JE, WAJUA VYANZO NA DALILI ZA UVIMBE WA FIBROID?

 

Fibroid ni tishu ndogo ambazo huanza kuota ndani ama nje ya tumba la kifuko cha uzazi la mwanamke. Na ieleweke kuwa, wakati mwingine uvimbe huu hukua na kuwa mkubwa zaidi na kusababisha Maumivu makali ya tumbo la chini na kutokwa na damu muda mrefu kipindi cha hedhi. Tatizo hili linapoanza wakati mwingine unaweza usione dalili zozote. Uvimbe wenyewe huwa sio Salatani.

 

AINA ZA UVIMBE WA FIBROIDS

 

Vivimbe mbalimbali tofauti huanza kujitokeza katika maeneo tofauti ndani na nje ya kifuko cha uzazi(uterus).

 

  1. Fibroid aina ya Intramural: Uvimbe huu ni wa kawaida kabisa. Aina hizi za uvimbe huonekana katikati ya misuli ya ukuta wa kizazi(uterus). Uvimbe huu unaweka kuku na ukawa mkubwa zaidi na unaweza kumfanya muhusika kuwa na tumbo kama mjamzito.

 

  1. Subserosal Fibroids: Aina hizi za uvimbe hujitokeza nje ya tumbo lako la uzazi(uterus), ambazo hujulikana kwa jina la serosa. Vivimbe hivi vinaweza kuendelea kukua na kuwa vikibwa sana kuliko kawaida na pia kulifanya tumbo lako kuwa kubwa.

 

 

  1. Submucosal Fibroids: Aina hizi za uvimbe hujitokeza katika tabaka la kati la ukuta wa kizazi. Aina hii ya uvimbe sio ya kawaida sana kama vivimbe vingine, bali wakati vinapojitokeza, humsababishia muhusika kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi na hivyo kushindwa kubeba ujauzito.

 

Je, Nini Visababishi Vyake?

 

Vyanzo vyake huwa kama ifuatavyo;

 

  1. Kutopata ujauzito kwa muda mrefu
  2. Kutoshiriki tendo la ndoa muda mrefu(yaani dada ama mama anapofikia umri wa miaka 25-30 bila kushiriki tendo la ndoa)
  3. Matumizi ya pedi zisizokuwa na uthibitisho wa madaktari.
  4. Kutoa mimba
  5. Mapungufu ya lishe mwilini

 

Dalili Zake

 

Kwa kawida dalili za uvimbe wa Fibroid huwa kama ifuatavyo;

  • Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, ama kupata hedhi mara mbili kwa mwezi.
  • Maumivu makali wakati wa hedhi.
  • Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya ama usiokuwa na harufu lakini mwingi.
  • Maumivu makali wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma uvimbe huo.
  • Maumivu ya tumbo chini ya kitovu,
  • Hedhi zisizokuwa na mpangilio
  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

 

Uvimbe huu unapokuwa mkubwa husababisha dalili zifuatazo;

 

  • Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe hukandamiza kibofu cha mkojo.
  • Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo.
  • Choo kuwa kigumu ama kukosa choo.
  • Kupungukiwa damu kwasababu fibroid hunyonya damu

Je, Uvimbe Unaweza Kusababisha Mwanamke Asipate Mtoto?

 

Uvimbe wa fibroid unapokuwa mkubwa sana hukandamiza mishipa ya kupitishia mayai kutoka katika kiwanda cha mayai yanakozarishwa yaani ovary.

  1. Uvimbe aina ya Submucosal huzuia yai lililorutubishwa lisijishikishe kwenye kizazi.

 

  1. Mwisho kabisa, huzuia mfuko wa kizazi kusukuma mbegu za mwanaume kwenda kwenye mishipa ya kupitishia mayai.

 

MATIBABU

 James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye mchanganyiko wa vyakula na mimea mbalimbali ya asili, nazo zina uwezo wa kuondoa matatizo ya uvimbe na magonjwa mengine mbalimbali.

Mpendwa msomaji, ikiwa kama unahitaji huduma tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626.

Karibu sana.