Mambo 10 Yanayoweza Kusababisha Kipanda Uso

Ndugu msomaji, ieleweke kuwa hali ya kipanda uso yaweza kuwa upande mmoja au zote mbili za kichwa, nayo huwa kwa masaa 4-72, na mara nyingi huwa mbaya sana lakini baadaye hupoa. Hali ya kipanda uso yaweza kuambatana na kichefuchefu, harufu mbaya, kero ya sauti au mwanga hali ambazo humfanya muhusika macho yake kuwa mekundu, yenye machozi ama kutokwa na makamasi mepesi.

Je, Nini Husababisha Tatizo Hili?

Kwa kawaida kipanda uso ni hali amabayo hutokana na mambo mengi mbalimbali nayo ni kama haya yafuatayo:

  • Mizio(allergies) ya vyakula
  • Kushuka kwa kiwango cha sukari mwilini
  • Ini kushindwa kufanya kazi vizuri
  • Msongo wa mawazo
  • Mabadiriko ya homoni
  • Mionzi ya jua
  • Maumivu ya jino
  • Kuchelewa kula
  • Harufu mbaya
  • Mabadiriko yanayokuwa kwenye mzunguko wa damu baada ya mshipa wa damu kutanuka katika kichwa chake.

Hali ya kipanda uso inaweza kutoweka kwa muda wa miaka kadhaa lakini tena ikajirudia.

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Mara nyingi mtu mwenye tatizo la kipandauso hupatwa na dalili mbalimbali nazo huwa kama hivi ifuatavyo;

  • Maumivu makali ya kichwa
  • Kichefuchefu,
  • Kutapika,
  • Kuharisha kwani katika utumbo chakula hakitanyonywa vizuri na kushindwa kuingia mwilini,
  • Kushindwa kuona vizuri maeneo yenye mwanga na kutopenda kukaa mazingira yenye sauti au kelele.

Je, Nini Suluhisho Lake?

Je, unalo tatizo la kipanda uso? James Herbal Clinic tuna dawa nzuri za asili zenye uwezo wa kuondoa tatizo hili, tena kwa urahisi kabisa. Unaweza pia kutuma namba zako za WHATASAP tukakuunganisha na darasa letu la maosmo ya afya.

Je, Unahitaji Huduma? Wasiliana nasi kwa namba hizi: 0768 559 670/0712 181 626,

Arusha-Mbauda,

Karibu sana!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *