MAFINDOFINDO(TONSILS)

Je, umewahi kufikiria ukajua nini kinachokuwa nyuma ya koo lako? Mbali na kilimi kinachoning’inia kwa juu nyuma ya koo lako, kwa pembeni huwa kuna tishu mbili zimetuna pembeni mwa koo lako ambazo kitaalamu tunaita mafindofindo au “Tonsils”.

Image result for image of a man with tonsillitis

NUKUU: Kazi zake mara nyingi huwa ni kuzuia vimelea kama vile bakteria pamoja na virusi. Mafindofindo yanaweza yakapata maambukizi na yakawa mekundu na hata kuvimba kabisa. Hali hii inapojitokeza ndio hujulikana kama “tonsillitis”.

 

Je, Nini Husababisha Mafindofindo Kuvimba?

 

 

Mafindofindo yanaweza kuathiriwa na virusi,  bakteria au ulaji au unywaji wa vitu vibaya. Na mara nyingi virusi ndio hushambulia sana kuliko bakteria. Kwa kawaida madhara ya mafindofindo hutokana na mambo yafuatayo:

 

  1. Ulaji wa pilipili na vitu vikali kama vile embe bichi, limau, nk.

 

 

  1. Kunywa vinywaji vya baridi kama vile maji, soda, juisi, barafu au ice-cream,nk

 

 

  1. Kisonono(Gonorrhea)

 

  1. Maambuki ya HIV

 

 

 

 

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

 

 

Dalili za mafindofindo zinaweza zikatofautiana kutokana na vimelea au aina za bakteria au virusi waliosababisha maambukizi au vyakula na vinywaji ulivyokuwa ukitumia, lakini mara nyingi sana mgonjwa hulalamika koo linauma. Dalili zinaweza kuanza kujitokeza taratibu au haraka na zinaweza zisiwe mbaya sana au zikawa za kawaida tu.  Dalili hizi huwa kama ifuatavyo:

 

  • Vidonda kwenye koo

 

  • Kushindwa kumeza chakula

 

 

  • Sauti kukwama

 

  • Kuvimba kwa matezi shingoni

 

 

  • Koo kuwa jekundu

 

  • Kutokwa na usaha au vitu vyeupe kwenye mafindofindo(tonsils)

 

 

  • Homa

 

  • Kukosa hamu ya kula

 

 

  • Kuhisi kichefuchefu

 

  • Kutapika

 

 

  • Kuhisi maumivu ya tumbo.

 

 

TIBA ZAKE

 

James & Ferdinand Herbal Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya uvimbe  na maumivu ya ugonjwa wa mafindofindo(tonsillitis), kwa watu wakubwa na watoto pia, nayo ni NEOTONIC.

 

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0752389252 au 0712181626

 

Arusha-Mbauda.

 

 

Karibuni sana.

 

21 thoughts on “MAFINDOFINDO(TONSILS)

  1. Hello nina mtoto wangu mwenye umri wa miaka saba, anasumbuliwa na tonsils mara kwa mara, na yamevimba ila hayamuumi na anakula . Amepata tina ya sindano na dawa lakini nikimuangalia bado yametuna. Je waweza nisaidiaje?

  2. Hello nina mtoto wangu mwenye umri wa miaka saba, anasumbuliwa na tonsils mara kwa mara, na yamevimba ila hayamuumi na anakula . Amepata tina ya sindano na dawa lakini nikimuangalia bado yametuna. Je waweza nisaidiaje?

  3. I do believe all of the concepts you’ve introduced in your post. They are very convincing and will definitely work. Nonetheless, the posts are very brief for newbies. Could you please lengthen them a little from next time? Thank you for the post.

  4. Thank you for the good writeup. It in fact was a amusement account it. Look advanced to far added agreeable from you! By the way, how could we communicate?

  5. Mm nawaelewa vzr Lin nimeona km mpo Arusha na mm ambae nipo dar maan mm kweny Koo Kuna kitu huw kinasokota halaf kinapelekea nakohoa na nikikohoa yanatoka makohoz yenybuterez hii Hal inanmuda mrefu Sasa wakat mwingine nahis Koo linabana hasa nikikohoa Sana Sasa sijui mnanisaidieje 0763123448

  6. Thanks for ones marvelous posting! I actually enjoyed reading it, you could be a great author.I will make sure to bookmark your blog and will eventually come back from now on. I want to encourage you to definitely continue your great writing, have a nice weekend!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *