LINDA TUMBO LAKO LA UZAZI LISIPATWE NA UVIMBE AINA YA FIBROID.

Uvimbe aina ya fibroid unaojitokeza kwenye tumbo la uzazi umekuwa ukienea kwa kasi sana kwa wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa kuliko  wale wanaokaribia umri wa vipindi vya hedhi kukoma.

Fibroid And Pregnancy- Natural treatment For Uterine Fibroid [90 ...

Tiba za asili zimekuwa zikisaidia sana kuondoa tatizo hili bila kutumia upasuaji.

 

Je, Dalili Za Uvimbe Aina Ya Fibroid Zinakuwaje?

 

Dalili za uvimbe huu huwa kama ifuatavyo:

 

  • Tumbo la chini kuuma
  • Kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi
  • Kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu
  • Kukojoa mara kwa mara
  • Mgongo kuuma
  • Kukosa choo
  • Kutokupata ujauzito

 

Je, Nini Faida Ya Kutumia Tiba Asili Katika Kuondoa Uvimbe?

 

Faida ya dawa za asili katika kuondoa uvimbe kwenye kizazi huwa kama ifuatavyo:

 

  • Haitumiki njia yoyote ya upasuaji
  • Kila kiungo cha uzazi hubaki salama kabisa
  • Hakutakuwa na jeraha lolote kwenye kizazi
  • Uponyaji ni wa muda mfupi pia hutapata maambukizi
  • Mfuko au tumbo la uzazi hurudi katika hali yake ya awali
  • Muhusika anaweza akapata ujauzito na akazaa mtoto.

 

Je, Uvimbe Na Ugumba Vinakuwaje?

 

Ni ukweli wa kitabibu kwamba wanawake wengi wamekuwa wakipatwa na tatizo la uvimbe wa fibroid katika maisha yao. Kwa kawaida uvimbe wa fibroid huendelea kutokea  pale mwanamke anapofikia umri wa miaka 30-40. Hapo zamani, wanawake wenye umri huu walikuwa tayari wameshakamilisha kuwa na familia ya watoto. Lakini leo, wanawake wengi wanachelewa kupata watoto kutokana na tatizo hili. Ni kawaida kabisa kuanza kuwa na familia ufikishapo umri wa miaka 30 au 40, badala ya miaka ishirini na kitu. Hali hii hukufanya kuelewa uhusiano uliopo katika ya uvimbe wa fibroid na ugumba kuwa ni jambo la muhimu sana kukitambua mapema.

Fibroids during pregnancy - Daily Monitor

NUKUU: Wanawake wengi wamekuwa wakipatwa uvimbe wa fibroid ambao haudhuru uwezo wao wa kupata ujauzito. Uvimbe unaweza kubaki kuwa mdogo, au ukajitokeza kwenye maeneo ambayo hayawezi kuathiri mfumo wa uzazi. Lakini uvimbe fulani unaweza ukawa na athari kubwa katika uwezo wa kubeba ujauzito, na ukawa mjamzito ukabeba mimba.

 

Ikitegemea na mahali ulipojitokeza, uvimbe wa fibroid unaweza kuzuia mbegu na yai visiweze kukutana. Uvimbe wa fibroid unaweza kuzuia uwezo wa kiinitete kisiweze kujishikiza kwenye mfuko wa uzazi. Mara nyingi uvimbe huota katika sehemu au ukubwa ambao huleta changamoto kwa ajili ya ujuzito kuweza kuendelea kukua. Uvimbe wa fibroid unaweza hata kuathiri afya ya kiumbe kinachokuwa tumboni.

Je, Uvimbe Wa Fibroid Unaharibu Vipi Uwezo Wa Kupata Mtoto?

 

Majibu haya yana mengi ya kufanya na kile ambapo mahali uvimbe wa fibroid umeota.  Uvimbe wa fibroid unaweza kupunguza uwezo wako wa kupata ujauzito kwa njia zifuatazo:

 

  • Uvimbe wa fibroid unaobadirisha umbo la mlango wako wa uzazi(cervix) unaweza kuathiri idadi za mbegu zisiweze kuingia ndani ya mfuko wa uzazi.

 

  • Uvimbe wa fibroid ambao huziba mirija ya uzazi unaweza kuifanya safari ya yai lililorutubishwa lishindwe kufika na kujishikisha kwenye mfuko wa uzazi.

 

  • Uvimbe wa fibroid unaobadirisha umbo la mfuko wa uzazi unaweza kupunguza sehemu ambapo kiinitete kinaweza kujishikiza vizuri au kupunguza sehemu ya mfuko wa uzazi inayohitajika kwa ajili ya kiinitete kiweze kuendelea kukua.

 

  • Uvimbe wa fibroid unaodhoofisha ukuta wa uwazi wa mfuko wa uzazi au kupunguza mtiririko wa damu kwenye kiinitete kinachoota unaweza kusababisha mimba kutoka au kuporomoka.

 

Una Uvimbe Wa Fibroid Na Unataka Mtoto, Je Nini Cha Kufanya?

 

Kama tayari una ujauzito, basi unapaswa uhakikishe kabisa kuwa uvimbe huo unafanyiwa uchunguzi na daktari wa mambo ya uzazi.Wakati mwingine kadiri mtoto anavyokua, ndipo na uvimbe huzidi kukua. Hapa kunaweza kuwepo kwa hatari ya kubeba ujauzito au kuzaa kabla ya muda wake. Yafaa sana kufanya vipo na uchunguzi ili kukusaidia juu ya tatizo hilo.

Guidance Issued for Prenatal Care in Setting of COVID-19

NUKUU: Kama una uvimbe wa fibroid na unahitaji kuwa na ujauzito, yafaa kuwasiliana na daktari wa mambo ya uzazi ili akusaidie kama uvimbe uko sehemu ambapo unaweza kuzuia usipate ujauzito. Kama ikionekana hali hiyo, basi matibabu ya uvimbe wa fibroid yanatakiwa yafanyike mapema bila kuchelewa.

Je, Uvimbe Wa Fibroid Unaweza Kutibika?

 

Watu wengi hupenda kuuliza swali hili kwamba je, uvimbe unatibika kweli? Jibu ni ndiyo, uvimbe unatibika tena kwa urahisi sana kupitia tiba za asili. Usingojee mpaka uvimbe uwe mkubwa sana ili uweze kuanza kutafuta suruhisho!

 

Je, Unahisi dalili kama hizi zifuatazo, yaani;

 

  • Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
  • Kuhisi maumivu makali wakati wa hedhi
  • Kutokwa na damu ya mabonge wakati wa hedhi
  • Kuhisi maumivu makali katika tumbo la chini
  • Kutokupata ujauzito
  • Wakati mwingine kushindwa kukojoa
  • Kuwa na udhaifu mwilini.

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752 389 252 au 0712 181 626

 

Arusha- Mbauda

 

Pia tuna darasa letu zuri kabisa katika mtandao wa TELEGRAM unaweza sasa ukatuma namba yako ya WHATSSAP tukakutumia link yetu ili uweze kujiunga na kuendelea na masomo. Karibuni sana!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *