweze kuharibika. Na siku ya 15 ndio huwa siku ya kwanza kuanza kuingia hedhini yaani yai limekosa kirutubisho.

 
Hivyo anza kuhesabu kuanzia siku ya tarehe 28 kurudi nyuma utakuta kuwa siku ya 14 ni tarehe 23. Hivyo, siku ya hatari itakuwa tarehe 22 lakini kwa kuwa yai huchukua saa 72 wakati likisubiri kirutubisho, ndio maana tunaanza na siku ya 13, 14, 15 tokea pale ulipoanza kubleed.
 
 
Na kwa mwanamke anayechukua siku 30 ukihesabu kuanzia 30 kurudi nyuma utagundua kuwa siku ya 14 ni tarehe 25/10/2017

Hivyo, siku ya hatari ni tarehe 24/10/2017, na kwasababu yai hukaa siku tatu, kwahiyo tarehe 23,24 na 25/10/2017 ambazo ni sawa na siku ya 16, 17 na 17 katika kuhesabu mzunguko.

Mwanamke Yule wa siku 32 itakuwa siku ya hatari ni ya 18 na siku zake tatu za hatari ni 17, 18 na 19 ambazo tarehe 25, 26, 27/10/2017 kama siku zake za hatari.

 

 

JE, UNASUMBULIWA NA TATIZO LA HEDHI?

 

 

 

 

James & Ferdinand Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye uwezo wa kuondoa tatizo la kukosa hedhi, mzunguko wa hedhi kubadiribadirika, homoni kutokuwa katika uwiano sawa au ugumba, nazo ni VITAMAKA, CARD HERB, PHYTOGUARD na REDEEMER.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba zetu hizi: 0752389252 au 0712181626

 

 

 

Arusha-Mbauda

 

 

 

Karibuni sana