Vitamaka ni dawa ya asili yenye mchanganyiko wa vyakula na mimea ya asili aina 8. Ina uwezo mkubwa wa kuondoa magonjwa sugu na kuzuia magonjwa.
Faida zake ni kama ifuatavyo:
1. Mzunguko Wa Hedhi:
Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao ya uzazi.Tatizo hili linapojitokeza huleta athari nyingi kwa mwanamke kwa kumfanya ashindwe kupangilia mipango yake.
NUKUU: Hivyo mzunguko wa hedhi hubadirika,au kukosa hedhi, ama hedhi kuja mara moja baada ya miezi miwili au mitatu, kukosa ute, kutokwa uchafu ukeni, na wakati mwingine kukosa hisia ya kufanya tendo la ndoa, ugumba, nk. Dawa ya VITAMAKA inapotumiwa na CARD HERB na REDEEMER husaidia sana kurudisha mfumo wa hedhi na kuondoa tatizo hilo.
2. Upungufu Wa Nguvu Za Kiume
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linatajwa kushika kasi na linasababisha baadhi ya wanaume kadhaa kuishi maisha ya unyonge yaliyojaa hofu hasa kuhusu hatima ya uhusiano wa ndoa zao. Tatizo hili huwakera zaidi wanaume kuliko wanawake kwa sababu wanaume huchukulia urijali kama sehemu ya ukamilifu wa mwanaume na hunyongea wanapoona wana mapungufu kuhusu mambo ya mapenzi, tofauti kabisa na wanawake.
Kama unavyoona kwenye picha hapo juu wakati mwingine tatizo hili huwatia mawazo wanandoa wote wawili na kuanza kufikiria jinsi gani ndoa yao inaweza ikadumu tena. Ni janga lakini tiba zetu zinaweza vizuri mno.
NUKUU: Idadi ya wanaume wanaoridhika kuishi na tatizo hili ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya wanawake. Dawa yetu aina ya VITAMAKA inapotumiwa na pamoja na NEOTONIC, na LIVEN COFFEE, hutibu na kurejesha hisia na nguvu za kiume kwa wanaume wenye mapungufu ya nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa(Libido).
- Magonjwa Ya Kifua
Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote. Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako kukohoa ili kuondoa hao wavamizi. Kukohoa pia kunaweza kuwa ni matokeo ya maambukizi ya virusi, homa, kuvuta sigara au matatizo ya kiafya kama pumu, kifua kikuu na kansa ya mapafu. Baadhi ya dalili za kikohozi ni muwasho kooni, maumivu ya kifua na msongamano mapafuni. Dawa yetu aina ya VITAMAKA pamoja na NEOTONIC hutibu magonjwa ya kifua, kama vile pumu, kikohozi kigumu ama kikavu.
- Magonjwa ya Fangasi Na UTI
Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekuwa ni tatizo kubwa sana duniani. Tukiangalia tunaona asilimia 75% ya wanawake wote duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Maambukizi haya pia hujulikana kama Yeast Infections au Thrush Candida Albicans, nao hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia Chakula (Pharynx), kibofu cha mkojo, uume au katika uke pia. Tukiangalia tunaona tena maambukizi ya ugonjwa wa U.T.I, nayo yanakuwa tishio kwani yanazidi kusumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
Kwa kifupi ugonjwa wa UTI hushambulia viungo vinavyohusika katika kupitisha mkojo kabla haujatoka nje ya mwili. Dawa yetu aina ya VITAMAKA inapotumiwa pamoja na NEOTONIC, na MULTICURE POWDER huondoa magonjwa yote ya maambukizi hayo.
- Uvimbe Kwenye Mayai
Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary), hutokana na mkusanyiko wa majimaji, au usaha, au damu damu inayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst.
Unaweza ukaona hapo juu kwenye picha upande wako wa kulia jinsi vivimbe kwenye mayai vinavyokuwa tumboni.
Dawa yetu hii aina ya VITAMAKA inapotumiwa pamoja na REDEEDMER, FRESH HERB husadia sana kuondoa tatizo la uvimbe katika vifuko vya mayai.
- Vidonda Kinywani
Vidonda kinywani husababisha sana maumivu makali pamoja na kumfanya mtu asiweze kuongea vizuri na watu.Vidonda hivi husababishwa na kutafuta kwa muda mrefu hasa bigijii au kitu chochote, uvutaji wa sigara,maambukizi ya virusi, bakteria na fungasi sambamba na ukosefu wa madini na virutubisho vya folic, zinc, vitamin c,vitamin B12, na madini ya chuma. Vidonda hivi huwaathiri sana watu wengi na hutokea sana kwenye lips, ulimi , mashavu, kingo na kuta za meno ambapo pia huweza kusambaa hadi kwenye koromeo endapo havitatibiwa mapema. Laikini kupitia matumizi ya dawa yetu aina ya VITAMAKA inapotumiwa kwa kumung’unya, huondoa na kutibu kabisa matatizo ya vidonda mdomoni.
Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba zetu hizi: 0752389252 au 0712181626
Arusha-Mbauda